Thursday , February 21 2019

Home / 2018 / February / 17

Daily Archives: February 17, 2018

TAZAMA MATOKEO YA UCHAGUZI SIHA KUTOKA VITUO MBALIMBALI

uchaguzii

MATOKEO ya awali ya uchaguzi wa ubunge Jimbo la Siha  yameanza kubandikwa nje ya vituo vya kupigia kura yakionyesha mgombea wa CCM, Dk Godwin Mollel akiongoza kwa mbali katika baadhi ya vituo. Katika matokeo hayo, Dk Mollel  anafuatiwa kwa mbali  na mgombea wa Chadema, Alvis Mossi huku wa CUF,  Tumsifuel Mwanri …

Read More »

Rise Charity Wadumisha Upendo Kwa Kuwatembelea Watoto Yatima

_MG_0163

Katika kusambaza upendo kwa jamii  ya Tanzania ,Shirika lisilo la kiserikali la Rise Charry leo limeadhimisha kilele cha msimu wa wapendanao kwa kutoa msaada katika kituo cha  sixten Anderson Orphanage Center   kilichopo mkoani pwani, wilaya ya kibaha ikiwa ni miongoni mwa shughuli zinazofanywa na shirika hilo Maadhimisho hayo ambayo …

Read More »

SIHA WAPIGA URA KWA AMANI

4

Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga Kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Giveness Aswile akizungumza jambo kwenye kitu cha kupigia kura cha Dula la Ushiriki 1 wakati akikagua upigaji kura.Kulia kwake ni Mjumbe wa NEC Jaji Mst. Mary Longway. Msimamizi wa Kituo cha Kupigia Kura cha Ofisi ya …

Read More »

JAFO AAGIZA KUKAMILISHWA KWA MRADI WA MAJI KILUVYA

kilivya jf (1)

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Selemani Jafo akizungumza na wananchi wa Makurunge katika kata ya Kiluvya wilaya ya Kisarawe.  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Selemani Jafo akikagua maendeleo ya ujenzi wa uwanja wa michezo …

Read More »

PROF. MBARAWA AWAONYA TBA

????????????????????????????????????

Muonekano wa nyumba ya makazi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu inayojengwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Mkoani humo Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akitoa maelekezo kwa Meneja wa Wakala wa Majengo (TBA), Mkoa wa Simiyu, Rick Maitale (wa tatu kulia), kuhusu kukamilisha ujenzi wa …

Read More »

SERIKALI YATOA BILIONI TISA KUJENGA MELI MPYA YA ZIWA NYASA

JPEG. NA. 5

Mhandisi Khalid Songoro wa kandarasi ya Songoro Marine Transport Boatyard akimuonesha Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye mchoro wa meli mpya inayojengwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kusafirisha abiria na mizigo kwenye mwambao wa ziwa Nyasa wakati wa ziara …

Read More »

MABALOZI WALIOAPISHWA JANA WAMUAGA MAKAMU WA RAIS LEO

5

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Dkt. Wilbrod Slaa, Balozi Slaa alifika kwenye makazi ya Makamu wa Rais kwa lengo la kumuaga akiwa tayari kuelekea kwenye kituo chake kipya cha kazi. Makamu wa Rais wa …

Read More »

MUWSA MABINGWA WA UTOAJI HUDUMA BORA ZA MAJI TANZANIA

tuzo

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Isack Kamwelwe (kulia) akimkabidhi tuzo ya ushindi wa Mamlaka inayotoa huduma bora za Maji Tanzania, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mjini Moshi (MUWSA) ,Prof. Faustine Bee. Kushoto ni Mkurugenzi Mkurugenzi Mkuu wa MUWSA, Joyce Msiru. Makabidhiano …

Read More »

LIONS CLUB: WATOTO WENYE SARATANI WASAIDIWE

001

Mwakilishi wa Lions Club, Lion Bhavika Sajan akizungumza baada ya kukabidhi msaada kwa wazazi wa watoto wenye tatizo la saratani ambao wanatibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Msaada huo umetolewa leo katika maadhimisho ya saratani ya watoto ambayo yamefanyika leo katika eneo la Kidongochekundu jijini Dar es Salaam. Baadhi …

Read More »

MBUNGE WA KIBAHA AWASIKILIZA WANANCHI WAKE KUTATUA KERO ZAO

7

 Mbunge wa Kibaha mjini, Sylvester Koka, akimvisha kofia na Tisheti ya CCM, mwanachama mpya aliyejiunga na CCM baadaya kurudisha Kadi ya Chadema, Richard Muya, wakati wa mkutano wa hadhara wa mbunge huo uliokuwa maalumu kusikiliza kero za wananchi uliofanyika katika Stendi ya Maili Moja, Kibaha mkoa wa Pwani jana. Picha …

Read More »

WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI VIWANDA VYA LAKAIRO

PMO_9759

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Lakairo Industries, Daniel Lameck  wakati alipotembelea na  kukagua uzalishaji wa mifuko  na steel wire  kwenye kiwanda  hicho, eneo la Isangijo wilayani Magu Februari 17, 2018 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la kiwanda cha …

Read More »

DKT.NCHIMBI : ONDOKENI MAOFISINI NENDENI MKAWASAIDIE WAKULIMA

1

NA TIGANYA VINCENT RS-TABORA SERIKALI ya Mkoa wa Tabora imewataka watendaji wote katika ngazi mbalimbali kuacha kukaa ofisini badala yake washirikiane na wakulima ili waweze kuwa na  uzalishaji utakao wapatia tija na hivyo kuondokana na umaskini. Kauli hiyo jana na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tabora Dkt. Rehema Nchimbi wakati …

Read More »

MAMIA WAJITOKEZA KUMUAGA MWANAHABARI PATRICK MWILLONGO

IMG_1087

 Mwanahabari Patrick Mwillongo enzi za uhai wake  Ndugu zake marehemu Patrick Mwillongo wakiwa kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wao iliyofanyika nyumbani kwao Kiburugwa Mbagala jijini Dar es Salaam jana.  Ibada ikiendelea.  Waombolezaji wakifuatilia ibada hiyo.  Waombolezaji wakiwa kwenye ibada hiyo.  Mchungaji Yusuph Peter wa Kanisa na Tanzania Assemblies of God …

Read More »

PROF. MBARAWA AAHIDI KUKAMILIKA KWA UJENZI WA DARAJA LA MTO MARA

????????????????????????????????????

Mkandarasi wa Kampuni ya M/S Gemen Engineering & Mayanga, Mhandisi Andrew Nyamtori, akitoa maelezo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, kuhusu hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa Daraja la Mto Mara, linalounganisha Wilaya ya Tarime na Serengeti, Mkoani Mara. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame …

Read More »

WAZIRI MKUU AKEMEA VITENDO VINAVYOHARIBU UBORA WA PAMBA

PMO_9567

*Awataka wasiweke mchanga wala maji ili kuongeza uzito   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakulima wa pamba kutochanganya pamba na mchanga au maji kwa sababu watakosa wanunuzi.   Pia amesema Serikali itapambana na watu wote wanaotaka kuvuruga zao hilo, hivyo amewataka wakulima waendelee kuwa na imani na Serikali yao.   …

Read More »