Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / February / 04

Daily Archives: February 4, 2018

KAMATI MAALUM ZANZIBAR YATEUWA WAKUU WA IDARA WAPYA

IMG_0578

WAJUMBE wa Kamati maalum ya halmashauri kuu ya CCM Zanzibar iliyokutana chini ya Mwenyekiti wake Dk. Ali Mohamed Shein imeteua na kupitisha majina ya wajumbe wa sekretarieti na Kamati ya maadili ya chama hicho itakayodumu kwa miaka mitano ijayo. Akito taarifa kwa waandishi wa habari, naibu katibu mkuu wa CCM …

Read More »

Rasimu ya Katiba Mchezo wa Ngumi ya kabidhiwa kwa Waziri Mwakyembe

PIX 1

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumza na wadau wa ngumi (hawapo pichani) kuhusu mchakato wa kukamilisha rasimu ya katiba ya kusimamia mchezo wa ngumi nchini maara baada ya kukabidhiwa jana jijini Dar es Salaam,kulia kwake ni Msajili wa Vyama vya Michezo Nchini kutoka Baraza …

Read More »

KAMISHNA MKUU WA TRA AMSIMAMISHA KAZI MENEJA WA TRA MKOA WA MARA

PICHA NAMBA 2

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Charles Kichere (aliyekaa mbele) akiongea na kutoa maagizo kwa Meneja wa TRA Wilaya ya Bunda Mkoani Mara pamoja na wafanyakazi wengine wa Mamlaka hiyo kuhusu ukusanyaji wa mapato ya Serikali mara alipotembelea ofisi ya TRA Wilayani hapo ili kujionea namna ukusanyaji …

Read More »

WANACHAMA 31 KUTOKA UPINZANI WAKIMBILIA CCM RUFIJI NA MKURANGA

IMG_20180203_155632

ALIYEKUWA mwenyekiti  wa  serikali ya kitongoji cha Nyangwai Kata ya Chechem wilayani Rufiji ,mkoani Pwani mwenye  miwani nyeusi ,ameiacha nafasi hiyo na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa  maadhimisho ya miaka  41 ya CCM huko Utete ,ambapo msafara wa  CCM Pwani ,ulipokea wapinzani 27 na wanachama wapya …

Read More »

KATIBU MKUU UVUVI ATEKETEZA NYAVU HARAMU ZA BILIONI 2.6 MWANZA

IMG-20180204-WA0002

Shehena ya nyavu haramu za uvuvi zenye thamani ya shilingi bilioni 2.6 zilizokamatwa katika maghala mbalimbali jijini Mwanza leo na kikosi kazi maalumu kilichoundwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi , Luhaga Mpina kutokomeza uvuvi haramu kwenye operesheni maalum inayoendelea Kanda ya Ziwa Victoria iliyopewa jina la operesheni Sangara zikiteketezwa …

Read More »

RC MAKONDA NATAFUTA ZAIDI YA NENO

IMG_20180203_233153_183

 ASANTE …sijafanikiwa mpaka sasa kwa WEMA , UPENDO na UZALENDO wenu wanasheria mlioamua kuifanya hii kazi katika mazingira magumu bila posho kwa heshima ya serikali yenu.  Mmenisaidia kuwafuta machozi wanyonge na maskini waliopoteza haki zao kwa muda bila ya kuwa na matumaini ya kuzipata tena.  Mmeendelea kuijengea upya imani serikali …

Read More »