Wednesday , August 15 2018

Home / MCHANGANYIKO / WAZIRI MKUU AKABIDHI GARI KWA MAMLAKA YA KUPAMBAMBANA NA DAWA ZAKULEVYA

WAZIRI MKUU AKABIDHI GARI KWA MAMLAKA YA KUPAMBAMBANA NA DAWA ZAKULEVYA

PMO_7943

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa( Aliye vaa miwani)leo (Jumanne, Februari 13, 2018) amekabidhi gari kwa Kamishna Generali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Bw. Rogers Siyanga kwa ajili ya Mamlaka hiyo. Makabidhiao hayo yamefanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.

PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

About bukuku

Check Also

????????????????????????????????????

MELI YAUNGUA MOTO BAGAMOYO

Meli kubwa ya mizigo iitwayo MV RAHIMA (LAND CRAFT RAHIMA) ambayo imeungua moto katika bandari …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

five × one =