Thursday , March 21 2019

Home / 2018 / February / 18

Daily Archives: February 18, 2018

MAKAMU WA RAIS AWASILI MKOANI MWANZA JIONI HII

2

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili Jijini Mwanza jioni hii na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka. Makamu wa Rais anategemewa kuanza ziara ya kuhamasisha shughuli za kimaendeleo kesho mkoani Simiyu. Katika ziara hiyo itakayoanza kesho tarehe …

Read More »

DAWA ZA SERIKALI KATIKA MADUKA BINAFSI –TFDA

????????????????????????????????????

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TFDA, Agnes Kijo akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na ukaguzi uliofanyika kanda ya Kati leo jijini Dar es Salaam. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TFDA, Agnes Kijo akionyesha kopo lenye dawa aina ya Ampicilin isiyosajiliwa na mamlaka ya TFDA leo jijini Dar es Salaam. ……………………………………………………………………………….. MAMLAKA  …

Read More »

JAFO AAGIZA MKANDARASI KUFANYA KAZI USIKU NA MCHANA KUKAMILISHA DARAJA LA KIMALAMISALE

IMG-20180218-WA0105

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, TAMISEMI Selemani Jafo akitoa maelekezo kwa wakandarasi wa ujenzi wa daraja la Kimalamisale wilayani Kisarawe. Wananchi wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI Selemani Jafo. ……………………………………………………………. Waziri wa  Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo amemuagiza mkandarasi anayejenga daraja …

Read More »

Serikali Kufanya Uchunguzi Kifo cha Mwanafunzi Aliyepigwa risasi

index

Waziri wa Elimu na Mafunzo Profesa Joyce Ndalichako na Naibu waziri wa Mambo ya Ndani Injinia Hamad Yusuph Masauni wakimfariji mama mzazi wa marehemu Akwiline Baftaha Mwanafunzi wa Cho cha Usafirishaji NIT aliyefariki kwa majeraha  baada ya kujeruhiwa na  risasi juzi. Akiwa kwenye daladala. Kufuatia vurugu za maanamano ya wafuasi …

Read More »

DED UKEREWE APEWA SIKU KUELEZA MATUMIZI YA SH. MIL. 350

PMO_0506

Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Ukerewe, Frank Bahati akijibu maswali aliyoulizwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika mkutano kati ya Waziri Mkuu na watumishi wa Halmashauri hiyo, Februari 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziori Mkuu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Ukerewe …

Read More »

Taswa FC yang’ara Media Day ya DSTV

GYMKANA21

Timu ya soka ya waandishi wa habari za michezo nchini, Taswa FC imewafundisha soka timu ya MultiChoice Tanzania (DSTV) katika mchezo maalum wa ‘Media Day’ uliofanyika kwenye uwanja wa Gymkhana. Taswa FC ilianza mchezo huo kwa ‘dharau’ na kujikuta ikipachikwa bao katika dakika ya tatu ya mchezo. Bao hilo liliwashtua …

Read More »

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Pelekeni madaktari na madawa kesho

pickamatiyaushauri

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mganga Mkuu wa wilaya ya Magu, Dkt. Nindwa Maduhu ahakikishe zahanati Bugabu inafunguliwa leo. Ametoa agizo hilo jana (Jumamosi, Februari 17, 2018) wakati akiongea na watumishi na wananchi wa wilaya ya Magu katika kituo cha Afya cha Kahangara. Alisema kama zahanati imekamilika na inavifaa vyote …

Read More »

WAZIRI MKUU AKEMEA UVUVI HARAMU ZIWA VICTORIA

PMO_0037

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mmiliki wa Pantoni ya MV Nyehunge, Said Mohammed  kwenye gati la Kirumba wakati aliposafiri  na chombo hicho kutoka jijini Mwanza kwenda Ukerewe Februari 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) ……………………………………………………………………. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekemea vitendo vya uvuvi haramu wa kutumia sumu …

Read More »

WAZIRI JAFO ABAINI KUWEPO KWA WANAFUNZI 472 NA WALIMU WA SHULE YA SEKONDARI MAKULUNGE WILAYANI KISARAWE KUKABILIWA NA TATIZO LA VYOO

1

Waziri wa  nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Seleman Jafo akizungumza na baadhi ya walimu wa shule ya sekondari Makulunge iliyopo kata ya kiluvuya katika halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe,Mkoa wa Pwani alipofanya ziara yake ya kikazi kwa ajili ya kutembelea shule na kusikiliza changamoto mbali mbali zinazowakabili. Waziri wan chi …

Read More »

WAZIRI MBARAWA AITAKA TBA KUKAMILISHA MIRADI KWA WAKATI

PICHA A

Meneja wa Wakala wa Majengo nchini(TBA) Mkoa wa Simiyu.Mhandisi.Likimaitare Naunga(katikati) akitoa maelezo ya Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Viongozi wa Mkoa huo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa alipotembelea mradi huo wakati wa ziara yake Mkoani humo. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof.Makame Mbarawa …

Read More »

DKT. MOLLEL ASHINDA UBUNGE SIHA MKOANI KILIMANJARO

IMG-20180121-WA0070

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeibuka kidedea katika uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro baada ya Tume ya Uchaguzi (NEC), kumtangaza Dkt. Godwin Mollel kuwa mshindi wa kiti hicho. NEC imemtangaza rasmi DkT Mollel kuwa mshindi wa uchaguzi huo baada ya kupata kura 25,611 huku akiwaacha mbali wapinzani …

Read More »