Wednesday , April 24 2019

Home / 2018 / February / 19

Daily Archives: February 19, 2018

KAMBI YA MATIBABU YA MOYO KUFANYIKA ZANZIBAR MWEZI JUNE

2

Waziri wa AfYa Mahmoud Thabiti Kombo akimkaribisha Daktari bingwa wa maradhi ya moyo Duniani Dkt Ramakanta Panda alipomtembelea Ofisini kwake Mnazimmoja Zanzibar kuhusu kambi wanayotarajia kuifanya ya matibabu ya Moyo mwezi June. Daktari bingwa wa maradhi ya moyo Duniani Ramakanta Panda kutoka Taasisi ya Moyo ya Asia akizungumza na waandishi wa …

Read More »

MAHAKAMA YATOA MAAMUZI KUHUSU NABII TITO

Tito

MAHAKAMA ya Wilaya ya Dodoma imemuamuru Mkuu wa Gereza la Isanga kumpeleka hospitali kuu ya magonjwa ya akili (Mirembe), mkazi wa Kijiji cha Nong’ona, Onesmo Machibya maarufu kama (Nabii Tito), ili kuchunguzwa kama ana ugonjwa wa akili au la.   Hakimu mfawidhi wa Mahakama hiyo, James Karayemaha, amesema anahitaji majibu …

Read More »

MWANASHERIA WA HALMASHAURI YA MISUNGWI, ALPHONCE SEBUKOTO ALIYESIMAMISHWA

PMO_8490

MWANASHERIA WA MISUNGWI ASIMAMISHWA KAZI *Ni baada ya  kuisababishia halmashauri hasara ya sh. milioni   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwaamemsimamisha kazi Mwanasheria wa Halmashauri ya wilaya ya Misungwi Bw. Alphonce Sebukoto na kuagiza achungunzwe na vyombo husika. Amechukua hatua hiyo baada Mwanasheria huyo kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo ikiwa ni pamoja na …

Read More »

Rais wa FIFA kufanya majadiliano na waandishi wa habari za Michezo

PIX 1

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (wa kwanza kushoto) akitoa ufafanuzi wa idadi ya waandishi watakaohitajika katika mkutano wakati wa mkutano wa  majadiliano na Rais wa Shirikisho la Mipira wa Miguu Duniani (FIFA) utakaofanyika mnamo Februari 22, Mwaka huu na waandishi wa habari, katika mkutano wake …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AWAHAKIKISHIA WANANCHI UPATIKANAJI WA DAWA ZA KUUWA WADUDU WAHARIBIFU WA PAMBA

????????????????????????????????????

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe.Samia Suluhu Hassan (mwenye ushungi)  akikagua mradi wa maji wa Kiloleli wilayani Busega mara baada ya kuuwekea jiwe la msingi wakati wa ziara yake wilayani humo leo. ………………………………………………………………………………………. Na Stella Kalinga, Simiyu Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia …

Read More »

MWANASHERIA WA MISUNGWI ASIMAMISHWA KAZI

PMO_8447

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ua Misungwi katika ukumbi wa Shule ya Msingi ya Mitindo Februari 19, 2018.  Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) ………………………………………………………………….. *Ni baada ya  kuisababishia halmashauri hasara ya sh. milioni WAZIRI …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AANZA ZIARA MKONI SIMIYU

24

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa maji Kiloleli ambao utafaidisha vijiji vitatu, kulia ni Mbunge wa Jimbo la Busega Dkt. Raphael Chegeni. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) Makamu wa Rais wa Jamhuri …

Read More »

Viongozi Mkoa Morogoro tambueni na kuyalinda maeneo yaliyotumika katika harakati za urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika; Mwakyembe

Pix 7

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Dkt. Kebwe Stephen Kebwe (kulia) akizungumza wakati wa ziara ya Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe (katikati) alipotembelea Mkoani Morogoro Jana kukagua maeneo yaliyotumika wakati wa harakati wa ukombozi wa Bara la Afrika. Kushoto ni Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro …

Read More »

TRA YATAIFISHA TENA GARI NA BIDHAA MPAKANI NAMANGA

tra

Na: Veronica Kazimoto-Arusha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa mara nyingine ndani ya wiki mbili imekamata na kutaifisha tani moja ya sukari, mafuta ya kupikia katoni 10 na gari lililotumika kusafirisha bidhaa hizo kutoka nchini Kenya kupitia njia za magendo mpakani Namanga mkoa wa Arusha. Meneja Msaidizi wa Forodha mkoani …

Read More »

BINSLUM ATAKA MSHIKAMANO COASTAL UNION

IMG_2313

Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akizungumza katika hafla ya kuwapongeza wachezaji wa timu ya Coastal Union baada ya kupanda daraja kucheza Ligi kuu msimu ujao katika halfa iliyofanyika kwenye Hotel ya Tanga Beach Resort Mjini Tanga kushoto ni Mwenyekiti wa timu ya Coastal Union Steven Mguto na Mfadhili wa …

Read More »

DKT.NCHIMBI : WARATIBU WA TASAF MSIISHIE KUTOA HELA KWA WALENGWA WA TASAF BALI TOENI ELIMU YA KILIMO.

images

NA TIGANYA VINCENT-RS-TABORA SERIKALI ya Mkoa wa Tabora imewataka Waratibu Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF) na Watendaji mbalimbali wa kuhakikisha wanasaidia walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini kutumia fedha wanazozipata kushiriki katika shughuli mbalimbali ikiwemo kilimo ili hatimaye waweze kuondokana na umasikini. Kauli hiyo jana na Kaimu Mkuu wa …

Read More »

WAZIRI MKUU AAGIZA SEKONDARI YA PIUS MSEKWA IPEWE GARI

PMO_8268

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Ukerewe Bw. Frank Bahati awe amepeleka gari katika shule ya Sekondari ya bweni ya Pius Msekwa ifikapo Februari 25 mwaka huu. Amesema shule hiyo yenye wanafunzi zaidi ya 700 lazima iwe na chombo cha usafiri kitakachotumika kwa ajili ya …

Read More »

WAZIRI MKUU AZINDUA MRADI WA MAJI UKEREWE

PMO_8233

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea zahanti ya Nakatunguru wilayani Ukerewe akiwa katika ziara ya mkoa wa Mwanza Februari 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa chanjo ya Polio kwa mtoto mchanga aliyepakatwa na mama yake mzazi, Rizika Shaka (kushoto)  wakati alipozindua zahanati ya Nakatunguru …

Read More »

ZIARA YA KAMISHNA MKUU WA TRA KATAVI, YATATUA CHANGAMOTO ZA EFD

images

Na Rachel Mkundai, Katavi Wafanyabiashara na mkoa wa Katavi wamefarijika na ujio wa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)  Bw. Charles Kichere katika mkoa wao na kusema kuwa ziara hiyo imewasaidia kutatua changamoto mbalimbali za kulipa kodi likiwemo suala la usumbufu toka kwa mawakala wa kuuza na kusambaza …

Read More »