Thursday , December 13 2018

Home / SIASA / SIXTUS MAPUNDA AMNADI KWA KISHINDO MTULIA, KINONDONI SHAMBA, LEO.

SIXTUS MAPUNDA AMNADI KWA KISHINDO MTULIA, KINONDONI SHAMBA, LEO.

  Mbunge wa Mbinga Mjini, Sixtus Mapunda (kushoto) akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni, Said Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo Feb 13, 2018, katika Kata ya Kinondoni Shamba jijini Dar es Salaam.( PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO)

Mbunge wa Mbinga Mjini, Sixtus Mapunda (kushoto) akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni, Said Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo Feb 13, 2018, katika Kata ya Kinondoni Shamba jijini Dar es Salaam

 Sixtus na Mtulia wakiselebuka Singeli baada ya Mtulia kupanda jukwaani kinadiwa

Mbunge wa Mbinga Mjini, Sixtus Mapunda akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni, Said Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo Feb 13, 2018, katika Kata ya Kinondoni Shamba jijini Dar es Salaam

Mgombea ubunge wa CCM katika jimbo la Kinondooni Said Mtulia akisalimia wananchi wakati akinadiwa na Mbunge wa mbinga mjini Sixtus Mapunda katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo Feb 13, 2018, katika kata ya Kinondoni Shamba, jijini Dar es Salaam

Mbombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mdogo jimbo la Kinondoni Sad Mtulia akiomba kura kwa wananch katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata ya Kinondoni Shamba jijini Dar es Salaam, leo Feb 213, 2018
Mbunge wa Mbinga mjini Sixtus Mapunda akitamba jukwaani kumuombea kura kwa wananchi mgombea wa CCM Said Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Kata ya Kinondoni Shamba, Dar es Salaam, leo Feb 13, 2018

Mbunge wa Mbinga mjini Sixtus Mapunda akisisitiza jambo jukwaani kumuombea kura kwa wananchi mgombea wa CCM Said Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Kata ya Kinondoni Shamba, Dar es Salaam, leo Feb 13, 2018

Baadhi ya Wabunge wakiwa jukwaaani kumuombea kura mgombea ubunge wa CCM Said Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika Kata ya Kinondoni Shamba, leo Feb 13, 2018

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Kate kamba akimkaribisha jukwaani sixtus Mapunda

Mbunge wa Ilala Mussa Zungu akimuombea kura mgombea ubunge wa CCM Said Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo Feb 13, 2018 katika Kata ya Kinondoni Shamba Dar es Salaam

Mwenyekiti wa Chipukizi wa CCM Taifa akimuombea kura mbombea Ubunge wa CCm Said Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo Feb 13, 2018 katika Kata ya Kinondoni Shamba Dar es Salaam,.

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania, Sophia Simba akiwasili kwenye mkutano wa kampeni za CCM za kumnadi mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM uliofanyika leo katika Kata ya Kinondoni Shamba dar es Salaam, leo Feb 13, 2018

Mweneyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Kate Kamba (kulia) akijadili jambo na Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika jimbo la Kinondoni Said Mtulia, wakati wa mkutano wa kampeni za CCm uliofanyika leo Feb 13, 2018 katika kata ya Kinondoni Shamba Dar es Salaam. katikati ni Mbunge wa Mbinga mjini Sixtus Mapunda

Mweneyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Kate Kamba (kulia) akiwa na Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika jimbo la Kinondoni Said Mtulia (kushoto) baada ya kuwasili kwenye mkutano wa kampeni za CCm uliofanyika leo Feb 13, 2018 katika kata ya Kinondoni Shamba Dar es Salaam. katikati ni Mbunge wa Mbinga mjini Sixtus Mapunda

Kijana Amina Mohammed akionyesha umahiri wa kucheza danadana wakati wa mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya CCM Said Mtulia uliofanyika leo Feb 13, 2018 katika kata ya Kinondoni Shamba dar es Salaam.

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Kinondoni Said Mtulia akisalimiana kwa furaha na Mzee Maarufu wa Kata ya Kinondoni Shamba jijini Dar es Salaam,  Shaaban Uledi wakati akiingia kwenye eneo la mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata hiyo leo Feb 13, 2018.

PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

About Alex

Check Also

01

Makatibu wa siasa na uenezi watakiwa kutangaza Sera imara za Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM

MWAKILISHI wa Jimbo la Kijitopele Mhe.Ali Suleiman Shihata akifungua Mafunzo ya Siku Moja ya Kuwajengea …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

4 × two =