Monday , February 18 2019

Home / 2018 / February / 07

Daily Archives: February 7, 2018

WAHAMIAJI WALOWEZI WATAKIWA KUJIORODHESHA UHAMIAJI

IMG_0178

Naibu wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam, Petro Malima akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na wahamiaji walowezi kujisajili ili kuweza kupatiwa vibali vya  kuishi nchini , leo jijini Dar es Salaam. ……………….. Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii IDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam …

Read More »

FAHAMU SIFA NA UWEZO WA TECNO-Camon CM

IMG-20180207-WA0002

Unaikumbuka Camon CX na CX Air? Simu ambazo naamini ziliongoza kwa mauzo na ubora kutoka TECNO kwa mwaka 2017, bila ubishi.TECNO Camon CM ni muendelezo wa familia ya simu za Camon kutoka TECNO Fahamu uwezo wake,muonekano wake n.k katika uchambuzi huu MUONEKANO Ikiwa na wigo mpana/kioo enea chenye uwiano wa …

Read More »

PASIPOTI MPYA NI SALAMA ASILIMIA 100: UHAMIAJI

DKT. ANNA MAKAKALA

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji nchini, Dkt. Anna Makakala akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. Na Mwandishi Wetu.IDARA ya uhamiaji nchini imewataka watanzania kupuuza habari zinazozagaa kuhusu uvumi wa pasipoti mpya kuwa zimechakachuliwa. Kauli hiyo ameitoa leo jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari, Kamishna …

Read More »

MWENYEKITI JUMUIYA YA WAZAZI WILAYA YA KIBAHA MJINI AMEWASHAURI VIJANA KUPENDA MICHEZO KWA AFYA YA MWILI NA KUCHANGAMSHA AKILI

DSC_0515

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Wilaya ya Kibaha Mjini,Edwin Shunda akipimana ubavu na Onesmo Cornely (kulia) katika mchezo wa Drafti alipotembelea katika Kata ya Mbwawa,jana kwa ajili ya maadhimisho ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wanaoshuhudia Katikati ni Mwenyekiti wa chama hicho kata hiyo,Illuminata Makwaya na mwenyekiti wa …

Read More »

MCHENGELWA-JPM AMEWATENDEA HAKI WANARUFIJI KURIDHIA UJENZI WA STIEGLER’S GORGE KUJENGWA RUFIJI

IMG-20180207-WA0007

Mbunge wa  jimbo  la  Rufiji ,Mkoani Pwani ,Mohammed Mchengelwa akielezea utekelezaji katika uongozi wake katika kipindi cha miaka  miwili kwa  baadhi ya wanachama wa  Chama Cha Mapinduzi na wananchi Utete ,wakati walipotembelewa na uongozi wa  CCM Mkoani humo. Mbunge wa  jimbo  la  Rufiji ,Mkoani Pwani ,Mohammed Mchengelwa akimjulia hali mgonjwa …

Read More »

WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA

048A2745

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwelwe akiwa na mazungumzo na Balozi wa Uingereza Bi. Sarah Cooke pamoja na timu yake waliofika ofisini kwa Waziri Kamwele kujadili masuala mbalimbali ya kuhusu sekta ya maji. Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwele akiagana na Balozi wa Uingereza nchi Bi. …

Read More »

RAIS DKT MAGUFULI NA MAKOMANDOO WA JWTZ

jpm

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi  ya askari wa vikosi maalumu (makomandoo) wa  Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) baada ya kufungua kituo cha mafunzo maalumu ya kijeshi huko Mapinga wilaya ya Bagamoyo mkoa …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU BUNGENI LEO MJINI DODOMA

PMO_7540

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, Bungeni mjini Dodoma Februari7, 2018. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge , Kazi, Vijana, Ajira na  Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiteta na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (katikati) na Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara …

Read More »

TANZANIA KINARA UTAWALA BORA AFRIKA MASHARIKI

Pix 01

Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk. Hassan Abbasi akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati akitoa taarifa ya utekelezaji wa ahadi mbalimbali za Serikali mapema hii leo jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk. Hassan Abbasi (kulia) …

Read More »

WAVURUGA ELIMU KONDOA WAMKERA MKUU WA WILAYA

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

Mkuu wa Shule ya Sekondari Kwapakacha Mwalimu Pantaleo akisoma barua katika kikao cha wadau wa elimu iliyoandikwa na mwanafunzi wa kidato cha pili akielezea sababu za kutaka kuacha shule.   Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kondoa akimwelekeza Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Tungufu kupandisha ufaulu baada ya kupokea cheti …

Read More »

MKUU WA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR ATOA TAKWIMU ZA BEI

DSC_0453

Mkuu wa Takwimu za Bei Zanzibar Khamis Abdul-rahman Msham akitoa maelezo kuhusiana na Takwimu za Bei ambapo zimeonekana kushuka kutoka asilimia 5.9 kwa Mwezi wa Disemba 2017 hadi asilimia 5.2 kwa mwezi wa January 2018 hafla iliofanyika Ofisi kuu ya Takwimu  Mazizini Mjini Unguja. Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria …

Read More »

MWANASHERIA MKUU AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU

IMG-20180207-WA0000[1]

Mwanasheria  Mkuu wa Serikali Dk.Adelardus Kilangi  jana ( Jumanne) amekutana na  kufanya mazungumzo  na Waziri Mkuu  Mhe. Kassim Majaliwa ikiwa ni sehemu  ya kujitambulisha kwa viongozi mbalimbali.  Viongozi hao wawili  walibadilisha mawazo  juu ya masuala mbalimbali  na kuahidi kushirikiana kwa  karibu. Picha kwa hisani ya PMO

Read More »

JESHI LA ZIMAMOTO MKOANI ARUSHA LAMUUNGA MKONO JPM

image1

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoani Arusha limemkabidhi vifaa vya kuzimia moto (fire extenguisher’s) sita mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli kwaajili ya nyumba za polisi zilizojengwa mkoani humo. Akikabidhi vifaa hivyo kamanda wa Jeshi la …

Read More »