Wednesday , April 24 2019

Home / 2018 / February / 21

Daily Archives: February 21, 2018

KATA YA TOMONDO YAPATA NEEMA

DSC_3619

Kiongozi waChama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwa katika darasa la Shule ya Msingi Vuleni iliyoko Kata ya Tomondo jimbo la Morogoro Kusini alipotembelea shule hiyo jana, kuangalia miradi inayosimamiwa na diwani wa Chama hicho, ambako kiongozi huyo aliahidi kutoa bati za madarasa mawili. Kiongozi waChama cha ACT Wazalendo, Zitto …

Read More »

MBAO FC YATUPWAA NJE KOMBE LA FA NA VIBONDE NJOMBE MJI

Mbao-kocha-2

Makamu bingwa wa Msimu uliopita Klabu ya Mbao FC imeondolewa rasmi katika mashindano ya Kombe la Shirikisho (FA Cup), baada ya kufungwa jumla ya matuta 6-5. Katika mchezo huo uliokuwa wa hatua ya 16 bora, dakika 90 zilimalizika kwa matokeo ya bao 1-1, huku Njombe Mji wakianza kucheka na nyavu …

Read More »

RC MAKONDA ATEMBELEA SHULE ZILIZOONGOZA KWA UANDIKISHAJI MKUBWA WA WANAFUNZI WA DARASA LA KWANZA TANZANIA NZIMA, AAGIZA UJENZI WA SHULE MPYA

WhatsApp Image 2018-02-21 at 05.41.23

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo amefanya Ziara kwenye Shule ya Msingi Mbande na Maji Matitu zilizopo Manispaa ya Temeke ambazo zimeongoza kwa kuandikisha idadi kubwa ya Wanafunzi wa Darasa la Kwanza kuliko shule yoyote Tanzania na kusababisha mlundikano mkubwa wa Wanafunzi Darasani. Kwa Shule …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA JENGO LA UPASUAJI MASWA

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisoma maneno yalioandikwa kwenye jiwe la msingi mara baada ya kufungua jengo la upasuaji kwenye hospitali ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA MKUTANO WA MAJADILIANO MUNYONYO KAMPALA

5a

Baadhi ya Washiriki wa Tanzania katika Mkutano wa Majadiliano wa sekta ya Afya walioshiriki katika mkutano huo unaoendelea kufanyika katika ukumbi wa mikutano wa Speke Resort  Munyonyo-Uganda. Bw. Plasduce Mbossa katikati Mfanyakazi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), kushoto yake ni Bi. Lydia Mallya ambaye pia ni mfanyakazi wa Mamlaka …

Read More »

BENKI ZAWAHAKIKISHIA WAFANYABIASHARA MIKOPO

PMO_9809

  *Ni wale wanaotaka kununua pamba BENKI mbalimbali nchini zimewahakikishia wafanyabiashara wa zao la pamba kuwa zina fedha za kutosha kuweza kuwakopesha ili wanunue pamba yote itakayozalishwa katika msimu wa mwaka huu nchini. Pia viongozi wa benki hizo wamesema wako tayari kusaidia katika uwekezaji wa miundombinu ya aina yeyote ama …

Read More »

WAZIRI MWIGULU:GEREZA JIPYA CHATO KUPUNGUZA MSONGAMANO MAGEREZANI NA GHARAMA ZA USAFIRISHAJI WA WAHARIFU

DSC_0399

Mkuu wa Mkoa wa Geita(Kushoto)Mhandisi Robert Luhumbi na waziri wa mambo ya ndani(Kulia)Dkt,Mwigulu Nchemba (Katikati)Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa wakikata upete kwenye jiwa la Msingi wakati wa uzinduzi wa magereza Wilaya ya Chato. Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akisalimiana na Mkuu mkuu wa Geita,Mhandisi Robert Luhumbi …

Read More »

WAKAZI WA MAGURUWE WAISHUKURU SERIKALI YA AWAMU YA TANO

Jafo maguruwe (1)

Wazee wa kimila katika kijiji cha Maguruwe kata ya Bunduki wakimsimika na kumpa heshima maalum Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI Selemani Jafo.        Wakazi wa Maguruwe wakimpokea Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI Selemani Jafo.    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI Selemani Jafo …

Read More »

IGP SIRRO AZUNGUMZA NA ASKARI WA MKOA WA TANGA

3

Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro (kulia), akizungumza na kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Jonathan Shana, walipokutana katika eneo la Msata Bagamoyo wakati akiwa safarini kuelekea mkoani Arusha kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon …

Read More »

ZIARA YA MAFUNZO KWA WASHIRIKI WA MAFUNZO YA ULINZI WA TAIFA KUTOKA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI (NATIONAL DEFENCE COLLEGE-NDC) MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI

PICHA NO 1

Mkurugenzi mwandamizi wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (National Defence College –NDC) Tanzania Balozi, Peter Kallaghe akimkabithi zawadi Kamishna wa Utawala, Fedha na Lojistiki, Albart Nyamhanga, leo walipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Polisi. Kamishna wa Utawala, Fedha na Lojistiki, Albart Nyamhanga, akimkabithi zawadi Mkurugenzi mwandamizi wa Chuo cha Taifa …

Read More »

MAJALIWA AKUTANA NA WADAU WA PAMBA JIJINI MWANZA

PMO_9851

Waziri wa Kilimo, Dkt. Charles Tizeba akizungumza katika mkutano wa wadau wa zao la pamba ulioitishwa na  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza, Februari 21, 2018 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wadau wa zao la pamba kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza Februari …

Read More »

TIMU 11 KUWANIA TAJI LA KUONGELEA LA MASHINDANO YA TALISS

2

Muogeleaji nyota wa klabu ya Taliss, Natalia Ladha akishindana katika mashindano yaliyopita. Waogeleaji wakichuana katika staili mbalimbali mbali Katibu Mkuu wa Dar Swim Club (DSC), Inviolata Itatiro (Kulia) na Meneja Mkuu wa Taliss Jone Gouws. …………………. Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam. Mashindano ya kuogelea ya wazi ya Taliss yataanza …

Read More »