Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / February / 15

Daily Archives: February 15, 2018

SERIKALI KULIPA FIDIA WANANCHI UJENZI WA BANDARI ZA ZIWA NYASA

JPEG. NA. 1

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Mhandisi Atashasta Nditiye akiteremka kwenye boti katika ziara yake ya kukagua huduma za mawasiliano na maeneo ya kujenga bandari kwenye mwambao wa Ziwa Nyasa aliyoifanya kuanzia kata ya Manda iliyopo wilayani Ludewa mkoani Njombe hadi Itungi …

Read More »

Waziri Mahiga Afanya Mazungumzo na Wabunge wa EALA

4O3A3848

Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA)  leo wamekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt.Augustine Mahiga Wizarani mjini Dodoma. Wabunge wa EALA wamewasili mjini Dodoma wakiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbalimbali ya Jumuiya inayotekelezwa na nchi …

Read More »

SIMBA YA 4G YAPUNGUZWA KASI NA MWADUI FC YATOKA SARE YA 2-2

IMG_5596-640x427

Na Alex Sanga, SHINYANGA TIMU ya Simba SC imepunguzwa kasi baada ya sare ya kufungana mabao 2-2 na wenyeji, Mwadui FC Uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga jioni ya leo. Sare hiyo inaiongezea pointi moja Simba SC ikifikisha 42 baada ya kucheza mechi 18, pointi tano zaidi ya mabingwa watetezi, …

Read More »

WATUMISHI FANYENI KAZI KWA UHAKIKA NA MJIAMINI-MAJALIWA

PMO_8854

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma watumie utalaamu wao vizuri na wafanye kazi kwa uhakika na kwa kujiamini ili  matokeo ya utendaji wao yaonekane. Ametoa kauli hiyo leo (Alhamisi, Februari 15, 2018) mara baada ya kupokea taarifa ya mkoa wa Mwanza alipowasili mkoani hapa kwa ajili ya ziara …

Read More »

MADIWANI WA BUCHOSA WAMKATAA MKURUGENZI WAO MBELE YA WAZIRI MKUU

PMO_8806

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema, Cyprian Luanda ambaye madiwani wa Halmashauri  hiyo walimwambia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  aondoke nae .  ………………. MADIWANI wa Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema wamemuomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aondoke na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Bw. Cyprian Luanda baada ya kutoridhishwa na utendaji wake. …

Read More »

MAJALIWA AZINDUA MADARASA YA KIDATO CHA TANO NA SITA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA NYEHUNGE WILAYANI SENGEREMA

PMO_8866

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na Askofu wa Jimbo Katoliki la Geita, Dkt. Flavian Kassala  baada ya kuweka jiwe la msing la  hospitali ya  Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema Februari 15, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama vitanda wakati alipokagua Bweni  lililopewa jina la Dkt.John Pombe Magufuli katika  Shule ya Secondari ya …

Read More »

MSD YATUNUKIWA ITHIBATI YA JUU YA UBORA

mmmmm

Na Dotto Mwaibale   BOHARI ya Dawa (MSD) imeendelea kukidhi viwango vya ubora vya kimataifa katika mfumo wa ununuzi, utunzaji na usambazaji dawa, vifaa tiba na vitendanishi vya maabara (Supply Chain Management) na kupata Ithibati ya Kimataifa ya ubora ya daraja la juu inayojulikana kama ISO 9001:2015 ambayo itadumu kwa …

Read More »

STARTIMES YAFANYA KWELI SIKU YA WAPENDANAO KWA WATEJA WAKE

A

Kampuni ya Star Media (T) Ltd inayomiliki chapa ya StarTimes, jana katika Siku ya wapendanao iliwapatia fursa wateja wao kupata chakula cha jioni na wapenzi wao katika mgahawa wa kifahari wa Akemi, Posta jijini Dar es Salaam. StarTimes ambayo kwa wiki kadhaa iliwapatia nafasi wateja wake kupitia kurasa zake za …

Read More »

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AMUAPISHA LUTENI JENERALI YAKUBU HASSAN MOHAMED KUWA MNADHIMU MKUU WA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

3-4

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimvalisha cheo kipya Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohamed ambapo awali alikuwa na cheo cha Meja Jenerali kabla hajamuapisha kuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Ikulu jijini Dar es …

Read More »

TANZANIA YASHINDA TUZO, DUBAI

abu dhabi

  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TANZANIA YASHINDA TUZO YA TEKNOLOJIA KATIKA MKUTANO WA DUNIA WA SERIKALI (WORLD GOVERNMENT SUMMIT 2018) Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshinda Tuzo za Kilele cha Serikali duniani (World Government Summit Awards) katika kundi la Tuzo ya Teknolojia bora inayoibuka Serikalini (Winner of …

Read More »

WATUMISHI FANYENI KAZI KWA UHAKIKA NA MJIAMINI-MAJALIWA

PMO_8716

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella (wapili kushoto) na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mwanza, Dkt. Anthony Diallo wakiwa ndani ya pantoni ya Orion wakivuka ziwa Victoria kutoka Mwanza kwenda Kamanga wilayani Sengerema kwa Ziara ya Kazi  Februari 15, 2018. (Picha na Ofisi ya …

Read More »

KAMATI YA UTENDAJI TFF KUKUTANA FEBRUARI 17,2018

index

Kikao cha kawaida cha kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) kinakutana Jumamosi  Februari 17,2018 kwenye Hoteli ya Sea Scape,Mbezi Beach,Dar Es Salam. Kikao hicho cha kawaida kinachokutana kila baada ya miezi mitatu kitakuwa na ajenda kwa mujibu wa katiba ya TFF kupitia na kutathmini utendaji wa …

Read More »

MATUKIO KUTOKA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR.

????????????????????????????????????

Muakilishi wa Jimbo la Wawi Hamad Abdalla Rashid akitoa mchango wake katika Baraza la Wawakilishi linaloendelea chukwani Mjini Unguja. Naibu Waziri wa Ardhi Maji Nishati na Mazingira Juma Makungu Juma akijibu maswali yalioulizwa  ndani ya Baraza la Wawakilishi linaloendele  chukwani Mjini Unguja. Muakilishi wa Jimbo la Chwaka na Waziri wa …

Read More »

MSCL KUDHIBITI MAPATO KIELEKTRONIKI

????????????????????????????????????

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mfumo wa ukatishaji wa tiketi kwa njia ya kielektroniki katika Meli ya MV. Clarias inayotoa huduma kati ya Mwanza na Ukerewe. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akikata tiketi ya kieletroniki mara …

Read More »

DStv Valentine week Special

Valentine Offer-02

Katika kusheherekea Msimu huu wa Valentine, DStv hawajakusahau, wanakuletea huduma zao karibu zaidi na kukupa zawadi Kabambe ya Valentine. Huu ni uzinduzi wa tawi lao jipya ndani ya Mlimani Cty ambalo limesheheni huduma zote na wafanyakazi wacheshi na wakarimu wako tayari kabisa kukuhudumia. Ili kuzidi kuleta msisimko kwenye valentine hii, …

Read More »

MAJALIWA AWASILI MWANZA KWA ZIARA YA KAZI

PMO_8520

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella baada ya kuwasili kwenye  uwanja wa ndege  wa Mwanza kuanza ziara ya kazi mkoani humo Februari 15, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo …

Read More »

MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA MAJENGO YA MAHAKAMA MKOANI MARA

IMG_3732

Pichani ni muonekano wa jengo la Mahakama ya Mwanzo Robanda lililopo Serengeti wilayani Mugumu, jengo hili lilijengwa kwa nguvu za wananchi na kumaliziwa na Mahakama ya Tanzania lilikabidhiwa rasmi tayari kwa matumizi Januari 26, 2018, uwepo wa jengo hili utasaidia kuwapunguzia wananchi aza ya kusafiri kilomita zipatazo 40 kwenda Mahakama …

Read More »