Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / January / 28

Daily Archives: January 28, 2018

SIMBA MWENDO WA 4G,OKWI MBILI,BOCCO MBILI,MAJIMAJI BILA

IMG-20180128-WA0063

Timu ya Simba imezidi kujichimbia kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom baada ya kupata ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya Majimaji kutoka Songea mkoani Ruvuma Mchezo uliopigwa katika uwanja wa Taifa na kuhitimisha Mzunguko wa Kwanza. Simba walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa John Bocco dakika ya 17 akimalizia …

Read More »

Tanzania Yatabiriwa Makubwa Uchumi Jumuishi

NEEC

Katibu Mtendaji wa Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) Bibi. Bengi’i Issa akizungumza kuhusu katika mahojiano maalumu kuhusu kungara kwa Tanzania katika ukuaji wa uchumi jumuishi miongni mwa nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara leo jijini Dar es Salaam. Picha na: MAELEZO ………………. Na. Mwandishi Wetu Baada ya Tanzania …

Read More »

JAJI MKUU AWATAKA WATUMISHI KUONGEZA IMANI YA MAHAKAMA

DSC03626

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma akijiandaa kuanza Matembezi ya uzinduzi wa wiki ya Sheria leo jijini Dar es salaam. Kulia kwake ni mkewe akifuatiwa na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na kushoto ni Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi. Jaji Kiongozi …

Read More »

MAADHIMISHO WIKI YA SHERIA 2018

IMG_1229

Waziri wa Katiba na Sheria Prof Palamagamba Kabudi na Jaji Mkuu Prof. Ibrahim Juma wakimalizia matembezi kuadhimisha kuanza kwa wiki ya sheria nchini. Waziri wa Katiba na Sheria Prof Palamagamba Kabudi na Jaji Mkuu Prof. Ibrahim Juma wakifanya mazoezi katika viwanja vya Mnazi mmoja kuadhimisha kuanza kwa wiki ya sheria …

Read More »

LUKUVI AAGIZA TAAASISI ZA UMMA ZIPIME MAENEO YAKE YASIVAMIWE

mkut

Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeeo ya Makazi William Lukuvi akizungumza na wananchi wa Nyasaka Manispaa ya Ilemela baada ya kuwakabidhi baadhi hati miliki za radhi baada ya makazi yao kurasimishwa. ………………………………………………………………. NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA   WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ameziagiza taasisi zote za …

Read More »

CHUO CHA KODI KUWAJENGEA UWEZO MAWAKALA WA FORODHA ZANZIBAR

PICHA 1

Mkuu wa Chuo cha Kodi Prof. Isaya Jairo (Kulia) pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha Mawakala wa Forodha Zanzibar  (ZFB) Omar Hussein Mussa wakibadilishana hati za makubaliano ya ushirikiano katika kuwajengea uwezo wanachama wa ZFB. Mkuu wa Chuo cha Kodi Prof. Isaya Jairo  (Kulia) pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha Mawakala …

Read More »

WACHEZAJI 12 GOLF LUGALO WAAANZA VYEMA MWAKA 2018

1

Na Mwandishi wetu JWTZ Wapiga golf 12 akiwemo aliyekuwa Mkuu wa majeshi ya Ulinzi jenerali Mstaafu George Waitara wameanza vyema mwaka kwa kuibuka washindi katika michuano ya Golf inayofanyika kila baadaya Miezi Mitatu ambapo kwa mwaka 2018 ndio ya kwanza. Katika mashindano hayo yaliyokuwa na msisimko na kushirikisha wacheza golf …

Read More »

MAJIMAJI FC MIKONONI MWA SIMBA SC LEO

DSC_0764-2

Na.Samuel Samuel Baada ya kuwashudia mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara Yanga SC jumamosi wakiwabanjua 1-2 Azam FC ndani ya uwanja wao wa Azam Complex , Mbeya City wakitoka sare tasa ya 0-0 na Mtibwa Sugar kutoka Morogoro, Mwadui FC wakiwa nyumbani pia dhidi ya Mji Njombe wakitoka sare …

Read More »

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI NCHINI ETHIOPIA,KUMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KATIKA KONGAMANO LA VIONGOZI WAKUU WA UMOJA WA NCHI ZA AFRIKA,LINALOFANYIKA MJINI ADDIS ABABA

PMO_5218

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Comoros, Azali Assoumani, kwenye ndege ya shirika la Ethiopian Airline, wakiwa safarini kueleke Ethiopia, katika Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika AU, Waziri Mkuu, anamwakilisha Rais John Pombe Magufuli kwenye Mkutano huo. Januari 28, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa …

Read More »