Saturday , November 17 2018

Home / 2018 / February / 11

Daily Archives: February 11, 2018

MAANDALIZI YA UCHAGUZI YA UCHAGUZI YANAKWENDA VIZURI

1

Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Emmanuel Kawishe (wa pili kulia) akieleza jambo wakati Tume ilipomtembelea Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kinondoni kujua maandalizi ya uchaguzi mdogo wa jimbo hilo.  Mkurugenzi wa Idara ya Uendeshaji Uchaguzi Irene Kadushi akieleza jambo wakati wa kikao hicho. …

Read More »

WANANCHI WASHUKURU SERIKALI UJENZI WA DARAJA LA MTO KILOMBERO

3

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia), akikagua daraja la mto Kilombero lenye urefu wa mita 384 ambalo linaunganisha wilaya ya Kilombero, Ulanga na Malinyi mkoani Morogoro ambapo mpaka sasa ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 100. Katikati ni ni Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mkoa wa …

Read More »

TRA YAKAMATA BIDHAA MBALIMBALI ZIKITOKEA NCHINI KENYA

pic+tra

Na: Veronica Kazimoto,Arusha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata na kutaifisha bidhaa mbalimbali ikiwa ni pamoja na tani moja ya sukari na chumvi, majani ya chai mifuko 18, mirungi kilogramu 16, vifaranga vya kuku 5000 na mayai kasha 416 katika mpaka wa Namanga mkoani Arusha zikitokea nchini Kenya kupitia njia …

Read More »

KIBITI YATENGA BIL 5.3 UJENZI WA MAKAO MAKUU YA WILAYA

IMG_20180211_111846

Makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kibiti,Yusuph Mbinda ,akionekana pichani akielezea jambo kuhusiana na utekelezaji wa miradi katika sekta mbalimbali . Picha na Mwamvua Mwinyi ……………… Na Mwamvua Mwinyi, Kibiti  HALMASHAURI ya wilaya ya Kibiti, Mkoani Pwani, imetenga kiasi cha sh. bil 5.3 kwa ajili ya ujenzi wa makao …

Read More »

UNESCO CONDUCTS 7 DAY TRAINING WORKSHOP FOR MEDIA PERSONNEL

unnamed

The UNESCO Dar es Salaam Office is conducting a 7-day training workshop for community radio practitioners on Editorial, Programming and Monitoring on Issues of Local Concern. The training which started on Tuesday February 06 has brought together 49 community media practitioners from 24 UNESCO supported community radios. The main objective …

Read More »

ASYA IDAROUS KHAMSIN AACHIA JUKWAA KWA MOYO MMOJA!

IMG_1034

 Kila jambo hakika huwa halikosi mwisho msemo huu huwa na ukweli ndani yake ilikuwa kama ndoto kwa Mama wa mitindo Asya Idarous Khamsin kutangaza kustaafu kuandaa jukwaa la Lady in Red, lakini ndoto hiyo imetimia kabisa bila kipingamizi mbele ya hadhara kubwa ya watu usiku wa 9 Feb 2018 ndani …

Read More »