Thursday , March 21 2019

Home / 2018 / January / 24

Daily Archives: January 24, 2018

MCHEZO WA MWADUI VS NJOMBE MJI WASOGEZWA

????????????????????????????????????

Mchezo namba 114 kati ya Mwadui FC ya Shinyanga na Njombe Mji ya Njombe uliokuwa ufanyike Ijumaa Januari 26, 2018 imesogezwa kwa siku moja kupisha mazishi ya aliyekuwa kocha msaidizi wa Mwadui Jumanne Ntambi.  Mchezo huo sasa utachezwa Jumamosi, Januari 27, 2018. Kocha huyo msaidizi wa Mwadui alikuwa akisumbuliwa na …

Read More »

AZAM, YANGA KUPIGWA SAA 10 CHAMAZI

yanga-vs-azam-fc-ngao_l8y37nlothqn1cdc766sf8oni

Mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2017/2018 kati ya Azam FC na Young Africans utachezwa saa 10 jioni Azam Complex Chamazi.  Mchezo huo namba 115 utachezwa Jumamosi Januari 27, 2018. Viingilio kwenye mchezo huo ni shilingi elfu kumi(10,000) kwa Jukwaa Kuu na shilingi elfu saba (7,000) …

Read More »

DKT. MWAKYEMBE ATOA SALAMU ZA POLE KIFO CHA JUMANNE NTAMBI

Ntambi

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amepokea kwa majonzi taarifa ya kifo cha Kocha Msaidizi wa timu ya  Mwadui FC Ndg. Jumanne Ntambi Kilichotokea  usiku wa tarehe 23 Januari, 2018 mkoani Shinyanga.   Dkt. Mwakyembe amesema kifo chake kimeacha pengo kubwa siyo tu kwa klabu ya …

Read More »

TRA YAENDELEA KUTOA ELIMU YA KODI KWA WADAU MBALIMBALI

1

Afisa Muelimishaji Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bi. Rose Mahendeka akiwaelimisha Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) kuhusu Kodi na Mabadiliko ya Sheria ya Fedha ya Mwaka 2017/18 katika ukumbi wa mikutano wa mamlaka hiyo 24 Januari, 2018. Msaidizi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi …

Read More »

Ashtakiwa kwa Kutoa Taarifa za Uongo

nbslogo

Na Beatrice Lyimo-MAELEZO, DODOMA Serikali imemshtaki John Hima (29) kwa kosa la kushindwa kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria ya Takwimu Namba 9 ya mwaka 2015. Akisoma kesi hiyo namba 9 ya mwaka 2018 katika Mahakama ya Wilaya ya Bahi mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Suniva Mwajumbe, Inspekta Msaidizi …

Read More »

WANAFUNZI SABA WAFAULU NA KUPANDA MADARAJA KATIKA KARATE MTINDO WA GOJU RYU JIJINI DAR

????????????????????????????????????

………………………………………………………… Na Sultani Kipingo Wanafunzi waandamizi saba wa  shule za Karate (dojo) mtindo wa Okinawa Goju Ryu  za  Kaizen na Hekalu la Kujilinda  za jijini Dar es salaam na Dodoma wamefanya mitihani na kufaulu kupandishwa madaraja ya mkanda mweusi chini ya Sensei Rumadha Fundi  usiku wa Jumatatu Januari 22, 2018. …

Read More »

Waziri Kamwelwe Akutana na Balozi wa Ujerumani Nchini

2

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwelwe akiwa na Balozi wa Ujerumani nchini, Dkt. Detlef Wachter pamoja na ujumbe alioongozana nao. Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwelwe akiagana na mgeni wake Balozi wa Ujerumani nchini, Dkt. Detlef Wachter mara baada ya mazungumzo yao jijini Dar es Salaam. …

Read More »

JAFO AKERWA NA UTENDAJI MBOVU ROMBO

JAFO ROMBO (1)

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akitoa maelekezo kwa watendaji wa Halmashauri ya Rombo Ujenzi wa jengo la upasuaji linaloendelea katika Kituo cha Afya Karume wilayani Rombo Nyumba ya daktari inayojengwa katika Kituo cha Afya Karume wilayani Rombo Jengo la wodi ya wazazi inayojengwa  katika kituo cha …

Read More »

Helioum One Yagundua Heliamu Ya Futi Za Ujazo Bilioni 98.9

A section of participants listen to presentation on origin, transport and accumulation of Helium deposits in Tanzania during a public awareness workshop in Dar es Salaam yesterday organized by Helioum One, a mineral exploration company, in collaboration with the Geology Department of the University of Dar es Salaam.

Kampuni ya uchunguzi na utafiti wa madini, Helium One, ambayo kwa sasa inafanya utafiti wa gesi ya heliamu mkoa wa Rukwa imegundua kuwapo kwa futi za ujazo bilioni 98.9 za gesi hiyo katika maeneo iliyokwishafanyia uchunguzi. Hayo yalielezwa katika warsha ya siku moja iliyofanyika Chuo Kikuu cha Dar es salaam, …

Read More »

KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YATEMBELELEA MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO NA MAKUMBUSHO YA OLDUVAI GORGE

????????????????????????????????????

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (kushoto) pamoja na Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi  (kulia) wakizungumza na Mbunge  wa viti maalumu, ambaye pia ni Mjumbe  wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii,  Zainabu Mwamwindi  wakiwa wameongozana na Wajumbe Kamati …

Read More »