Thursday , February 21 2019

Home / 2018 / February

Monthly Archives: February 2018

WAZIRI MPINA AAHIDI SERIKALI KUTATUA KISTAARAB MGOGORO WA ARDHI KATI YA MNADA WA PUGU NA WAKIJIJI CHA BANGULO, ASIMAMISHA WANANCHI KUJENGA NYUMBA MPYA

1

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Kuhaga Mpina akizungumza na wananchi katika Mnada wa Pugu, Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema. Na Bashir Nkoromo, Pugu Serikali ameagiza shughuli mpya za ujenzi na nyingine za maendeleo ikiwemo kilimo katika Kijiji cha Bangulo Kata ya Pugu Stesheni …

Read More »

JAFO ATAKA KUKAMILISHWA UUNDWAJI WA KAMATI ZA WALEMAVU

JF WALEMAVU (1)

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Mhe.Selemani Jafo akizungumza katika shughuli ya kupokea vifaa vya shule kwa ajili ya watoto wenye ulemavu.  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Mhe.Selemani Jafo akipokea baadhi ya vifaa vya kuwasaidia …

Read More »

AWESO AKUTANA NA BODI NA MENEJIMENTI YA EWURA

4

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso akizungumza na Bodi na Menejimenti ya EWURA alipotembelea mamlaka hiyo Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Nzinyagwa Mchany akiwasilisha mada kwa Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso pamoja na Bodi na Menejeimenti ya EWURA. Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa …

Read More »

MCHUNGAJI SIMALENGA AWATAKA WANADAMU KUJIANDAA KABLA YA KIFO

????????????????????????????????????

Mchungaji Augustino Simalenga wa Kanisa la TAG Kivule leo maeneo ya Kitunda akiombea mwili wa marehemu Jerome Swai aliyekuwa Fundi Sanifu Mkuu wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), kabla ya kusafirishwa kwa mazishi yatakayofanyika kesho wilayani  ya Rombo. Msemaji wa familia ya marehemu Jerome Swai aliyekuwa …

Read More »

RC NDIKILO: MKOA WA PWANI UNATARAJIA KUZINDUA VIWANDA TISA WAKATI WOWOTE KUANZIA SASA

IMG-20180228-WA0014

Mkurugenzi wa kampuni ya Global Land Solution ,Zainuddin Adamjee, (mwenye kibagharashia )akimtembeza mkuu wa mkoa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo, katika fukwe ya bahari kwenye eneo la uwekezaji  wa masuala ya utalii Palacha (dream city)kijiji cha Mpafu-Mkuranga,ambako kunatarajia kuwa mji wa kisasa ukitoa huduma za kitalii kupitia fukwe za bahari  .(picha na Mwamvua …

Read More »

NEC YAJIBU HOJA ZA CHADEMA.

KAILIMA RAMDHAN - MKURUGENZI WA UCHAGUZI -NEC

DAR ES SALAAM Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesisitiza kuwa itaendelea kuzingatia Sheria, Kanuni, Maadili na taratibu mbalimbali katika kuendesha chaguzi nchini. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es salaam na Mkurugenzi wa Uchaguzi (NEC), Kailima Ramadhani  wakati akijibu shutuma zilizotolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo …

Read More »

TADB, NDC SIGN MoU FOR AGRI-INDUSTRIAL RESOURCE MOBILIZATION

DSC04381 - Copy

Acting Managing Director of TADB, Mr. Augustino Matutu Chacha (left) speaks on the role of the Bank in implementing Government’s Industrialization Strategy during MoU signing in ceremony between TADB and NDC held at TADB’s Headquarter in Dar es Salaam. Centre is NDC’s Managing Director, Eng. Ramson Mwilangali who is flanked …

Read More »

TANDAHIMBA DHIBITINI MIMBA KWA WATOTO WA SHULE-MAJALIWA

PMO_0980

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la barabara ya Tandahimba mjini, Mkoani Mtwara, yenye urefu wa kilomita tatu, ilityojengwa kwa fedha za halmashauri, Februari 28, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Wananchi wa Wilaya ya Tandahimba, wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza nao, mara baada ya kuweka jiwe la msingi la …

Read More »

HALMASHAURI ZATAKIWA KUANZISHA MADUKA YA DAWA YA WILAYA

JF KISARAWE (1)

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo akizungumza na wananchi katika ufunguzi wa duka maalum la dawa Kisarawe.  Mganga Mkuu wa wilaya ya Kisarawe akitoa maelezo kuhusu uanzishaji wa duka la dawa wilayani humo.  1.  Wananchi wa Kisarawe wakiwa katika ufunguzi …

Read More »

Dk.SHEIN AKUTANA NA VIONGOZI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

DSC_5213

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (R) Semistocles Kaijage akiwa na ujumbe aliofuatana nao walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo (katikati) Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo Mhe.Hamid M.Mahmoud Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti …

Read More »

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA KOROSHO TANDAHIMBA

PMO_0813

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na mkewe Mary Majaliwa (kulia) wakimsikiliza Meneja Uzalishaji wa Kiwanda cha Korosho cha Tandahimba Cashew, Abdulrahman Sinani, wakati alipotembelea kiwanda hicho, kilichopo Wilayani Tandahimba, Mkoani Mtwara, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Gasper Byakanwa, Februari 28, 2018 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na mkewe Mary …

Read More »