Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / February / 05

Daily Archives: February 5, 2018

ZIMAMOTO YAJIWEKA TAYARI KWA MAOKOZI MAJINI

????????????????????????????????????

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye katika picha ya pamoja na Kikosi cha Maokozi cha Jeshi hilo, wakati alipotembelea Kikosi hicho kilipokuwa kikionesha zoezi la maokozi, kushoto ni Mrakibu Msaidizi wa Zimamoto Bashiri Madhehebi ambaye ni Mkuu wa kikosi hicho. Wazamiaji wa Jeshi la Zimamoto na …

Read More »

MAN CITY KUCHEZA NA BIRMINGHAM RAUNDI YA TANO FA YA WANAWAKE

_99892301_1d781739-c94a-4383-b1fa-dce3b9654320

Ratiba ya raundi ya tano ya kombe la Fa Kwa wanawake nchini England imetoka bingwa mtetezi Manchester City waanza kwa kusafiri kwenda kucheza na Birminghama City. Mabingwa mara 14, wa michuano hiyo klabu ya Arsenal wao watakuwa wenyeji wa klabu ya Millwall, Chelsea watacheza na timu ya Doncaster Rovers Belles. …

Read More »

TIBA MTANDAO KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI

JPEG.NA.1

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya akisisitiza jambo kwa wataalamu wa sekta ya afya wakati wa kongamano la ubunifu na utekelezaji wa huduma za tiba mtandao Tanzania lililofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa LAPF, Dodoma Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI MAZIKO YA MWANASIASA MKONGWE MAREHEMU MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU KATIKA MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijiandaa kuweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiweka Shada la Maua kwenye …

Read More »

MUASISI WA AFRO-SHIRAZ PART (ASP) BI.SIHABA AMESEMA TUNU YA URITHI WA UONGOZI BORA NA DEMOKRASI VILIVYOASISIWA NA ASP NA TANU LEO VINATEKELEZWA KWA VITENDO NA CHAMA CHA CCM

IMG_9684

MUASISI wa ASP Bi.Sihaba Ismail Farhan. ……………… MUASISI wa Afro-Shiraz Party (ASP) Bi. Sihaba Ismail Farhan amesema tunu ya urithi wa Uongozi bora na Demokrasi ailiyotukuka vilivyoasisiwa na Viongozi wa ASP na TANU leo vinatekelezwa kwa Vitendo na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kauli hiyo ameitoa leo katika Mahojiano Maalum na …

Read More »

KATIBU MPYA WA KAMATI MAALUM YA NEC,IDARA YA ORGANAIZESHENI ZANZIBAR AAHIDI USHIRIKIANO NA VIONGOZI NA WATENDAJI NA WANACHAMA CCM

IMG_9544

KATIBU wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Organaizesheni  Zanzibar Bakari Hamad Khamis. ……………….. NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR. KATIBU mpya wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Organaizesheni Zanzibar Bakari Hamad Khamis ameahidi kushirikiana na viongozi na watendaji na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi na Jumuiya zake kupanga mikakati endelevu …

Read More »

Kishapu yafikia lengo la zaidi ya asilimia 75 zoezi la upigaji chapa ng’ombe 225,131

2

Mkuu wa Idara ya Mifugo Uvuvi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Dk. Alphonce Bagambabyaki akishiriki katika zoezi la upigaji chapa ng’ombe. Wananchi wakishiriki katika zoezi la upigaji chapa ng’ombe katiia kijiji cha Wishiteleja kata ya Mondo. Moja wa ng’ombe akiwa tayari amepigwa chapa katika sehemu ya mguu. ……………………………………………………………………….. Na …

Read More »

WATU WENYE ULEMAVU JITOKEZENI TUJUE MAHITAJI YENU – MAJALIWA

PMO_7189

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Kiteto, Emmanuel Papian, Bungeni mjini Dodoma Februari 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) ………………………………………………………………….. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watu wenye ulemavu nchini wajitokeze na kubainisha mahitaji yao ili  Serikali iweze kutambua fursa walizonazo na kuwasaidia. Ameyasema hayo jana (Jumapili, …

Read More »

SERIKALI KUBORESHA MAFUNZO KWA WATU WENYE ULEMAVU

8707-Mhe-ikupa

Na Beatrice Lyimo- MAELEZO, DODOMA Serikali kwa kushirikiana na wadau imeendelea kuboresha Vyuo vya Mafunzo ya Ufundi vya Watu wenye Ulemavu ili kuwawezesha kuajiriwa na kujiajiri na kupata ujuzi mbadala wa kumudu maisha yao. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Walemavu) Stella Ikupa leo Mjini Dodoma  wakati akijibu …

Read More »

VIWANJA VYA NDEGE 11 NCHINI KUFANYIWA UPANUZI NA UKARABATI

ziara2

Na Beatrice Lyimo- MAELEZO, DODOMA Serikali imeanza majadiliano na Benki ya Dunia ili kupata mkopo wa kugharamia ukarabati na upanuzi wa Viwanja vya Ndege 11 kwa kuzingatia mapendekezo ya ripoti ya upembuzi yakinifu na usanifu wa kina ambao ulizingatia mambo mbalimbali  ikiwa ni pamoja na ukuaji wa shughuli za kiuchumi, …

Read More »

Wawekezaji Watakiwa Kuchangamkia Fursa Mkoani Manyara

BBT1b

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (KBF), Bibi. Joyce Fissoo akisaini kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, mjini Babati Leo. Katibu huyo yupo mkoani Manyara kwa ziara ya kikazi ili kuwajengea uwezo wajumbe wa Bodi za Filamu za Mikoa …

Read More »

MKUTANO WA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR KUANZA RASMI JUMATANO HII

1

Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Raya Issa Msellem akizungumza na Waandishi wa habari kuhusiana na kuanza kwa Mkutano wa tisa wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Picha na Kijakazi Abdalla Maelezo …………….. Na Kijakazi Abdalla           Maelezo                    5/02/2018 Mkutano wa tisa wa baraza la tisa la wawakilishi unatarajiwa kuanza siku ya …

Read More »

WADAU WA HAKI JINAI WAHIMIZWA KUSHIRIKIANA KUTOA HAKI KWA WAKATI

2

Jaji Kiongozi, Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Ferdinand Wambali akifunga Kongamano la Wadau wa Haki Jinai lililofanyika katika Kituo cha Mafunzo na Habari kilichopo eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, katika maneno yake ya kufunga, Mhe. Jaji Wambali amewataka Wadau kuendeleza ushirikiano ili kuiwezesha Mahakama …

Read More »

NAIBU GAVANA BANZI AWATAKA WANAHABARI KUIAMBIA JAMII KUHUSU MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA

IMG_1345

Bw. Julian Raphael Banzi Naibu Gavana wa Benki Kuu Utawala na Udhibiti wa Ndani (AIC) akifungua semina ya waandishi wa habari kuhusu Uchumi Biashara na Fedha inayofanyika kwenye ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania Tawi la Mtwara mkoani Mtwara. …………………………………………………………………………………. Bw. Julian Raphael Banzi Naibu Gavana wa Benki Kuu Utawala …

Read More »

WANAFUNZI WAANDAMANA HADI KWA MKUU WA WILAYA KONDOA

IMG_20160125_174831

Na Mahmoud Ahmad Kondoa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Amani Abeid Karume ilyopo kata ya Pahi wilayani Kondoa wameandamana hadi ofisini kwa mkuu wa wilaya hiyo Sezaria Makota wakidai kupewa Adhabu za kuchimba visiki, na vibarua vya kushusha mizigo ya ujenzi wa shule jambo ambalo linawakatisha masomo yao. Hayo yamebainika …

Read More »

MBUNGE WA GEITA MJINI MHE.KANYASU AHOJI SERIKALI KUHUSU DAWA NA MADAKTARI WA KUTOSHA WANAPAKUWEPO KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA GEITA

maxresdefault

MBUNGE wa Geita Mjini,Costantine Kanyasu (CCM) amehoji  hatua ambazo serikali inachukua kuhakikisha kuwa dawa na madakaktari wa kutosha wanapakuwepo katika hopspitali ya Rufaa ya Mkoa wa Geita kwani ina uhaba wa dawa na madaktari. Akijibu swali swali hilo,Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,alisema hospitali ya Geita kwa Mwaka …

Read More »

SERIKALI KUFUNGIA VYUO VINAVYOVUNJA SHERIA

1

SERIKALI imeendelea kudhibiti ubora wa elimu nchini kwa kuvichukulia hatua vyuo na shule zinazobainika kukiuka taratibu za utoaji wa elimu ikiwa ni pamoja na kusitisha udahili wa wanafunzi,kusitisha program zitolewazo,kupunguza idadi ya wanafunzi waliozidi na kufuta usajili wa taasisi husika.   Aidha katika Mwaka 2017/18 ulifanyika uhakiki katika vyuo na …

Read More »

CHEGENI AHOJI UTATUZI WA MGOGORO WA ARDHI BUSEGA

8354-Mhe.justus nditiye

Na Mwandishi Wetu,Dodoma MBUNGE wa Busega,Dr Raphael Chegeni (CCM),ameihoji  serikali kuwa ni lini itatua mgogoro wa ardhi uliopo katika Pori la Akiba Kijereshi na Sakaya wilaya ya Busega kutokana na usumbufu wanaoupata wananchi wake. Katika maelezo yake Dr Chegeni alisema”Migogoro ya ardhi na mipaka ya vijiji na hifadhi bado zimeendelea …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA

RPC Mpinga akiongea na Wanahabari

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kukabiliana na vitendo vya uhalifu ili kuhakikisha kuwa wageni na wakazi wa Mkoa huu wanaendelea kuwa salama na mali zao. Aidha Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea kushirikiana na wananchi na wadau wengine wa usalama na kufanikiwa kupata mafanikio makubwa ikiwa ni …

Read More »

MWANAHABARI PATRICK MWILLONGO ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU

IMG_0856

Wanahabari Hellena Mwango, Careen , Kulwa Mwaibale na mke wa Patrick Mwillongo wakiwa wamekaa nje ya jengo la Hospitali ya Mkoa Temeke wakitafakari namna ya kumsaidia Mwillongo walipofika  kumjulia hali leo hii asubuhi.   Na Mwandishi Wetu   Ndugu wanahabari mwenzetu Patrick Mwillongo yupo hoi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa …

Read More »

VIJIJI NA VITONGOJI KIBITI NA RUFIJI VYATAKIWA KUANZISHA MADAFTARI YA TAARIFA ZA WAKAZI ILI KUBAINI WATU WASIO WEMA

IMG_20180205_113126

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani, Ramadhani Maneno akieleza jambo wakati wa maadhimisho ya miaka 41 ya CCM ,yaliyofanyika kimkoa wilayani Kibiti. ………………… Na Mwamvua Mwinyi,Kibiti MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Pwani, Ramadhani Maneno, amezitaka serikali za vijiji,vitongoji wilayani Kibiti na Rufiji, kuanzisha madaftari ya taarifa za wakazi …

Read More »

CCM PWANI YAIASA KIBITI NA RUFIJI KUILINDA AMANI ILIYOPO SASA

IMG_20180204_150552

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani, Ramadhani Maneno akieleza jambo wakati wa maadhimisho ya miaka 41 ya CCM ,yaliyofanyika kimkoa wilayani Kibiti. Mkuu wa wilaya ya Kibiti ,HusseinGulam Kifu  akizungumza na wananchi na wanaCCM wakati wa maadhimisho ya miaka 41 ya CCM ,yaliyofanyika kimkoa wilayani Kibiti Katibu wa CCM wilaya …

Read More »