Wednesday , April 24 2019

Home / 2018 / February / 12

Daily Archives: February 12, 2018

ARDHI YASABABISHA MGOGORO KATI YA FAMILIA NA SERIKALI MJINI GEITA

DSC_0086

Baadhi ya eneo ambalo linalalamikiwa na Bw,Sizya Mashirungu kuvamiwa na kujengwa shule na serikali kinyume na makubaliano kati yake halmashauri ya Mji wa Geita. Mwenyekiti wa mtaa  Shinde Bw Makoye Mumilambo akizungumza juu ya malalamiko ambayo yametolewa na Bw,Sizya Mashirungu juu ya kutaka kutahifishwa eneo la familia na serikali  ya mtaa …

Read More »

GOFU LUGALO YATEKELEZA AGIZO LA MKUU WA MAJESHI YASHINDA NIGERIA

IMG-20180212-WA0004

Mchezaji wa Lugalo Golf Club Angel Eaton akishangilia mara baada ya kucheza mpira mzuri katika shimo namba Tisa katika mashindano ya wazi ya wanawake ya IBB ladies Championship yaliyomalizika Jumapili nchini Nigeria Mchezaji wa Lugalo Golf Club Angel Eaton akishangilia akiwa na wechaji wenzie mara baada ya kuibuka mshindi  katika …

Read More »

UNESCO KUADHIMISHA SIKU YA RADIO DUNIANI DODOMA

WRD 2018

Shirika la UNESCO kwa kushirikiana na Mtandao wa Redio Jamii Tanzania (TADIO) wataaungana na Dunia nzima kuadhimisha Siku ya Redio Duniani. Maadhimisho hayo yatafanyika Dodoma mnamo Tarehe 13/ Februari mwaka 2018 na yatajumuisha waandishi wa habari wa vyombo vya habari vya jamii kutoka Tanzania Bara na Visiwani na Wadau wengine …

Read More »

Maafisa Habari, TEHAMA ni Mawakala wa Mabadiliko

3

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mara,Raphael Joseph Nyanda akifungua Semina kwa Maafisa hao wa Mkoa wa Mara na Arusha. Dkt. Peter Kilima, Mkurugenzi wa Utawala Bora na Ushirikishwaji wa Wananchi kutoka PS3, akizungumza wakati wa Mafunzo hayo Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari Maelezo anayeshghulikia Habari na picha akitoa Salama za …

Read More »

ZURA YASEMA BEI YA MAFUTA YA PETROLI NA MAFUTA YA TAA IMEPANDA KWA MWEZI WA PILI VISIWANI ZANZIBAR

k (6)

Khuzaimat Bakari Kheir kwa Niaba ya Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ,Nishati na Maji Zanzibar (ZURA) akizungumza na waandishi wa habari huko Ofisi Maisara juu ya mabadiliko ya bei za mafuta ambazo zitaanza kutumika hapo kesho.(Picha na Kijakazi Abdalla   Maelezo Zanzibar.) …………….. Na Kijakazi Abdalla       Maelezo           MAMLAKA ya …

Read More »

Waziri Mwakyembe Akutana Na Waziri Wa Habari Utalii Utamaduni Na Michezo Serikali Ya Mapinduzi Ya Zanzibar kujadili Mapokezi Ya Viongozi Wa FIFA Na CAF Nchini

Pix 3

Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Yusuph Singo (kulia) akizungumza wakati wa kikao cha Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe (wapili kushoto) na Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Rashid Ali Juma (wapili kulia) kujadili maandalizi ya …

Read More »

IGP SIRRO AMUAPISHA KAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR

1

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akimuapisha kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar (CP) Mohamed Hassani Haji, leo Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam, baada ya  kuteuliwa na Mheshimiwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli. Kamishna wa Polisi …

Read More »

Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahutubia Siku ya Sheria Zanzibar

DSC_4001

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waheshimia Majaji wa Mahakama Kuu Zanzibar wakati akiwasili katika viwanja vya zamani vya Baraza la Wawakilishi kikwajuni Unguja. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Waheshimiwa wa …

Read More »

WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAKURUGENZI WA KAMPUNI YA NAMERA NA JOC

PMO_7716

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa .amekutana na Mkurugenzi Mtendaji wa JOC Bw. Qin Mengwei (Kulia). na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Namera Group of Industries Bw. Hamza Rafiq Pardesi (kushoto mwenye miwani nyeusi)  . Wakurugenzi hao  wameahidi kununua pamba yote itakayozalishwa.Nchini Tanzania.Waziri Mkuu amekutana na viongozi hao leo,  Februari 12, 2018 Ofisini kwake jijini …

Read More »

TRL YAPATA HASARA BILIONI TANO

????????????????????????????????????

Mhandisi Mkuu kutoka Shirika la Reli (TRL), Mhandisi Nelson Ntejo akitoa maelezo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia) kuhusu maendeleo ya kazi ya ukarabati wa eneo lililoathiriwa na mvua kubwa zilizonyesha mwanzoni mwa mwaka, katika eneo la Kilosa mkoani Morogoro, wakati Waziri huyo alipokagua reli …

Read More »

Naibu Waziri Kakunda Amsimamisha Mhandisi wa Maji Chemba

image3

Naib wa Waziri OR-TAMISEMI Mhe. Joseph Kakunda akikagua mradi wa maji Lahoda-Kisanda wakati wa ziara yake Wilayani Chemba. Naibu Waziri OR-TAMISEMI Mhe.Joseph kakunda (kulia) akizungumza na mwanafunzi Fatuma Ramadhani wakati alipotembelea shule ya Msingi Lahoda. NaibU Waziri OR-TAMISEMI Mhe. Joseph Kakunda akikagua mradi wa maji Lahoda-Kisand NaibU Waziri OR-TAMISEMI Mhe. …

Read More »

TBL kinara viwanda vya kutengeneza bia barani Afrika

????????????????????????????????????

Baadhi ya washiriki wa mkutano wa VPO wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutembelea kiwanda  bora cha bia barani Afrika cha TBL-Mbeya. Meneja wa kiwanda cha TBL Mbeya,Jemedari Waziri,akiwa na kikombe cha tuzo hiyo. Meneja wa kiwanda cha TBL Mbeya,Jemedari Waziri,akiwa na kikombe cha tuzo hiyo. Baadhi ya Mameneja …

Read More »

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA HAPA NCHINI, PIA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU PAMOJA NA MWENYEKITI WA BODI YA SHIRIKA LA MAWASILIANO LA TANZANIA TTCL CORPORATION IKULU DAR ES SALAAM

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa China hapa nchini Wang Ke aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo. Wa kwanza kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Dkt. Augustine Mahiga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John …

Read More »

WAKURUGENZI, WAKURUGENZI WASAIDIZI NA BAADHI YA WATUMISHI WA OFISI YA BUNGE WAPATIWA SEMINA JINSI YA KUKABILIANA NA VIHASHIRIA HATARISHI NDANI YA OFISI YA BUNGE

IMGL1308

Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge, Ndg. Nenelwa Wankanga akifungua semina ya Jinsi ya kukabiliana na Vihashiria hatarishi ndani ya Ofisi ya Bunge kwa Wakurugenzi, Wakurugenzi wasaidizi, Wakuu wa Vitengo na baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Bunge iliyoanza leo katika kumbi za Bunge Mjini Dodoma. Watumishi wa Ofisi ya Bunge …

Read More »