Thursday , February 21 2019

Home / 2018 / February / 13

Daily Archives: February 13, 2018

BIL 23.061 KUTUMIKA KWENYE MATENGENEZO YA BARABARA PWANI 2018/2019

rod

Meneja wa wakala wa barabara Tanzania (TANROADS) Mkoani Pwani ,mhandisi Yudas Msangi akizungumza jambo ofisini kwake ,kuhusiana na masuala ya barabara Mkoani hapo ( picha na Mwamvua Mwinyi) ………………………………………………………………………………. Na Mwamvua Mwinyi,Pwani KIASI cha sh. bilioni 23.061 zimepangwa kutumika kutoka mfuko wa barabara kwa ajili ya miradi ya matengenezo mbalimbali …

Read More »

WAKULIMA WA KOROSHO PWANI WAPATA BIL.57.7 KUTOKANA NA MAUZO YA KOROSHO

ndiki

Mkuu wa mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo akizungumza na wajumbe wa kikao cha ushauri cha mkoa huo (RCC)kuhusiana na mipango na mkakati mbalimbali ya kuendeleza maendeleo ya kimkoa.(Picha na Mwamvua Mwinyi) …………………………………………………………………….. Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha Wakulima wa zao la korosho Mkoa wa Pwani wamefanikiwa kupata kiasi cha sh. bilioni …

Read More »

Dkt. Kalemani afanya ziara Chato

????????????????????????????????????

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akielezea matumizi ya Kifaa Maalum cha Umeme Tayari (UMETA) kwa wananchi wa kijiji cha Iparamasa (hawapo pichani) wilayani Chato mkoani Geita. Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Chato mkoani …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

msangi

WATU WAWILI WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA KOSA LA KUPATIKANA NA BHANGI KIASI CHA GRAMU 104.4, WILAYANI ILEMELA. KWAMBA TAREHE 12.02.2018 MAJIRA YA SAA 20:58HRS USIKU KATIKA MTAA WA KILOLELI KATA NYASAKA JIJI NA MKOA WA MWANZA, WATU WAWILI WALIOFAHAMIKA KWA MAJINA YA 1. SHAFII ABDALLAH, MIAKA 21, MKAZI …

Read More »

KAMATI YA NIDHAMU YA TFF, YAKATAA MALALAMIKO YA NJOMBE MJI

NJOMBE-MJI-KIKOSI

Klabu ya Njombe Mji iliwasilisha malalamiko kuwa Tanzania Prisons ilimchezesha mchezaji James Mwasote katika mechi yao namba 126 ya Ligi Kuu ya Vodacom iliyofanyika Februari 3, 2018 wakati akiwa na kadi tatu za njano. Kamati imekataa malalamiko ya Njombe Mji FC kwa vile wakati James Mwasote anacheza mechi hiyo iliyofanyika …

Read More »

LIGI DARAJA LA KWANZA TFF YASHUSHA RUNGU KWA TIMU TATU

AfricanLyon

  Mechi namba 53 Kundi A (Kiluvya United 0 vs African Lyon 1). Klabu ya African Lyon imepigwa faini ya sh. 200,000 (laki mbili) kutokana na timu yake kutoingia vyumbani katika mechi hiyo iliyofanyika Februari 5, 2018 kwenye Uwanja wa Filbert Bayi mkoani Pwani. Kitendo hicho ni ukiukaji wa Kanuni …

Read More »

JUMA NYOSO AFUNGIWA MECHI TANO NA FAINI MILIONI MOJA

20180123_011338

Kamati ya Nidhamu iliyokutana Jumamosi Februari 10, 2018 pamoja na mambo mengine pia ilipitia shauri la mchezaji wa Kagera Sugar Juma Nyoso lililofikishwa kwenye kamati akituhumiwa kwa utovu wa nidhamu kwenye mechi namba 112 ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Kagera Sugar dhidi ya Simba Sports Club iliyochezwa kwenye …

Read More »

TFF YAMFUNGIA MECHI TATU MOHAMED SULEIMAN USSI WA TRANSIT CAMP

tff

Kikao cha Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF ilikutana Jumamosi Februari 10, 2018 kupitia mashauri yaliyofikishwa kwenye kamati hiyo. Shauri namba moja lilihusisha malalamiko dhidi ya wachezaji Saba(7) wa timu ya Transit Camp,shauri ambalo lilihudhuriwa na mchezaji mmoja Mohamed Suleiman Ussi. Mchezaji Mohamed Suleiman Ussi …

Read More »

Waandishi wa Habari Watakiwa Kuzingatia Weledi

Pix 3

Mwakilishi kutoka  Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Kimataifa (UNESCO) Bi. Faith Shayo akiongea wakati wa kuadhimisha siku ya Redio Duniani  leo Mkoani Dodoma, katikati nia Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Juliana Shonza na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge . Mkuu …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AMALIZA ZIARA MKOANI IRINGA

8

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao wakati wa majumuisho ya ziara yake mkoani Iringa, Wengine pichani ni Mkuu wa mkoa wa Iringa Bi. Amina Masenza (kushoto) na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Bw. Salim Abri Asas Makamu wa Rais …

Read More »

JUKWAA LA NISHATI TANZANIA KUTOA SEMINA KWA WABUNGE

picha+bunge

  Na Mwandishi Wetu   JUKWAA la Nishati Tanzania linatarajia kutoa semina kwa wabunge ili wapate uelewa wa nishati na changamoto zake, watakapokuwa wanajibu maswali ama kuuliza wafanye hivyo kwa manufaa ya taifa.   Mratibu wa Jukwaa hilo nchini ambaye ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), …

Read More »

WAZIRI MKUU AZINDUA MPANGO MKAKATI WA AFYA MOJA

index

 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa azindua Mpango Mkakati wa Afya Moja na Dawati la Kuratibu Afya Moja nchini ni  lenyelengo  katika kuhakikisha Tanzania inaendelea kuwa mahala safi na salama kwa kuishi na kufanya kazi za kimaendeleo.kulia kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu, Bibi Jenista Mhagama.na kushoto …

Read More »

MBUNGE WA CHALINZE ALIPOTOFAUTIANA NA WAZIRI JUU YA HALI YA MAJI CHALINZE BAADA KWISHA KWA KANDARASI YA UJENZI WA MRADI WA MAJI WAMI-CHALINZE

index

NAIBU SPIKA: Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete swali la nyongeza   MHE. RIDHIWANI J. KIKWETE:Mheshimiwa Naibu Spika, nikushukuru kwa kunipa nafasi.   Mheshimiwa Waziri nafikiri leo unatambua kwamba leo ndio tarehe ya mwisho ya ule mradi maji Chalinze, ninachotaka hapa ni kusikia kauli ya Serikali juu ya nini sasa kinafuata baada ya …

Read More »

DKT WMIGULU NCHEMBA AKUTANA NA WAENDESHA BODABODA NA MADEREVA WA DALADALA JIMBONI KWAKE

index

  Waziri wa mambo ya ndani ya nchi  na Mbunge wa jimbo la Iramba Dkt.  Mwigulu Nchemba akiongea na vijana waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda waliyopo stand kuu ya mabasi iramba kuhusu usalama wao waendeshapo pikipiki ……………………………………………………………………………..  Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi  na Mbunge wa jimbo la Iramba …

Read More »

Tigo Yatoa Zawadi kwa Washindi wa Promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus.

TIO

Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael (kulia) akimzawadia   Saidi Abdallah Popote wa Tabata, Dar es Salaam simu aina ya Tecno R6 yenye uwezo wa 4G aliyoshinda katika promosheni inayoendelea ya Nyaka Nyaka Bonus, huku akishuhudiwa na baadhi ya washindi wengine. Tigo inatoa bonasi ya hadi GB1 ya intaneti kwa wateja wanaonunua bando …

Read More »

AWESO ATAKA MIRADI YA MAJI IKAMILIKE KWA WAKATI

dawasco (1)

Naibu Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akikagua bomba la DAWASCO linalosambaza Maji ya Ruvu Juu iliyopo maeneo ya Kigamboni jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akikagua Mradi wa visima 20 eneo la Kisarawe II katika mji wa Kigamboni jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri …

Read More »

Naibu Waziri awasha Umeme Gongolamboto

picha 1

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (aliyekaa) akiwasha umeme katika kituo cha Gongolamboto kwa kutumia teknolojia ya kisasa kwa njia ya Kompyuta. Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, (wa pili kushoto) akipata maelezo ya uendeshaji wa kituo cha Gongolamboto , kutoka kwa  Naibu Mkurugenzi Mtendaji Uwekezaji wa Shirika la Umeme …

Read More »

SMZ yatangaza miongozo kuelekea ugatuzi

????????????????????????????????????

Muandishi wa Habari wa ITV Farouk Karym akiuliza maswali katika Mkutano wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheir kuhusiana na kuanzishwa Mabaraza ya Wadi na Kamati za Mashauriano za Shehia katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi …

Read More »

MATUKIO YA PICHA KUTOKA KIKAO CHA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANIZBAR

????????????????????????????????????

Muakilishi wa Jimbo la Konde Omar Seif Abeid akiuliza maswali katika kikao cha Baraza la Wawakilishi kinachoendelea Chukwani Mjini Zanzibar. Muakilishi wa Jimbo la Chakechake Suleiman Sarahan Said kushoto akibadilishana mawazo na Muakilishi wa Jimbo la Pangawe Khamis Juma Mwalim ndani ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi  linaloendelea  Chukwani Mjini …

Read More »