Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / January / 30

Daily Archives: January 30, 2018

MTULIA AZIDI KUITEKA KINONDONI … SERA ZAKE ZAWA GUMZO

unnamed

Mgombea Ubunge katika jimbo la Kinondoni kupitia tiketi ya CCM Maulid Said Mtulia akinadi sera zake jukwaani na kuomba kura kwa wapiga kura wa Kata ya Ndugumbi. ………………… *YALIYOSEMWA NA MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA KINONDONI, MAULID SAID MTULIA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI KATA YA NDUGUMBI JUMANNE JANUARI 30, …

Read More »

MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO 30.01.2018

Pix 10 Naibu Spika

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Tulia Ackson akisoma dua ya kuliombea Bunge katika kikao cha kwanza cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma. Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati …

Read More »

SERIKALI YASISITIZA UWAZI SHUGHULI ZA MADINI

6

Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila (katikati) akizungumza jambo wakati wa mkutano na Balozi wa Canada nchini, Ian Myles (kulia) na Mshauri masuala ya Uwajibikaji kwa Jamii kwenye Tasnia ya Uziduaji kutoka Serikali ya Canada, Jeffrey Davidson (kushoto). Watendaji mbalimbali kutoka Wizara ya Madini na Ubalozi wa …

Read More »

SERIKALI YA TANZANIA YATIA SAINI MKATABA NA MFUKO WA FEDHA WA PAMOJA WA SHILINGI TILIONI 1.1 KWAAJILI YA KUPAMBANA NA UKIMWI, MALARIA NA KIFUA KIKUU.

3

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu (MB) akisisitiza jambo wakati wa kikao cha kupokea msaada kutoka mfuko wa fedha wa pamoja (Global Fund) kilichofanyika jana katika Ofisi za Waziri Mkuu jijini Dar es salaam. Meza kuu, Ikiongozwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya …

Read More »

WANAWAKE WAASWA KUPUNGUZA MAJIVUNO ILI KUWEZA KUTIMIZA MALENGO YAO

Mengi (3)

Na Florah Raphael. Wanawake wametakiwa kujiamini, kuthubutu, kujishusha, kuwa wanyenyekevu na wabunifu katika biashara zao ili kufikia malengo mbalimbali waliyojiwekea na kwa Taifa kiujumla. Hayo yamesemwa Na mkurugenzi wa IPP media Regional Mengi alipokuwa akizungumza na chama cha wanawake wafanyabiashara Na wajasiliamali(TWCC)waliokutana katika semina ili kujadili masuala mbalimbali kuhusiana na chama …

Read More »

SERIKALI YAKUTANA NA WADAU WA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI (NGOs) KUJADILI MPANGO WA USHIRIKIANO NA UTEKELEZAJI WA SERA ZINAZOSIMAMIWA NA KURATIBIWA NA IDARA KUU YA MAENDELEO YA JAMII

Pix 5

Kaimu Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Marcel Katemba (wa tatu kulia)akifungua kikao baina ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs ) na Serikali kilicholenga kujadili mpango wa pamoja katika utekelezaji wa Sera mbalimbali zinazosimamiwa na kuratibiwa na Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, kilichofanyika Makao Makuu …

Read More »

SERIKALI YA TANZANIA YATIA SAINI MKATABA NA MFUKO WA FEDHA WA PAMOJA WA SHILINGI TILIONI 1.1 KWAAJILI YA KUPAMBANA NA UKIMWI, MALARIA NA KIFUA KIKUU

3

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu (MB) akisisitiza jambo wakati wa kikao cha kupokea msaada kutoka mfuko wa fedha wa pamoja (Global Fund) kilichofanyika jana katika Ofisi za Waziri Mkuu jijini Dar es salaam.   Meza kuu, Ikiongozwa na Waziri wa Afya, Maendeleo …

Read More »

Rais Magufuli Kuzindua Pasipoti ya Kielektroniki

Rais-wa-Tanzania

Jonas Kamaleki- MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. John Pombe Magufuli kesho atazindua Pasipoti Mpya ya Tanzania ya kielektroniki jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo utafanyika Jumatano, Januari 31, 2018 kuanzia saa moja na nusu asubuhi, Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji, Kurasini Dar es salaam. Hayo yamesemwa …

Read More »

DC ARUSHA AWATAKA WADAU WA MAENDELEO KUCHANGIA UJENZI WA MADARASA

DSC_0159

Mahmoud Ahmad Arusha Mkuu wa wilaya ya Arusha, Fabian Daqqaro amewataka wadau, wananchi pamoja na jamii nzima kuhakikisha wanachangia ujenzi wa madarasa katika maeneo yao ili kuondoa msongamano wa wanafunzi mashuleni.  Ameyasema hayo wakati akizungumza katika uzinduzi wa madarasa miwili katika shule ya sekondari Arusha ambayo yamejengwa Kwa nguvu za …

Read More »

PROF. KABUDI AKUTANA NA MWAKILISHI WA ICC

IMG_1287

Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi na Bw. Phakiso Mochochoko wakibadilishana kadi za mawasiliano walipokutana ofisini kwa Mhe Waziri jijini Dar es Salaam. Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi na Bw. Phakiso Mochochoko wakiwa katika mazungumzo yao. Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi na …

Read More »

JAJI MKUU,:AZINDUA MAHAKAMA MPYA YA WILAYA YA BAGAMOYO

IMG-20180130-WA0012

Jaji mkuu, prof.Ibrahim Juma (wa pili kutoka mbele)akitembelea nyumba mbili za mahakimu ,zilizojengwa kwa gharama nafuu ya sh.mil.109,mara baada ya kuzindua mahakama ya wilaya ya Bagamoyo ambayo imejengwa kwa gharama ya mil.519.3 ,wa tatu kutoka mbele ni mkuu wa Mkoa wa Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo Jaji mkuu, prof.Ibrahim Juma (wa …

Read More »

WAJASILIAMALI WATAKIWA KUJENGA UCHUMI WA TANZANIA

IMG_7859

Mkurugenzi wa Uendeshaji  wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bathow Mmuni ambaye alikuwa mgeni rasmi akifunga mfunzo ya wajasiliamali yaliyoendeshwa na Sido mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam. Pembeni ni Mkurugenzi wa Sido Dar es Salaam, MacDonald Maganga. Picha na Cathbert Kajuna – Kajunason/MMG. Mkurugenzi …

Read More »

AFRIKA YAAZIMIA KUZALISHA UMEME WA KUTOSHA-MAJALIWA

PMO_5462

  WAZIRI MKUU Kassima Majaliwa amesema nchi za Bara la Afrika zimeazimia kujiimarisha katika uzalishaji wa umeme hadi vijijini ili uweze kuleta maendeleo.   Aliyasema hayo jana (Jumatatu Januari 29, 2018) alipozungumza baada ya mkutano wa Viongozi wa Wakuu wa Nchi za Afrika uliofanyika mjini Addis Ababa, Ethiopia.   Katika …

Read More »