Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / February / 16

Daily Archives: February 16, 2018

IDARA YA URATIBU WA SHUGHULI ZA SERIKALI YAENDESHA KIKAO CHA TATHIMINI NA UFUATILIAJI JUU YA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO

????????????????????????????????????

Mwenyekiti wa kikao cha Kujadili Rasimu ya Mpango wa Tathimini na Ufuatiliaji wa Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto kwa miaka mitano  2017/18-2021/22 Bw.Joseph Kiraia akichangia hoja wakati wa kikao hicho kilichoratibiwa na Idara ya Uratibu wa Shughuli za Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Februari 16, 2018. Mshauri Mwelekezi wa …

Read More »

Mwigulu Nchemba ampa maagizo mazito IGP Simon Sirro

snapshot

Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi DKt.  Mwigulu Nchemba amemuagiza mkuu wa jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro na timu yake kufanya uchunguzi wa kina juu ya mauaji ya Daniel John ambaye alikuwa ni katibu wa Chadema kata ya Hananasif wilaya ya Kinondoni katika mauaji  yaliyotokea hivi karibuni  …

Read More »

WANANCHI WAMKATAA MKUU WA WILAYA MBELE YA WAZIRI MKUU

PMO_9422

Mkuu wa wilaya ya Kwimba , Mtemi Simon Msafiri ………………   WANANCHI wa wilaya ya Kwimba wamemuomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aondoke na mkuu wa wilaya hiyo Bw. Mtemi Msafiri baada ya kutoridhishwa na utendaji wake.   Wametoa ombi hilo leo (Ijumaa, Februari 16, 2018) walipozuia msafara wa Waziri Mkuu …

Read More »

JAFO AAGIZA MANISPAA YA ILALA KULINDA BARABARA

jf ilala (1)

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI Selemani Jafo akiwa na Mbunge wa jimbo la Ilala Mussa Zungu na Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema pamoja na viongozi mbalimbali na wananchi wa Mchikichini katika ukaguzi wa barabara. Moja ya barabara katika Kata ya Ilala ikiwa katika hali mbaya. Mbunge …

Read More »

Washindi 36 wa Promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus Wazawadiwa

DSC_0037

Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kulia) akimkabidi Mariam Akida (kati) mkaazi wa Tabata jijini Dar es Salaam zawadi ya simu janja aina ya Tecno R6 aliyoshinda katika promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus. Jumla ya washindi 36 walipata zawadi za simu janja kutoka Tigo katika promosheni hiyo inayoendelea. Kushoto …

Read More »

MTUMISHI WA CCM ZANZIBAR AFARIKI DUNIA

200px-Chama_Cha_Mapinduzi_Logo

  SALAMU ZA RAMBI RAMBI. NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dk. Abdulla Juma Saadalla ‘Mabodi’ ametuma salamu za rambi rambi kwa familia ya Mtumishi wa Chama Marehemu  Bw. Maulid Sleyum Said aliyefariki leo Februari 16 ,2018. Bw.Maulid amefariki dunia akiwa katika hospitali ya Global iliyopo Vuga …

Read More »

WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI NA WABUNGE WAOMBA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR ILI KUZITAMBUA KAYA MASKINI

20170912_121844

Na Maryam Kidiko – Maelezo                                   Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Wabunge wameombwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ili kuhakikisha wanazitambua kaya masikini ndani ya majimbo yao na kuzisaidia. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Mh. Shadia Muhamed Suleiman wakati akijibu …

Read More »

OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA VYOMBO VYA UTOAJI HAKI

IMG-20180216-WA0005[1]

Mwanasheria Mkuu wa  Serikali Mhe. Dk. Adelardus Kilangi akiwa katika mazungumzo na Rais wa  Mahakama   ya Afrika ya Haki za Watu na Binadamu  (AfCHPR)Jaji  Sylvain Ore walipokuta  Jijini  Arusha. Katika mazungumzo yao, Mwanasheria Mkuu wa Serikali aliahidi kushirikiana wa Mahakama hiyo ambapo kwa upande wake Rais wa  AfCHPR alisema mahakama hiyo imekuwa ikipata …

Read More »

MOSHI:MZUNGU AHUKUMIWA JELA MAISHA KWA MADAWA YA KULEVYA

jela

  KILIMANJARO: Mahakama Kuu Kanda ya Moshi imemhukumu kifungo cha maisha jela mwanamuziki Christina Biskasevskaja (26) raia wa Lithuania kwa makosa ya kukamatwa  na madawa ya kulevya. Christina alikamatwa Agosti 28, 2012 katika Uwanja wa Ndege KIA akijiandaa kuelekea Brussels Ubeligiji na madawa ya kulevya aina ya Heroin na Hydrochloride yenye …

Read More »

MULTICHOICE YAZINDUA KITUO CHA KISASA MLIMANI CITY

2

Meneja Uendeshaji wa MultiChoice Tanzania Ronald Baraka Shelukindo akiambatana na Afisa Masoko Talha Bakari akitoa maelezo kwa waandishi wa habari wakati wa ufunguzi wa kituo kipya cha MultiChoice Tanzania kilichopo Mlimani City jijini Dar es Salaam ambacho kitatoa huduma zote za wateja wa DStv ikiwemo mauzo, ufundi, malipo na huduma …

Read More »