Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / February / 20

Daily Archives: February 20, 2018

BENKI YA EQUITY YAJA KIDIGITALI NA HUDUMA YA EAZZYBANKING

IMG_8489

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Equity, Joseph Iha akizungumza na wageni waalikwa na wanahabari waliofika katika uzinduzi uliofanyika jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa huduma ya Eazzy Banking inayomsaidia mteja kufanya miamala yake bila stress wakati wowote 24/7 popote atakapokuwa. Picha zote na Cathbert Kajuna- Kajunason/MMG. Wateja walihudhuria uzinduzi …

Read More »

DKT. KIGWANGALLA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BODI YA UTALII (TTB)

DSC_7521

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na uongozi wa bodi hiyo baada ya kufanya ziara ya kushtukiza mapema leo tarehe 20 Februari, 2018. Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ………………………………………………………………… Waziri wa Maliasili na Utaliii, Dkt. Hamisi Kigwangalla leo Februari 20, 2018, amefanya ziara ya kushtukiza katika …

Read More »

WAENDESHA BAISKELI ZA ABIRIA WAPINGA AGIZO LA KUONDOKA MJINI GEITA

DOK 1

Baadhi ya waendesha Baiskeli maarufu kwa jina la dala dala wakiwa wamekusanyikana sehemu moja kujadili mustakabali wa kuondolewa kwenye maeneo ya mjini.   Waendesha Baskeli wakiwa maeneo ya mjini  Geita. Waendesha Baiskeli wakitafakali juu ya hatua ya kuondolewa mjini Geita.   Na,Joel Maduka,Geita.     Waendesha Baiskeli Maarufu kwa jina …

Read More »

SHIDA YA MAJI JIJI LA MWANZA KUWA HISTORIA-MAJALIWA

PMO_9065

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akipokea mabomba ya maji yenye urefu wa kilomita tano kutoka kwa  Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Mwanza Plastics, Joel Makanyaga wakati alipotembelea kiwanda hicho jijini Mwanza , Februari 20, 2018. Kulia ni Mbunge wa Ilemela na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, …

Read More »

FIFA WAONGEZA TIKETI ZA KOMBE LA DUNIA KWA TANZANIA

2

Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA limeongeza tiketi kwa Tanzania kwaajili ya fainali za kombe la Dunia zitakazochezwa Russia mwaka huu. Kwa shabiki yeyote anayetaka kwenda kushuhudia fainali hizo za Kombe la Dunia awasiliane na idara ya mashindano ya TFF kwa utaratibu wa namna ya kupata tiketi hizo. Ngwe …

Read More »

MECHI YA NDANDA VS YANGA KUPIGWA FEBRUARI 28,2017

9

Mchezo namba 152 wa mzunguko wa 19 wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya umepangiwa tarehe ya kuchezwa. Bodi ya Ligi imetaja tarehe hiyo baada ya awali mchezo tajwa kutokuwa umepangiwa tarehe kwa mujibu wa ratiba ya Ligi Kuu. Mchezo huo sasa utachezwa Jumatano Februari 28, 2018 katika …

Read More »

MZUNGUKO WA NNE WA KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM KUANZA KESHO

7be31445296665.582bf8a427453

Hatua ya mzunguko wa Nne(4) wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la Azam inatarajia kuanza kesho Jumatano Februari 21, 2018. Kwenye Uwanja wa Sabasaba Njombe kutakuwa na mchezo mmoja utakaowakutanisha mwenyeji Njombe Mji atakayecheza dhidi ya Mbao  FC kutoka Mwanza saa 10 jioni. Mechi nyingine za Kombe la Shirikisho la …

Read More »

ZIARA YA MAKAMU WA RAIS WILAYA YA MEATU MKOANI SIMIYU

3

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa bwawa la maji kwa ajili ya matumizi ya binadamu na mifugo la Mwanjolo wilayani Meatu mkoani Simiyu. Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandishi Isack Kamwelwe akitoa maelezo ya …

Read More »

VIDEO:WATOTO TAMBUENI HAKI NA WAJIBU WENU: DKT. NDUGULILE

pix 9

Katibu Tawala wa Mkoa wa  Shinyanga Bw. Albert Msovela akitoa taarifa ya Mkoa kwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile( hayupo pichani) wakati Naibu Waziri huyo alipofanya ziara ya kikazi mkoani hapo. Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telleck  akimkaribisha Naibu …

Read More »

TUICO TBL yawacharukia wanaopotosha malipo ya mfuko wa TBL Trust

tbl2

-Yadai haziwahusu wafanyakazi wasiokuwa kazini Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO) wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bw.Luheya Mwanga, amesema fedha zilizokuwa zimewekwa kwenye mfuko wa wafanyakazi wa kuwawezesha kununua hisa za kampuni  wa ,TBL Trust zimegawiwa kwa wafanyakazi kwa mujibu …

Read More »

MAKATIBU MEZANI WA BUNGE WAPEWA MAFUNZO

PIC A

Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai akifungua mafunzo ya Makatibu mezani wa Bunge, Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo ya wiki moja yanatolewa chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kupitia mradi wa pili wa kulijengea Bunge uwezo (LSP II). Kushoto …

Read More »

UNICEF-DUNIA INAWAANGUSHA WATOTO WACHANGA

unicef_child_survival_1000x550_hero

Tanzania imepiga hatua katika kupunguza vifo vya watoto, hata hivyo, vifo vya watoto wachanga bado viko juu sana NEW YORK & DAR ES SALAAM, 20 Februari 2018: Duniani kote, vifo vya watoto wachanga bado viko juu sana kiasi cha kuwa tishio, hasa miongoni mwa nchi maskini zaidi ulimwenguni, UNICEF imesema …

Read More »

MATOKEO YA UCHUNGUZI KUHUSU KAULI YA ASKOFU KAKOBE

kakobe

Kufuatia kauli iliyotolewa na Askofu Zachary Kakobe wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship katika mahubiri ya Ibada ambayo alisema kuwa “Yeye ana pesa kuliko Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania”, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ilifanya uchunguzi ili kubaini usahihi wa kauli hiyo.   Yafuatayo ni mambo ambayo …

Read More »

MAJALIWA AHITIMISHA ZIARA WILAYANI MISUNGWI

PMO_8640

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubi mkutano wa hadhara katika kijiji cha Nyamayinza wilayani Misungwi, Februari 19, 2018. Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Nyamayinza wilayani Misungwi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadahara kijijini  hapo,  Februri 19, 2018. Baadhi ya wananchi wa Misungwi wakimsikiliza, Waziri Mkuu, Kassim …

Read More »

Jafo: Awataka Wakuu wa Mikoa Kushiriki Kipindi cha TUNATEKELEZA

2

Frank Mvungi- MAELEZO, Dodoma Serikali  imewataka Wakuu wa Mikoa Kushiriki Kikamilifu katika kipindi cha TUNATEKELEZA ili kueleza kwa wananchi namna walivyo simamia utekelezaji  wa  miradi ya Maendeleo, mapambano dhidi ya rushwa na masuala yote yanayogusa ustawi wa wananchi. Akizungumza katika Kipindi maalum cha TUNATEKELEZA kinachorushwa na Shirika la Utangazaji Tanzania  …

Read More »

ZIARA YA NAIBU WAZIRI MKOANI ARUSHA

5

Naibu Waziri, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Mhandisi Stella Manyanya (wa pili kutoka kulia) akishiriki kongamano la kimataifa (CESO) la kujadili changamoto katika uzalishaji wa asali nchini, limefanyika katika ukumbi wa Mount Meru Hotel, Arusha tarehe 19/2/2018 Naibu Waziri, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Mhandisi Stella …

Read More »

VIJIJI VYOTE KUPATIWA MAJI SAFI NA SALAMA-MAJALIWA

PMO_8447

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewahakikishia wananchi wa wilaya ya Misungwi kuwa vijiji vyote vitapatiwa huduma ya maji safi kupitia miradi inayotekelezwa katika wilaya hiyo ukiwemo wa Mbarika-Misasi utakaogharimu sh. bilioni 12.4. Alitoa kauli hiyo  jana (Jumatatu, Februari 19, 2018) wakati akizungumza na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la ujenzi wa mradi …

Read More »

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA NYAMA MISUNGWI

PMO_8909

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitaza uchakataji wa nyama ya ng’omba wakati alipotembelea kiwanda cha nyama cha Tanbeef kinachomilikiwa na kampuni ya Chobo Investments Company katika eneo la usagara wilayani Misungwi Februari 19, 2018. *Kina uwezo wa kuchinja ng’ombe 600 kwa siku WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea na kukagua kiwanda …

Read More »

TAKUKURU TANGA YAPOKEA TAARIFA 204 ZA VITENDO YA RUSHWA

_MG_1977

  Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Tanga,Christopher Mariba wakati akitoa taarifa za utendaji wao kwa waandishi wa habari kwa kipindi cha mwezi Julai hadi Desemba mwaka 2017.    Sehemu ya waandishi wa habari wakichukua matukio  Sehemu ya wanahabari mkoani Tanga wakifuatilia matukio katika mkutano huo TAASISI ya Kuzuia na Kupambana …

Read More »