Thursday , February 21 2019

Home / 2018 / February / 01

Daily Archives: February 1, 2018

TUMEDHAMIRIA KUWALETEA WANANCHI MAENDELEO KWA SPIDI KUBWA- CDE LUBINGA

IMG-20180201-WA0068

Na Mwandishi Maalum, Bukoba  WATENDAJI wa TASAF nchini pamoja na watumishi wa Serikali wamehimizwa  kuimarisha utendaji kazi na kuimarisha na kuboresha huduma kwa wananchi. “Tunahitaji kuleta mabadiliko ya kweli katika kuwahudumia wananchi wetu wakiotupatia dhamana ya kuongoza Taifa, hilo tumeahidi kulisimamia kwa dhati,” alisema Kada huyo. Comrade Lubinga alikuwa akiongea …

Read More »

KAMISHNA MKUU WA TRA AFANYA ZIARA KATIKA KITUO CHA HUDUMA KWA PAMOJA CHA SIRARI KILICHOPO WILAYA YA TARIME MKOANI MARA

TRA 4

Wafanyakazi wote wa taasisi mbalimbali wakiwemo wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mnaofanya kazi kituoni hapa, mnatakiwa kufanya kazi kwa ushirikiano na kuhakikisha mnaendelea kutoza kodi stahiki kwa mujibu wa Sheria – _Kamishna Mkuu wa TRA, Charles Kichere._  Wote mnajua umuhimu wa kodi na pia mnafahamu kuwa, kwa kupitia kodi …

Read More »

KATIBU MKUU DKT. MARIA SASABO AFUNGA MKUTANO WA BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) JIJINI DAR ES SALAAM

IMG_7453 - Copy

Katibu Mkuu (Mawasiliano), Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt. Maria Sasabo (kushoto), akifurahia jambo pamoja na Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Hassan Mwang’ombe (wa pili kushoto), Kaimu Meneja Mkuu Rasilimali za shirika, Macrice Mbodo (wa tatu) na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Elia Madulesi, wakati alipowasili Makumbusho ya …

Read More »

UFAFANUZI JUU YA “UVUMI” UNAOENEA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KUHUSU IDARA YA UHAMIAJI KUTANGAZA NAFASI ZA KAZI ZA MKAGUZI MSAIDIZI, KOPLO NA KONSTEBO

Idara-ya-Uhamiaji-750x375

Kumekuwepo na uvumi unaoenezwa kupitia baadhi ya Mitandao ya Kijamii kuwa Idara ya Uhamiaji imetangaza nafasi za ajira kwa nafasi za Mkaguzi Msaidizi, Koplo na Konstebo. Kufuatia kuwepo kwa uvumi huo, Idara ya Uhamiaji inapenda kutoa ufafanuzi kuwa: Idara haijatangaza nafasi zozote za ajira katika kipindi cha hivi karibuni, hivyo …

Read More »

MICHUANO TULIA CUP YAANZA KUTIMUA VUMBI KATA YA KIBAMBA

1. BN640188

MSHAMBULIAJI wa timu ya Kibamba Worious Emmanyel Athanas (kulia) akijitahidi kumtoka beki wa timu ya Mpakani FC, Haruna Ramadhani, timu hizo zilipopambana katika mechi ya fungua dimba ya Tulia Cup, katika uwanja wa Kibwegele, Kibamba Dar es Salaam, juzi. MSHAMBULIAJI wa timu ya Kibamba Worious (kulia) akijitahidi kumtoka beki wa …

Read More »

IGP SIRO MGENI RASMI UZINDUZI WA CHAMA CHA WAMILIKI WA MBWA

mbwa 2

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Tanzania  Canine Association Ltd (TCAL) Sinare Sinare, akizungumz na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo, jana wakati akitangaza uzinduzi rasmi wa Chama cha Wamiliki wa Mbwa utakaofanyika katika Viwanja vya Leaders Club Kinondoni kesho. Mgeni rasmi katika uzinduzi huo atakuwa Inspector General …

Read More »

UKATILI WA KIJINSIA SASA BASI,WASEMA FEMA CLUBS

IMG_1143

Kongamano la kumi la Fema Clubs kutoka kote nchini limemalizika leo jijini Dar es Salaam likiwa limekutanisha wanafunzi zaidi ya mia moja pamoja na walimu wao. Hawa ni wawakilishi kutoka mikoa yote ya Tanzania. Hili ni tukio ambalo shirika la Femina Hip hulifanya kila mwaka kama sehemu ya kuwaongezea uwezo …

Read More »

Mohammed Enterprises Yazindua Shindano La Pindua Ushinde

unnamed

Kampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) imezindua shindano la Zawadi ya Chini ya Kizibo (UTC) la “Pindua Ushinde” litakalofanyika kwa muda wa siku 45, linalotarajiwa kuisha Machi 10 mwaka huu. Akizungumza na wanahabari katika uzinduzi wa shindano hilo, Mkurugenzi wa Masoko MeTL, Fatema Dewji ameeleza namna ya kushiriki shidano …

Read More »

MUIMBAJI WA KUNDI LA GOOD LYFE,RADIO AFARIKI DUNIA NCHINI UGANDA

Screen-Shot-2018-02-01-at-8.52.12-AM

MWANAMUZIKI nyota nchini Uganda, Moses Ssekibogo maarufu kama Mowzery Radio, amefariki. Habari zilizothibitishwa na familia yake na mmoja wa mameneja wake aitwaye Balaam Barugahare, kwa vyombo vya habari, zinazema Mowzery amefariki asubuhi ya leo akiwa katika Hospitali ya Case mjini Kampala. “Ndiyo, Radio amefariki asubuhi hii,” alisema Barugahare katika mahojiano …

Read More »