Wednesday , August 15 2018

Home / MICHEZO / KAMATI YA NIDHAMU YA TFF, YAKATAA MALALAMIKO YA NJOMBE MJI

KAMATI YA NIDHAMU YA TFF, YAKATAA MALALAMIKO YA NJOMBE MJI

NJOMBE-MJI-KIKOSI

Klabu ya Njombe Mji iliwasilisha malalamiko kuwa Tanzania Prisons ilimchezesha mchezaji James Mwasote katika mechi yao namba 126 ya Ligi Kuu ya Vodacom iliyofanyika Februari 3, 2018 wakati akiwa na kadi tatu za njano.

Kamati imekataa malalamiko ya Njombe Mji FC kwa vile wakati James Mwasote anacheza mechi hiyo iliyofanyika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya alikuwa na kadi mbili za njano. Mwasote alipata kadi hizo kwenye mechi dhidi ya Majimaji na dhidi ya Singida United.

About Alex

Check Also

MO SALAH ACHUNGUZWA NA POLISI

MSHAMBULIAJI wa klabu ya Liverpool, Mohamed Salah ‘Mo Salah’ anachunguzwa na polisi nchini England kutokana …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

four − 2 =