Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / February / 02

Daily Archives: February 2, 2018

MIRADI YA JAMII YA GGM UMIZA KICHWA MKOANI GEITA

DSC_1717

Mkuu wa mkoa wa Geita,Mhandisi Robert Luhumbi akiwa ameongozana na baadhi ya wakuu wa idara wa halmashauri ya mji wa Geita pamoja na viongozi wa chama cha mapinduzi (CCM) na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa na wilaya ya Geita kwenye mradi wa vijana na wanawake uliopo magogo . …

Read More »

MHE. MKUCHIKA AKUTANA NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI

002

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na Mwakilishi wa UNICEF nchini Bi. Maniza Zaman alipomtembelea ofisini kwake leo. Mwakilishi wa UNICEF nchini Bi. Maniza Zaman akisisitiza jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, …

Read More »

WATOTO 45 MUHIMBILI WAFANYIWA UPASUAJI MFUMO WA CHOO NA MKOJO

0002

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru akiwashukuru wataalamu wa Muhimbili kutoka katika falme za kiarabu baada ya kuwafanyia upasuaji watoto 45 wenye tatizo kwenye mfumo wa njia ya choo na mkojo. Mkurugenzi Mtendaji Profesa Museru akifurahia jambo baada ya kumkabidhi zawadi mmoja wa wataalamu wa …

Read More »

TAA Yakabidhi Gari Kituo Cha Zimamoto

gari1

Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Richard Mayongela (kushoto) akimkabidhi funguo ya gari, Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania, Thobias Andengenye katika hafla iliyofanyika leo kwenye Kituo cha Zimamoto cha Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es …

Read More »

Zabuni Mradi wa Umeme Rufiji Zafunguliwa

Picha Na 2

Mkurugenzi wa Idara ya Manunuzi kutoka Wizara ya Nishati, Amon MacAchayo (mbele) akizungumza na wawakilishi wa kampuni mbalimbali zilizoomba zabuni kwa ajili ya mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Kuzalisha Umeme katika Maporomoko ya Maji ya Mto Rufiji kwenye ofisi za Wizara ya Nishati jijini Dar es Salaam tarehe 02 …

Read More »

Agizo la Rais Magufuli Latekelezwa

Pix 0

Mtaalam mzawa wa kufunga mabomba ya maji ya umwagiliaji miwa katika shamba la Bagamoyo Sugar Bi. Gloria Mmasi akiendelea na shughuli za ufungaji wa mabomba katika shamba hilo tayari kwa kuanza kuotesha miwa. Mtaalam wa ufungaji mabomba ya umwagiliaji katika shamba la Bagamoyo Sugar Abraham Star toka nchini Israel akitoa …

Read More »

KAMPUNI YA SUPERLIFE KUTOA AJIRA KWA VIJANA WA KITANZANIA

pix3

Mshauri wa kampuni ya Superlife Tanzania  Bw. Thomas Somme (kushoto) akieleza kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) jinsi kampuni hiyo itawezesha upatikanaji wa ajira kwa vijana wa kitanzania, katikati ni Mkurugenzi wa kampuni hiyo Bw. Emmanuel Oligi na kulia ni mwanzilishi wa kampuni ya kampuni hiyo Bw. Ken Lai. Mwanzilishi …

Read More »

KADA WA CCM PATROBAS KATAMBI: KUMUUNGA MKONO RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KWA KAZI NZURI ANAYOIFANYA SI DHAMBI

KAT1

Kama na mwanachama  wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Patrobas Katambi akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Protea Oysterbay jijini Dar es salaam kuhusu mambo mbalimbali ya kisiasa yanayoendelea. MWANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Patrobas Katambi amesema anaunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais ,Dk.John Magufuli katika kusimamia rasilimali za …

Read More »