Thursday , March 21 2019

Home / 2018 / January / 25

Daily Archives: January 25, 2018

JOSE MOURINHO ASAINI MKATABA MPYA MAN UNITED HADI 2020

MOU

  Kocha Jose Mourinho sasa ataifundisha Manchester United hadi mwaka 2020. Mourinho raia wa Ureno ameongeza mkataba huo wa miaka mitatu kwa mwaka mmoja zaidi. Pamoja na kwamba mashabiki wamekuwa wana hofu huenda ataondoka lakini uongozi unaonekana kumuamini zaidi. VIKOMBE ALIVYOBEBA AKIWA NA UNITED: Community Shield (2016) League Cup (2016-17) …

Read More »

DC MJEMA, AKAGUA UKARABATI MAJENGO SHULE ZA JANGWANI NA AZANIA, LEO. WALIMU NA WANAFUNZI WAMSHUKURU RAIS DK. MAGUFULI, WASEMA AKIAHIDI ANATEKELEZA

BN648435

 Mkuu wa wilaya ya Ilala Sopphia Mjema akipozi kwenye kitanda alipotembelea Shule ya sekonari ya Jangwani, kukagua maendeleo ya ukarabati wa majengo unaogharamiwa na serikali kwa maelekezo ya Rais Dk. John Maguduli katika shule hiyo na shule ya Azania, jijini Dar es Salaam, leo. DC Mjema alitumia kitanda hicho wakati …

Read More »

LUKUVI AWAPOZA WANANCHI WA KIGOTO, KABUHORO MWANZA

DSC05489 Waziri wa Ardhi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi akimfafanulia jambo Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi katikati alipozuru eneo la Kigoto Ilemela ambalo lina mgogoro baina ya wananchi na jeshi la npolisi. Kushoro wa kwanza ni Meya wa Manispaa ya Ilemela Renatus Mulunga, wa pili …

Read More »

DK. KIGWANGALLA ATAJA ORODHA YA WATUHUMIWA WA UJANGILI LEO MJINI DODOMA

oh

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Wizara hiyo Mjini Dodoma leo. Kulia kwake ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dk. Aloyce Nzuki.   Na Hamza Temba – Dodoma ………………………………………………………………. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla leo Januari …

Read More »

Agizo la JPM Kwa DAWASA Kuinufaisha Kisarawe

Rais-John-Pombe-Magufuli.

Na Frank Mvungi, MAELEZO- Dodoma Mamlaka ya Maji Safi na Maji  Taka Dar es Salaam (DAWASA) imeanza kutekeleza kwa vitendo agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli la kuupatia maji mji wa Kisarawe uliopo Mkoani Pwani kutoka katika mtambo wa Ruvu Juu. Kwa …

Read More »

MAJI YAPATIKANE SHULE YA SEKONDARI KONDOA-WAZIRI JAFO

1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo akikagua miundo mbinu ya Bweni katika shule ya Sekondari ya Wasicha na Kondoa. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo(katikati) akikagua vyoo vya shule ya Wasicha Kondoa …

Read More »

DK.MABODI AMTUMIA SALAMU ZA RAMBI RAMBI DKT.MAGUFULI

ZAM8

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dk. Abdulla Juma Saadalla ‘Mabodi’ ametuma salamu za rambi rambi kwa familia ya mtumishi wa Chama hicho Zanzibar Marehemu Bi. Nakia Khamis Abdalla aliyefariki leo Januari 25,2018. Bi. Nakia amefariki dunia akiwa nyumbani kwake mtaa wa Sogea Zanzibar baada ya kuugua …

Read More »

KITUO CHA REDIO CHA TIMES FM CHATOA TUZO JKCI YA KUTHAMNI NA KUTAMBUA KAZI NZURI ILIYOFANYWA MWAKA 2017 KWA KUTOA HUDUMA BORA YA MATIBABU YA MOYO NA KUOKOA MAISHA YA WATANZANIA

Picha no. 1

Mkurugenzi wa kituo cha Redio cha Times Fm Rehure Nyaulawa akimkabidhi cheti cha pongezi Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi wakati wa hafla fupi ya kukabidhi tuzo ya kuthamni na kutambua kazi nzuri waliyoifanya kwa mwaka 2017 ya kutoa huduma bora ya matibabu ya …

Read More »

RAIS WA SIMBA FC ALAZWA MUHIMBILI

AVEVA 2

* Mahakama yaelezwa anasumbuliwa na Figo MWENDESHA Mashtaka Mwandamizi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana Rushwa ,(Takukuru) , Leonard Swai ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva amelazwa Hospital ya Taifa ya Muhimbili akisumbuliwa na Figo. Aveva ambaye ni mshtakiwa wa kwanza shtakiwa …

Read More »

MKOA KASKAZINI PEMBA KUWA WENYEJI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI MOSI)

03

Katibu Tawala Mkoa Kaskazini Pemba Ahmed Khalid Abdalla akiwakaribisha wageni katika Mkutano wa kujadili madhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani yanayotarajiwa kufanyika katika Mkoa huo. Mkuu wa Mkoa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman akifungua Mkutano wa kujadili madhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani yanayotarajiwa kufanyika katika Mkoa wake. Katibu Mkuu …

Read More »

WAOGELEAJI CHIPUKIZI 182 KUWANIA UBINGWA WA TAIFA LEO

junio 5

waogeleaji chipukizi wakishandana katika mashindano yaliyopita Waogeleaji chipukizi wakiwa katika mafunzo tofauti chini ya Mkufunzi, Katty Morris kutoka klabu ya Hamilton Aquatics ya Dubai. Mafunzo hayo yaliandaliwa na klabu ya Dar Swim Club ………………… Na Mwandishi wetu Mashindano ya kuogelea kwa wachezaji chipukizi yataanza leo kwenye bwawa la kuogelea la …

Read More »

JAFO AMWAGIA SIFA MBUNGE BABATI VIJIJINI

IMG-20180125-WA0037

Wataalam wa Afya Magugu wakimsikiliza Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Tamisemi Selemani Jafo Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Tamisemi Selemani Jafo akiwa katika picha na watumishi wa kituo cha Afya Magugu wilayani Babati. Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Tamisemi Selemani Jafo akikagua baadhi ya majengo ya kituo cha Afya Magugu wilayani Babati. ………………. …

Read More »

SERIKALI YAENDELEA KUPAMBANA NA UVUVI HARAMU KANDA YA ZIWA

3

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega akiongoza shughuli ya kuteketeza nyavu haramu zenye thamani ya zaidi shilling milioni 100,a zilizo salimishwa na zilizokamatwa katika kisiwa cha Kerebe mkoa wa Kagera jana. Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega akizungumza na wananchi wanaoishi katika kisiwa cha Kerebe mkoa wa Kagera, …

Read More »