Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / January / 29

Daily Archives: January 29, 2018

Bodi ya Filamu Yamaliza Mzozo Malipo Filamu ya Utu Wangu

ST4

Na: Mwandishi Wetu Hatimaye Bodi ya Filamu nchini imerejesha furaha kwa msanii na mtayarishaji wa filamu ya Utu Wangu kufuatia kuongoza kikao cha usuluhishi kilichofikia muafaka kwa msanii huyo kulipwa stahiki zake. Hayo yamejitokeza leo wakati wa kikao cha usuluhishi wa madai ya Msanii Sikujua Mbwembe mtayarishaji wa Filamu ya …

Read More »

MKOA WA PWANI WAZINDUA MSIMU MPYA WA KILIMO IKIWEMO MPUNGA 2018/2019

IMG-20180129-WA0095

Mkuu Wa Mkoa Wa Pwani mhandisi Evarist Ndikilo, akizungumza jambo kabla ya kuzindua msimu mpya wa Kilimo 2018/2019 katika mashamba ya Ushirika wa CHAURU ,huko Ruvu,Bagamoyo mkoani Pwani Mkuu Wa Mkoa Wa Pwani mhandisi Evarist Ndikilo ,akiangalia mchele unaolimwa kupitia chama cha ushirika cha wakulima wa umwagiliaji Ruvu (CHAURU )wilayani …

Read More »

AJALI MBAYA BASI LENYE ABIRIA LATEKETEA

moto-1

ABIRIA waliokuwa wakisafiri na basi la kampuni ya Tahmeed wamenusurika kupoteza maisha baada ya basi hilo aina ya Yutong kuteketea moto leo mchana Kijijini Matumbi wilaya ya Handeni mkoani Tanga.  Kamanda wa Polisi wilaya ya Handeni, William Nyero, amesema basi hilo lilikuwa likitokea Dar es salaam kwenda Mombasa na hakuna madhara kwa binadamu. Kamanda …

Read More »

KATIBU MKUU SEKTA YA UJENZI MHANDISI NYAMHANGA AWAPA SIKU TATU WAKALA WA NYUMBA CHINI (TBA) KUHAKIKISHA WANAMALIZA UVUNJAJI WA JENGO LA TANESCO

2 (5)

KATIBU Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Joseph Nyamhanga ameipa siku tatu Wakala wa Nyumba chini (TBA), kuhakikisha inamaliza kazi ya uvunjaji wa jengo la ghorofa 10 la Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco). Nyamhanga alitoa agizo hilo ikiwa ni takribani siku 63 tangu TBA kuanza …

Read More »

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AJUMUIKA NA WAPIGANAJI WA VIKOSI VYA ULINZI NA USALAMA WALIOSHIRIKI SHEREHE ZA MIAKA 54 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR AMAAN

DSC_0506

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, alipowasili katika viwanja vya Makao Makuu ya KVZ Mtoni kuhudhuria hafla ya chakula cha mchana na Wanajeshi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama walioshiriki katika Maadhimisho ya Sherehe za …

Read More »

SERIKALI YAUZA MENO YA VIBOKO KWA SH.30,900,000/= KATIKA MNADA WA HADHARA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

meno ya VIBOKO

Baadhi ya  meno ya viboko vipande  12,467 yenye uzito wa kilo 3,580.29 ambayo yameuzwa kwa njia ya mnada wa hadhara  leo   jijini Dar es Salaam kwa Kampuni ya On Tours Tanzania Limited kwa kiasi cha shilingi 30,900,000/= (Picha na Lusungu Helela-MNRT) …………………………………………………………………….. Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa  Wanyamapori Tanzania (TAWA) …

Read More »

WAZIRI PROFESA MBARAWA AUFUNGUA MKUTANO WA BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) JIJINI DAR ES SALAAM

po

Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC), Dk. Haruni Kondo (wa pili kulia), akibadilishana mawazo na Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa TPC, Joseph Ngowi (kulia), wakati wakimsubiri mgeni rasmi, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa. Katikati ni Kaimu Postamasta Mkuu, Hassan Mwang’ombe.Wengine kushoto ni Maofisa waandamizi kutoka wizarani. …

Read More »

TAARIFA KUTOKA KURUNGEZI YA MAWASILIANO IKULU ZANZIBAR

pic+shein

SERIAKLI ya Mapinduzi ya Zanzibar imeamua kuanzisha Taasisi ya Wakala wa Serikali wa Kusimamia Maendeleo ya Viwanda vidogo vidogo na vya kati, Zanzibar (SMIDA) ili sekta ya viwanda iweze kuimarika, kusimamiwa kwa karibu pamoja na kusaidiwa kwa lengo la kuvilea viwanda hivyo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la …

Read More »

Utoaji wa takwimu bora, chanzo cha matokeo chanya ya maendeleo.

1

Mkurugenzi Mkuu wa Takwimu Dkt Albina Chuwa akizungumza na washiriki wa semina ya siku moja kuhusu sheria ya takwimu ya mwaka 2015 iliyofanyika leo kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere JNCC jijini Dar es salaam. Fred Matola,Meneja,Idara ya Takwimu za Kodiakitoa mada wakati semina hiyo ilipokuwa ikiendelea. Bwana Emilian Karugendo,Meneja wa …

Read More »

WANANCHI WAPONGEZA TANZANIA KUTAJWA KINARA UCHUMI SHIRIKISHI

index

Na Mwandishi Wetu-DODOMA Wananchi Mkoani Dodoma wamepongeza hatua zinazochukuliwa na Serikali katika Kujenga uchumi  shirikishi unaogusa maisha ya wananchi baada ya Tanzania kutajwa  na Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic Forum) kuwa nchi ya kwanza Kusini mwa Jangwa la Sahara kuwa na uchumi Jumuishi. Akizungumza katika Mahojiano maalum mjini Dodoma …

Read More »

DAR SWIM CLUB YATWAA UBINGWA WA TAIFA KWA WAOGELEAJI CHIPUKIZI

DSC PIX

Mabingwa wa mashindano ya kuogelea ya wachezaji chipukizi, klabu ya Dar Swim Club (Katikati), washindi wa pili -Taliss (kushoto) na washindi wa tatu, Bluefins wakishangilia baada ya kumalizika kwa mashindano hayo ya Taifa. Mabingwa wa mashindano ya kuogelea ya wachezaji chipukizi, klabu ya Dar Swim Club wakiwa katika pozi mara …

Read More »

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MTEULE DKT. WILBROD SLAA PIA AKUTANA NA MAAFISA WAKUU WA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WANAOTARAJIWA KUSTAAFU

2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi Mteule Dkt. Wilbrod Slaa kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi Mteule Dkt. Wilbrod Slaa …

Read More »

Tamasha la kuonja mvinyo la kampuni ya TDL 2018 lafana

????????????????????????????????????

Kampuni ya TDL maarufu kama Konyagi ambayo ni kampuni tanzu ya TBL Group mwishoni mwa wiki iliandaa tamasha la maonyesho ya kuonja vinywaji vya wine vinavyotengenezwa na kampuni hiyo yenye makao makuu yake jijini Dar es Salaam. Tamasha hilo lililofanyika katika hoteli ya Southern sun ya jijini Dar es Salaam …

Read More »