Friday , March 22 2019

Home / 2018 / February / 14

Daily Archives: February 14, 2018

TAA YAPEWA WIKI 2 KUKUSANYA MADENI YOTE

????????????????????????????????????

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, akitoa maelekezo kwa Meneja wa Kiwanja cha Ndege Mwanza, Bi. Easter Madale (kushoto), alipokagua maendeleo ya upanuzi wa kiwanja hicho mkoani Mwanza leo. Meneja wa Kiwanja cha Ndege Mwanza, Bi. Easter Madale (wa pili kulia), akimuonesha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na …

Read More »

NOGESHA UPENDO WA TBL GROUP YAWAFIKIA WAFANYAKAZI WAKE

????????????????????????????????????

Wafanyakazi wa TBL wakipata mafunzo sambamba na burudani za vinywaji baada ya saa za kazi   Wafanyakazi wa TBL Arusha wakifutilia mafunzo Wafanyakazi wa TBL Mwanza wakifuatilia mafunzo ya mahusiano na afya TBL Moshi hawakubaki  nyuma katika mafunzo hayo TBL Mbeya nao walishiriki mafunzo na mijadala ya mahusiano ………………   …

Read More »

YALIYOJIRI ZIARA YA NAIBU WAZIRI, WA VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI, MHE. MHANDISI MANYANYA ALIPOTEMBELEA SHAMBA LA KILIMO CHA MPIRA LA KALUNGA PAMOJA NA KIWANDA CHA KUCHONGA VIPULI CHA MANG’ULA KILOMBERO MKOANI MOROGORO

10

Naibu Waziri, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Mhandisi Stella Manyanya akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kufika katika shamba la mpira la Kalunga, katika Kijiji cha Mwaya, Kilombero mkoani Morogoro. Wananchi wa Kijiji cha Mwaya wakimsikiliza Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Mhandisi …

Read More »

MAANDALIZI YA UCHAGUZI JIMBO LA SIHA YAMEKAMILIKA

1

  Siha-Kilimanjaro Zikiwa zimebakia siku tatu kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mdogo katika Majimbo 2 na Kata 8 za Tanzania Bara, maandalizi kwa ajili ya Uchaguzi wa Ubunge katika Jimbo la Siha na Udiwani katika Kata 3 za jimbo hilo lililopo mkoani Kilimanjaro yamekamilika. Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo hilo  …

Read More »

PIGO ARSENAL, LACAZETTE NJE WIKI SITA BAADA YA UPASUAJI

4918057100000578-0-image-a-51_1518531563120

TIMU ya Arsenal inaweza kumkosa mshambuliaji wake, Alexandre Lacazette kwa wiki sita baada ya Mfaransa huyo kufanyiwa upasuaji wa goti lake la mguu wa kushoto. Klabu imethibitisha Lacazette aliumia goti na kufanyiwa upasuaji jana asubuhi na atakuwa nje kwa wiki sita baada ya zoezi hilo. Arsenal imesema upasuaji wa goti hilo umetokana na tatizo …

Read More »

TSHISHIMBI AING’ARISHA YANGA ‘YAICHAPA MAJI MAJI 4G-1’

28168076_555374124842370_4882231723971181180_n

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara Timu ya Yanga imeendelea kumkimbiza Mnyama baada ya kupata ushindi mnono wa magoli 4-1 dhidi ya Maji Maji ya Songea mchezo uliopigwa katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam. Yanga walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa kiungo Mkabaji Mkongo,Papy …

Read More »

HALMASHAURI YA LONGIDO YAPEWA GARI LA CHANJO

index

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemkabidhi mbunge wa jimbo la Longido, Dkt. Stephen Kiruswa gari aina Tunland Double cabin kwa ajili ya kuboresha huduma za chanjo na afya katika jimbo hilo. Amemkabidhi gari hilo leo (Jumatano, Februari 14, 2018) mbele ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya hiyo,  Bw. Jumaa Mhina …

Read More »

BIL. 161.9 ZIMETUMIKA KUBORESHA VITUO VYA AFYA 170-MAJALIWA

index

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetumia sh. bilioni 161.9 kuboresha vituo vya afya 170 nchini pamoja na kugharamia huduma ya Afya ya Mama na Mtoto kwa lengo la kuokoa maisha yao. Amsema Serikali itaendelea kukarabati na kupanua miundombinu ya kutolea huduma pamoja na kununua vifaa vya kisasa katika Hospitali za …

Read More »

HIFADHI YA MIKUMI YAIOMBA SERIKALI KUCHEPUSHA BARABARA YA LAMI INAYOPITA NDANI YA HIFADHI HIYO

1a

Na Hamza Temba-WMU-Morogoro ………………………………………………………. Serikali inafikiria namna bora ya kubadilisha uelekeo wa eneo la kilometa hamsini za barabara ya lami inayopita ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi au kutoza kodi ya utalii kwa watu wanaotumia barabara hiyo ili kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazosabishwa na barabara hiyo kwenye uhifadhi. Hayo …

Read More »

Wizara ya Maji Yaanza Kutekeleza Agizo la JPM Kwa Kasi.

4

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwelwe akikagua mitambo ya kusukuma maji katika eneo la Mailimbili mapema leo wakati wa ziara yake yakukagua namna Wizara hiyo kupitia Mamlaka ya Maji Safi na Maji  Taka Dodoma (DUWASA) itakavyofanikisha mradi wa kufikisha huduma ya maji katika eneo la Ihumwa unakojengwa Mji …

Read More »

SERIKALI YAPOKEA ZANA ZITAKAZOTUMIKA KUKUSANYA NA KUTOA TAARIFA ZA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA HATARISHI

Pix 1

Kamishna wa Ustawi wa Jamii  Dkt. Naftali Ng’ondi akifungua  kikao cha makabidhiano ya zana za kukusanya na kutoa taarifa za watoto walio katika mazingira hatarishi kilichofanyika katika Ukumbi wa Hazina leo Februari 14,2018  mjini Dodoma. Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi(kulia) akimpongeza Kamishna wa Ustawi wa Jamii  …

Read More »

MALAWI YAONESHA NIA KUPATA GESI KUTOKA TANZANIA

2

Mawaziri kutoka Malawi mara baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Wizara ya Nishati jijini Dar es Salaam kwa ajili ya majadiliano kuhusu masuala ya Nishati na mwenyeji wao Waziri wa Nishati wa Tanzania, Dkt. Medard Kalemani (hayupo pichani). Kushoto ni Waziri wa Maliasili, Nishati na Madini, Aggrey Masi na Waziri …

Read More »

REDIO ZATAKIWA KUWA TARISHI WA MAENDELEO

url

Wafanyakazi wa taasisi za redio wamekumbushwa wajibu wao kama ilivyo chombo chochote cha habari kuwa matarishi wa amani, upendo, mshikamano na kuhuisha maendeleo. Aidha wameambiwa kwamba kwa kuwa Redio ina nguvu kuliko chombo chochote kingine duniani kwa kuwafikia watu wengi zaidi hivyo basi wanatakiwa kuwa makini wanapowafikishia wananchi taarifa. Kauli …

Read More »

E-PASSPORT : WALIOTOSWA KUTAFUNA BILIONI 400 ZA JPM WAHAHA

unnamed

Na. Ibrahim Malinda   Mambo mazito yameibuka yakilihisisha gazeti moja la kila wiki kuhongwa mamilioni ya pesa ili kuichafua serikali wakiituhumu kwa tuhuma za uongo kuhusiana na mradi wa hati za kusafiria na uhamiaji kwa ujumla.   Hivi karibuni Gazeti hili liliripoti kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO PROFESA COSTA MAHALU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo(University of Bagamoyo UB) Profesa Costa Mahalu mara baada ya kufanya nae mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. John Pombe Magufuli …

Read More »

MWENYEKITI WA CCM KATA YA KIWALANI MATHIAS KAHINGA AMESEMA WALA RUSHWA PAMOJA NA WAPIGA DILI HAWANA NAFASI KWENYE UTAWALA WAKE

IMG_20180213_123814

Mwenyekiti wa Ccm Kata ya kiwalani katikati Mathias Mahinga akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari hapo pichani kushoto nikatibu wa Chama hicho Kata Eve Malenga na kulia Mwenezi Kata Haroun Muhajir jijini Dar es salaam leo Picha na David John. ……………….. Na David John MWENYENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA

MENO YA TEMBO 01

Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako, operesheni na doria zenye tija katika maeneo mbalimbali ili kudhibiti uhalifu na wahalifu na limekuwa likishirikiana na wananchi na wadau wengine katika jitihada hizo za kukabiliana na uhalifu na wahalifu na kupata mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kupungua kwa matukio …

Read More »

SIXTUS MAPUNDA AMNADI KWA KISHINDO MTULIA, KINONDONI SHAMBA, LEO.

BN643307B

  Mbunge wa Mbinga Mjini, Sixtus Mapunda (kushoto) akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni, Said Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo Feb 13, 2018, katika Kata ya Kinondoni Shamba jijini Dar es Salaam.( PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO) Mbunge wa Mbinga Mjini, Sixtus Mapunda (kushoto) akimnadi Mgombea Ubunge …

Read More »