Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / February / 22

Daily Archives: February 22, 2018

MHE BITEKO: “MULUGO WEWE NI NOMA…!”

DSC_2520

Naibu Waziri wa wizara ya madini Mhe Doto Mashaka Biteko (Kushoto) akizungumza jambo na Mbunge wa Jimbo la Songwe Mhe Philiph Mulugo wakati wa mkutano na wachimbaji wadogo uliofanyika katika kijiji na kata ya Saza, Wilaya na Mkoa wa Songwe, Leo 22 Februari 2018. Picha Zote Na Mathias Canal-Wazo Huru …

Read More »

Mtandao wa Wanawake na Katiba Wajadiliana Na Wahariri Dar

IMG_2921

Mkurugenzi wa Women Fund Tanzania (WFT), Mary Rusimbi akizungumza kwenye mkutano wa Mtandao wa wanawake na katiba/uchaguzi na uongozi pamoja na wahariri wa habari na waandishi waandamizi kujadiliana masuala mbalimbali juu ya umuhimu wa kuzingatia misingi na usawa wa kijinsia katika siasa na uongozi. Mjumbe wa WFT, Dk. Dinah Richard …

Read More »

VIDEO:ALIYOYAZUNGUMZA DKT NDUGULILE WAKATI WA HARAMBEE YA UJENZI WA NYUMBA ZA WATUMISHI WA MAKAZI YA KULEA WAZEE YA KIILIMA BUKOBA

Pix 6

  Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akipata maelezo kuhusu makazi ya kulea wazee na wasiojiweza ya Kiilima kutoka kwa Kaimu Mfawidhi wa Makazi hayo Bi. Gladness Luiza alipotembelea katika makazi hayo kujionea mazingira ya makazi na kuongoza harambee ya ujenzi …

Read More »

TANZANIA YAIPONGEZA FIFA KWA KUPAMBANA NA RUSHWA

PMO_8613

  SERIKALI ya Tanzania inalipongeza Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwa jitihada na hatua mbalimbali zinazochukuliwa na shirikisho hilo katika mapambano dhidi ya rushwa. Kauli hiyo imetolewa leo (Alhamisi, Februari 22, 2018) na Waziri Mkuu  Kassim Majaliwa katika kikao chake na Rais wa FIFA Bw. Gianni Infantino kilichofanyika jijini Dae …

Read More »

WAZIRI MKUU AKUTANA NA RAIS WA FIFA

PMO_8628

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea Bandera ya FIFA kutoka kwa Rais wa Shirikisho  la Mpira Duniani(FIFA)Bwana Gianni Infantino katika mkutano na waandishi wa Habari  uliofanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu. leo February 22/2017Jijini Dar es salaam Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea Jezi namba Tisa kutoka kwa Rais wa Shirikisho  la …

Read More »

“NI BORA TUKAWIE LAKINI TUFIKE” MHE BITEKO

DSC_2442

Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko akikagua kinu cha kuchakata dhahabu mara baada ya kutembelea mgodi wa uchimbaji dhahabu wa Shanta Gold Mine uliopo katika Kijiji na Kata ya Saza akiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Songwe, Leo 22 Februari 2018. Picha Zote Na Mathias Canal-Wazo Huru Blog Naibu Waziri …

Read More »

MWIJAGE MGENI RASMI KONGAMANO LA VIWANDA KESHO MWALIMU NYERERE

2a

Na Humphrey Shao, Globu Ya jamii Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage anataraji kufungua kongamano kuhusu Maendeleo ya Viwanda Tanzania litakalo fanyika katika chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere  February 23 Mwaka huu. Akizungumza na Waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam leo Afisa Habari wa chuo Hicho  …

Read More »

MBUNGE MAGIGE AWASHANGAZA CCM ARUSHA

unnamed

Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Arusha bi Catherine Magige ametoa kompyuta 28 kwa Jumuiya zote za chama cha mapinduzi ikiwemo Jumuiya ya wazazi,vijana,chama,na UWT zitakazosaidia chama kuendeshwa kisasa. Akizungumza na waandishi wa Habari mkoani Arusha muda mfupi baada kikao cha ndani kilichoongozwa na Katibu mwenezi mkuu Hamphrey Polepole   bi Magige …

Read More »

UWAMAMI KISARAWE WALALAMIKIA FAINI NA TOZO KANDAMIZI KATIKA BIASHARA ZAO

IMG_20180221_144021

Mfanyabiashara wa mazao ya misitu wilayani Kisarawe,Pwani ,Ashura Dando, akitoa malalamiko kuhusu kizuia cha Kauzeni, ambacho kinadaiwa kuwazidishia vipimo na ujazo ukilinganisha na vizuia vingine Mkurugenzi wa halmashauri ya Kisarawe, Musa Gama , akitoa ufafanuzi kuhusu malalamiko yaliyotolewa na wafanyabiashara wa mazao ya Misitu Kisarawe (UWAMAMI),;:mwenye fulana ya kijani wanaotazamana na …

Read More »

WAZIRI JAFO AAGIZA DARAJA LA CHIPANGA LIKAMILIKE KABLA YA MWEZI JULAI, MWAKA HUU

jafo chipanga (1)

WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais, TAMISEMI Selemani Jafo akiwa na Mbunge wa jimbo la Bahi OmaryBadwel na viongozi wengine wa wilaya ya Bahi.   Daraja la Chipanga linaloendelea kujengwa Mtendaji Mkuu waTARURA Mhandisi Victor akitoa maelekezo kwa mkandarasi wa ujenzi wa daraja laChipanga.   …………………………………………………….. WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya …

Read More »

TANZANIA ,RWANDA ZANG’ARA EAC VITA DHIDI YA RUSHWA

IMG-20180222-WA0066

Na Mwandishi Wetu MISIMAMO thabiti ya Rais John Pombe Magufuli katika masuala mbalimbali ya maendeleo ya Taifa imezidi kuleta mafanikio ambapo ripoti mpya katika mapambano dhidi ya rushwa imeonesha Rwanda na Tanzania kuongoza katika ukanda wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) katika mapambano dhidi ya rushwa kwa mwaka 2017. Kwa …

Read More »

MAKAMU MWENYEKITI WA UWT,THUWAYBA KISASI,ASEMA MAENDELEO YANAYOPATIKANA NDANI YA UMOJA HUU YANATOKANA NA JUHUDI,UCHAPAKAZI NA USHIRIKIANO WA KUDUMU WA WAASISI

_MG_0988

MAKAMU Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndugu Thuwayba Kisasi(kushoto) akimkabidhi zawadi mwasisi wa Umoja huo Bi. Mariam Mohamed mara baada ya kumtembelea Nyumbani kwake Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja. MAKAMU Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndugu Thuwayba Kisasi(kushoto) akimkabidhi zawadi mwasisi wa Umoja huo Bi.Mtumwa Fikirini  mara baada ya kumtembelea Nyumbani kwake …

Read More »

HALMASHAURI YA GEITA YAPEWA GARI LA CHANJO

1-3-1

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemkabidhi mbunge wa jimbo la Geita, Joseph Musukuma gari aina Tunland Double cabin kwa ajili ya kuboresha huduma za chanjo na afya katika jimbo hilo.   Amemkabidhi gari hilo leo (Alhamisi, Februari 22, 2018) mbele ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya hiyo,  Bw. Ali …

Read More »

SERIKALI YAAGIZA VIWANDA NCHINI KUTUMIA BARCODES ZA GS1

RG1A8025

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza kila kiwanda kilichopo nchini kihakikishe kinatumia alama za utambuzi za GS1 Tanzania simbomilia (barcodes). Ametoa agizo hilo leo (Alhamisi, Februari 22, 2018) wakati akifungua Mkutano wa Sita wa Wamiliki wa Viwanda na Watumiaji wa simbomilia (barcodes). Hadi sasa GS1 ina wanachama 2000.   “Natoa wito kwa …

Read More »

ROSE MUHANDO KUTOKA NA NYINGINE MPYA TAMASHA LA PASAKA MWANZA

msa

Mwimbaji wa Muziki wa Injili Rose Muhando anatarajiwa kuzindua Albam yake mpya katika Tamasha la Pasaka litakalofanyika Aprili 1 mwaka huu kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi zake Kinondoni Mkurugenzi wa Kampuni ua Msama Promotion Bw. Alex Msama ambaye hakutaja moja kwa …

Read More »

BAADA YA KUIFUNGUA CAMON CM

3

Ni ukweli usiopingika kuwa TECNO, ni kampuni inayoendelea kufanya vyema katika uzalishaji na uuzaji wa simu janja barani Afrika hivi karibuni wamepokea mtazamo chanya kupitia toleo lao jipya Camon CM lenye sifa ya kuwa na kioo chenye wigo mpana. Ufuatao ni uchambuzi baada ya kuifungua Camon CM Camon CM imehifadhiwa …

Read More »

TBL GROUP KUPITIA BIA YAKE YA KILIMANJARO,YAJITOSA MRADI WA KUNUSURU MAZINGIRA MKOANI KILIMANJARO

????????????????????????????????????

Kiongozi wa mradi wa kupanda miti,Sarah Scottt, kutoka taasisi ya Kilimanjaro Project akiongea katika mkutano wa waandishi wa habari,wengine ni Maofisa Waandamizi wa  TBL Group na taasisi hiyo. Meneja wa bia ya Kilimanjaro,Pamela Kikuli,akiongea wakati wa mkutano huo,wengine ni Maofisa Waandamizi wa TBL Group na Kilimanjaro Project Meneja Mawasiliano wa …

Read More »

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO MAALUM WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC) UNAOFANYIKA KAMPALA NCHINI UGANDA

15

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika Mkutano huo Maalum wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika Kampala nchini Uganda. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati …

Read More »

WAZIRI MKUCHIKA AKUTANA NA UJUMBE WA DfID

1

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akiwa katika kikao na ujumbe kutoka Idara ya Maendeleo ya Kimataifa ya Uingereza (DfID) nchini Tanzania, (hawapo pichani) ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya …

Read More »

KAMISHANA MPYA WA POLISI ZANZIBAR AJITAMBULISHA KWA RAIS

DSC_4654

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Kamishna Mpya wa Jeshi la Polisi Zanzibar Bw.Mohamed Haji Hassan alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha baada ya uteuzi wake na dhamana alizopewa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) …

Read More »