Wednesday , April 24 2019

Home / 2018 / February / 06

Daily Archives: February 6, 2018

MOTO WATEKETEZA MADUKA MBAGALA JIJINI DAR ES SALAAM

1

Moto umelipuka na kuteketeza maduka zaidi ya 10 katika maeneo ya Mbagala -Rangi Tatu, Raound About ya kuelekea Charambe, mchana huu. Taarifa za awali zinaeleza kuwa chanzo cha moto huo ni hitilafu ya umeme. Juhudi za kuuzima moto huo na kuokoa mali sambamba na kuzuia usisambae kwenye maduka mengine zinaendelea. …

Read More »

BONDIA MUHAMMAD ALI AFUNGIWA MIAKA MIWILI

CYGY.com - The Online Web Magazine

Bondia Muhammad Ali, raia wa uingereza amefungiwa kwa miaka miwili kujihusisha na mchezo wa masubwi baada ya kushindwa vipimo vya dawa zilizokatazwa michezoni. Ali mwenye miaka 21, alishindwa kufaulu vipimo alipokua nashikiriki michezo ya dunia ya masubwi iliyofanyika nchini Morocco mwaka jana. Bondia huyo alisimamishwa toka mwezi octoba mwaka jana …

Read More »

JAFO AAGIZA UJENZI WA MADARASA SHULE YA MSINGI MWANDEGE

JAFO MKURANGA (2)

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akizungumza na walimu na wanafunzi wa shule ya msingi Mwandege.      Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akizungumza na walimu na wanafunzi wa shule ya msingi Mwandege.      Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi …

Read More »

MKURUGENZI WA TAMBAZA AUCTION MART ABDALLAH ABEID ATOA RAI KWA TAASISI ZA UDALALI KWA KUZINGATIA MATAKWA YA KAZI HIYO

IMG_20180206_130050

Katika mkurugenzi wa Tambaza Abdallah Abeid akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kushoto Omary Mhero mlinzi mwandamizi wa Taasisi hiyo na kulia Stanley Manguli   mratibu wa Taasisi hiyo Picha na David John. …………………… MKURUGENZI wa Tambaza  Auction Mart  Abdallah Abeid ametoa rai kwa taasisi zinazofanya kazi za …

Read More »

MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AKUTANA NA KATIBU WA BUNGE

IMG-20180206-WA0000[1]

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk.Adelardus Kilangi leo  Jumanne amemtembelea  Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Stephen Kigaigai kwaajili ya  kujitabulisha.  Katika  mazungumzo yao, viongozi hao wawili wamesisitiza haja na umuhimu wa   Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali  na Bunge kuendelea  kushirikiana ipasavyo na kufanya  kazi …

Read More »

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI MJINI DODOMA

PMO_7312

      Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchini, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Viana, Akira na Wende Ulemavu, Jenista Mhagama (kushoto)  na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano, January Makamba (katikati), Bungeni mjini Dodoma Februari 6, 2018. (Picha na Ofisi …

Read More »

STARTIMES YAMKUTANISHA STAA MAU DOU DOU NA WASANII WA FILAMU NCHINI

_DSC00015

Mwigizaji maarufu wa China, Hai Qing “Mau Dou Dou” (kushoto) akizungumza jambo kwenye mkutano na waandishi wa habari, wasanii wa filamu nchini pamoja na mashabiki wake leo Jijini Dar es Salaam Meneja Masoko na Mahusiano wa StarTimes Tanzania, Juma Sharobaro(kulia) akifanya mahojiano na Mwigizaji maarufu wa China, Hai Qing “Mau Dou Dou”  alipokutana …

Read More »

WAKATI MCHAKATO WA UTOAJI WA LESENI MPYA ZA MADUKA YA KUBADILISHIA FEDHA ZA KIGENI UKIENDELEA,MADUKA 71 NA MATAWI 40 YAKIDHI VEGEZO

IMG_1379

Eliamringi Mandari Meneja Usimamizi wa Mabenki (BOT) akiwasilisha  mada ya Usimamizi wa shughuli za Mabenki na Taasisi za Fedha katika semina ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali inayofanyika kwenye ukumbi wa (BOT) mkoani Mtwara ……………………………………………………………………………………………… Juni mwaka jana,wamiliki was maduka ya kubadilishia fedha za kigeni  walitangaziwa na  Benki Kuu …

Read More »

Timu ya Taifa ya Ngumi ya Sisitizwa Kuhusu Masuala ya Nidhamu

PIX 3

Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw.Yusuph Singo akizungumza na timu ya taifa ya mchezo wa ngumi (haipo pichani) kuhusu masuala ya nidhamu alipowatembelea leo kambini katika  uwanja wa ndani wa michezo  jijini Dar es Salaam ambapo wanajifua kwa ajili ya …

Read More »

TANZANIA NA CHINA ZAUNGANA ILI KUKUZA SOKO LA UTALII

11-2

Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii Brigedia Gaudence Milanzi akizungumza katika  mkutano katika ya China na Bodi ya Utalii (TTB) kuhusu utalii. ……………………………………………………………………………. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi (TTB) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akizungumza katika mkutano huo.   Balozi wa China nchini Tanzania Wang Ke pamja na wajumbe wengine wakiwa …

Read More »