Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / February / 08

Daily Archives: February 8, 2018

MKIKITA WAFURAHIA HUDUMA NZURI SPICE HOTEL LIMITED DAR

01

 Viongozi wa Mtandao wa Kijani kibichi Tanzania (Mkikita), wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Dk. Kissui Steven Kissui (Kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa mtandao huo, Adam Ngamange (wa nne kushoto), wakiwa nje ya  Spice Hotel Limited,  baada ya kufanya mkutano na waandishi wa habari hoteni hapo, Dar es Salaam jana.PICHA ZOTE NA …

Read More »

Dkt MWINUKA atembelea Kituo cha Kupoza na Kusambaza Umeme, IBADAKULI

url

Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Dkt. Tito Mwinuka, ametembelea kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Ibadakuli, kilichopo Mkoani Shinyanga. Katika ziara hiyo, Dkt. Mwinuka amejionea shughuli mbalimbali zinazofanyika kituoni hapo. Kituo hicho ni mojawapo ya vituo vilivyofanyiwa upanuzi wakati wa utekelezaji wa Mradi wa njia ya Kusafirisha umeme ya msongo wa …

Read More »

Serikali Haitaivunja TEWW Kwa Kuwa Bado Inahitajika

1

Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akionesha kwa wabunge baadhi ya Vitabu vyenye ubora unaotakiwa kwa matumizi ya wanafunzi ikiwa ni moja ya hatua zilizochukuliwa na Serikali katika kuimarisha elimu nchini ambapo pia alibainisha kuwa Serikali haitaivunja Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima badala yake inaangalia namna …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO MJINI DODOMA

1

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akieleza mikakati ya Serikali katika kuendeleza mazao makuu ya biashara ikiwemo zao la Pamba  alipokuwa akijibu maswali ya Wabunge wakati wa Kipindi cha Maswali na  Majibu mapema leo Bungeni Mjini Dodoma. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira …

Read More »

UNICEF YATOA MSAADA WA LAPTOP 200 KWA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR

1d

Waziri wa Afya wa Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo kushoto na akikabidhiwa Msaada wa Laptop 200 zenye thamani ya zaidi ya Shil.Millioni 400 kutoka kwa Mwakilishi wa UNICEF Zanzibar Francesca Morandin ili kuimarisha usimamizi wa mfumo wa taarifa za Afya kwa wizara hiyo. Picha na Abdallah Omar-Maelezo Zanzibar Mwakilishi wa UNICEF …

Read More »

Wawindaji wa Panya Rukwa Kukomeshwa

P_20180207_115435_vHDR_On

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akipanda mti katika shule ya msingi Mpwapwa, kata ya Mpwapwa Wilayani Sumbawanga ikiwa ni kampeni ya kufikisha miti Milioni 6 kwa Mkoa kwa mwaka 2017/2018. Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dk. Khalfan Haule akisaidiana na mwanafunzi wa darasa la kwanza Shule ya …

Read More »

SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR IMESEMA INAENDELEA KUTOA ELIMU YA MASUALA YA MTANGAMANO WA JUMUIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI NA FURSA ZINAZOPATIKANA

images

Na Miza Kona – Maelezo Zanzibar         SERIKALI ya Mapinduzi ya Mapinduzi imesema inaendekea kutoa elimu ya masuala ya Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na fursa zinazopatikana katika maeneo mbali mbali nchini. Elimu hiyo hutolewa kwa wajasri amali, wafanyabiashara na makundi mengine ya wananchi katika mikoa na wilaya …

Read More »

SERIKALI YAWATOA HOFU WAKULIMA WA PAMBA

PMO_7893

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeweka mikakati ya kutosha itakayowezesha pamba yote inayolimwa nchini kununuliwa na tayari imeshaanza mchakato wa kutafuta masoko ya ndani na nje ya nchi.   Ametoa kauli hiyo leo (Alhamisi, Februari 8, 2018) Bungeni mjini Dodoma wakati akijibu swali la mbunge wa Sumve, …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA UJUMBE WA SHIMUTA

7

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi Tanzania kutoka kwa Mwenyekiti wa Shirikisho hilo Bw. Khamis Mkanachi ambaye aliongozana na Uongozi na Wajumbe wa Shirikisho kukutana na Makamu wa Rais …

Read More »

WAZIRI MHAGAMA AKITETA NA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

PMO_7963

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiteta na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Adelardus Kilangi, Bungeni mjini Dodoma Februari 8, 2018. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Read More »