Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / February / 10

Daily Archives: February 10, 2018

UJENZI WA BARABARA YA KIDATU-IFAKARA KUKUZA UCHUMI WA MOROGORO

????????????????????????????????????

Mhandisi Mshauri wa Kampuni ya Nicholas O’Dwyer,  Frank Lynham, akitoa maelezo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, kuhusu hatua ya maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Kidatu-Ifakara yenye urefu wa KM 66.9 inayojengwa kwa kiwango cha kisasa cha lami, wakati alipotembelea kambi ya mkandarasi, mkoani Morogoro. …

Read More »

SEMINA KUHUSU MAPENDEKEZO YA KUTUNGWA SHERIA YA KULINDA TAARIFA BINAFSI KWA WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI YAFANYIKA ZANZIBAR

DSC_0871

Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi waliohudhuria katika Semina kuhusu mapendekezo ya kutungwa kwa Sheria ya kulinda taarifa binafsi ilioandaliwa na Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Tanzania iliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View mjini Kilimani mjini Unguja. Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi waliohudhuria …

Read More »

WAZIRI MKUU AMJULIA HALI MWENYEKITI WA CWT SINGIDA

PMO_7557

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa . leo Januari 10/2018 . kamemtembelea na kumpa pole Mwenyekiti wa Chama Cha Walimu (CWT) mkoa wa Singida Mwalimu Aron Jumbe aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es salaam. kulia kwa Waziri Mkuu ni Daktari Bingwa wa Moyo Dr Sulender Kuboja. WAZIRI MKUU …

Read More »

SIMIYU YAPATIWA CHUPA MIL 2 ZA VIUAWADUDU WA PAMBA

vlcsnap-2018-02-09-23h17m53s296

Dawa za kuuwa wadudu wa Pamba. Katibu Mkuu wizara ya Kilimo Mathew Mtigumwe (mwenye miwani) akimsikiliza mkulima wa pamba Tindigwe Masuke wa kijiji cha Mbiti alipokuwa akiongelea juu ya uhaba wa dawa, unaowakabili wakulima hao. Meneja wa Bodi ya Pamba kanda ya ziwa Jones Bwahama akitoa maelezo kwa katibu mkuu …

Read More »

USALAMA WA CHAKULA UMEIMARIKA NCHINI-MAJALIWA

PMO_8314

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hali ya usalama wa chakula nchini imeimarika kutokana na uzalishaji mzuri wa mazao ya chakula.   Aliyasema hayo jana (Ijumaa, Februari 9, 2018) bungeni mjini Dodoma wakati akitoa hoja ya kuahirisha mkutano wa 10 wa Bunge la 11. Bunge limeahirishwa hadi Aprili 3, mwaka …

Read More »

KATIKA UTUMISHI WANGU NITASHUGULIKA NA KERO ZA WANAUBUNGO KWA KUWATEMBELEA KATIKA MAENEO YAO NA SIO KULA KIYOYOZI OFISINI- JOHN L. KAYOMBO

1

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John L. Kayombo amenukuliwa akisema maneno hayo  leo tarehe 09/02/2017 alipotembelea kata ya Manzese ili kusikiliza kero za wananchi na kujionea maeneo ya wazi yaliyovamiwa nakuona namna ya  kuyapatia ufumbuzi  wake.  Mkurugenzi Kayombo tangu ateuliwe na Mhe Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania …

Read More »

KUKAMILIKA UWANJA WA NDEGE CHATO KUTAFUNGUA FURSA ZA UTALII GEITA

DSC_2070

Mwenyekiti  wa    wa Bodi ya Shirika la kuhifadhi Wanyamapori Tanzania (TANAPA),  Jenerali Mstaafu,George Waitara  akizungumza na Mhandisi  wa  ujenzi wa  uwanja  huo,Makuye Muhinga juu ya mikakati ambayo inaendelea ya ujenzi wa uwanja wa ndege Wilayani Chato mkoani Geita,wakati walipoutembelea.   Barabara  ya kutua ndege  (run away) yenye  urefu wa  Mita  300  ambayo kwa sasa  hipo  kwenye hatua nzuri za mwisho kukamilika. …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AWAANDALIA MABALOZI SHEREHE YA MWAKA MPYA MABALOZI WANAOWAKILISHA NCHI ZAO HAPA NCHINI (DIPLOMATIC SHERRY PARTY) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

5

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kuwakaribisha Mabalozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam Ijumaa jioni Februari 9, 2018 kabla ya kuanza kwa hafla ya kukaribisha mwaka mpya kwa Mabalozi hao.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli …

Read More »