Wednesday , April 24 2019

Home / 2018 / February / 03

Daily Archives: February 3, 2018

YALIYOSEMWA NA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI KWA TIKETI YA CCM, NDUGU MAULID SAID MTULIA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI KATA YA KIJITONYAMA LEO JUMAMOSI FEBRUARI 3, 2018

IMG-20180203-WA0079

“Mtulia mie nilienda kuvunja kibubu changu nikaenda Mahakamani kuzuia bomoabomoa, Serikali ikanisikia na Watu hawakubomolewa” – Mtulia “Nimeacha Ubunge ili nijiunge na chama cha ushindi, chama chenye dola, chama kinacholeta maendeleo” – Mtulia “Chama nilichotoka wakisema nimewasaliti wapo sahihi maana tulikuwa 10 sasa wamebaki 9. Wewe Mwananchi nimekusaliti nini?” – …

Read More »

RAIS DKT MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI MAAFISA WANAFUNZI WA JWTZ, AWAAPISHA MWANASHERIA MKUU, NAIBU WAKE NA MAJAJI WAWILI LEO IKULU DAR ES SALAAM

m6

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha  Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Paul Joel Ngwembe Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 3, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha Mhe. Gerson J. Mdemu kuwa Jaji wa Mahakama Kuu …

Read More »

DK.SHEIN KUONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA NEC TAIFA ZANZIBAR

images

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein kesho Februari 4, 2018 anatarajiwa kuongoza Kikao Cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa Zanzibar. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdulla Juma Saadalla ‘Mabodi’ …

Read More »

SERIKALI KUIMARISHA MASOKO YA MAZAO-MAJALIWA

index

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inataka kuimarisha masoko ya mazao yanayolimwa nchini ili kuwawezesha wakulima kupata tija. Aliyasema hayo jana (Februari 2, 2018) wakati akikagua Kampuni ya Soko la Bidhaa Tanzania (TMX), iliyoanzishwa kwa lengo la kuimarisha masoko. Alisema kupitia Wizara ya Kilimo, Serikali imedhamiria kuimarisha masoko  ya mazao …

Read More »

DK.MABODI ATEMBELEA MIRADI YA TASAF UNGUJA

20

AIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Saadalla akizungumza na baadhi ya vikundi vya ujasiriamali. NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar akikagua bidhaa za ujasiria mali zilizofadhiliwa na mradi wa TASAF. AIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Saadalla akizungumza na baadhi ya Watumishi wa Kituo cha Afya …

Read More »

AMIRI JESHI MKUU RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWATUNUKU KAMISHENI MAAFISA WAPYA192 WA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA PAMOJA NA BAADHI WA NCHI MARAFIKI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

13

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwatunuku Kamisheni Maafisa wapya 192 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania pamoja na Maafisa kadhaa kutoka nchi marafiki katika Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam. Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri …

Read More »

MBUNGE MGIMWA AFANIKISHA MASOMO KWA MTOTO MLEMAVU

IMG_20160821_160333

Na Fredy Mgunda, Iringa MBUNGE wa Jimbo la Mufindi Kaskazini Mahamud Mgimwa amemwokoa mtoto wa kike ambaye ni mlemavu wa viungo kwa kumpeleka shule baada ya wazazi wake kushindwa gharama za masomo.   Mtoto huyo Rosemary Lutego ambaye ana umri wa miaka 15 alichaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza katika …

Read More »