Thursday , May 24 2018

Home / MCHANGANYIKO / Matukio katika Picha Uzinduzi wa Bodi ya Usajili wa Thamani wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jana Jijini Dar es Salaam.

Matukio katika Picha Uzinduzi wa Bodi ya Usajili wa Thamani wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jana Jijini Dar es Salaam.

Pix 1b

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (kulia) akisisitiza jambo kwa wajumbe wa Bodi ya Usajili wa Thamani wakati alipozindua Bodi hiyo mapema jana jijini Dar es Salaam, kushoto ni Naibu Waziri wa wizara hiyo Angela Mabula.

Pix 2

Mjumbe wa Bodi ya Usajili wa Thamani Bi. Ahaad Meshiri akitoa neno la shukrani kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (katikati) mara baada ya uzinduzi wa bodi hiyo jana jijini Dar es Salaam, kushoto ni Naibu Waziri wa wizara hiyo Angela Mabula.

Pix 3

Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Thamani, Dk. Cletus Ndjovu akitoa neno la shukrani kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (katikati) mara baada ya uzinduzi wa bodi hiyo jana jijini Dar es Salaam, kushoto ni Naibu Waziri wa wizara hiyo Angela Mabula.

Pix 4

Baadhi wajumbe wa bodi na watumishi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakimsikiliza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa Bodi ya Usajili wa Thamani hiyo mapema jana jijini dare s Salaam.

Picha na Eliphace Marwa – Maelezo

About Alex

Check Also

P_20180118_171520

VIDEO:RC WANGABO WATENDAJI WANAOCHANGIA KUENEA KIPINDUPINDU RUKWA WASHUGHULIKIWE

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amesema hatamvumilia mtendaji wa serikali atakaechangia kuenea …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

11 − six =