Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / February / 23

Daily Archives: February 23, 2018

RC TELACK AHAMASISHA WANANCHI KUTOA TAARIFA SAHIHI UTAFITI WA MAPATO NA MATUMIZI YA KAYA BINAFSI

UF3A6522

      Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mheshimiwa Zainab Telack amewataka wananchi mkoani Shinyanga kutoa taarifa sahihi kwa watafiti wanaofanya Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi mkoani humo. ……………………………………………………………….. Telack ametoa rai hiyo leo Ijumaa Februari 23,2018 katika mkutano na waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga akizungumzia …

Read More »

DK. KIGWANGALLA AAGIZA MBINU MPYA ITUMIKE KUDHIBITI WANAOCHIMBA MADINI KWENYE CHANZO CHA MAJI YA MTO ZIGI JIJINI TANGA

4

  Na Hamza Temba, WMU, Muheza Tanga ……………………………………………………………….. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ameuagiza uongozi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania TFS kujenga kituo cha ulinzi cha kudumu katika eneo la chanzo cha maji ya mto zigi kilichopo ndani ya Hifadhi ya Mazingira Asilia Amani kwa …

Read More »

Dodoma Yatekeleza kwa Vitendo Dhana Ujenzi wa Uchumi wa Viwanda

pic+mahenge

Frank     Mvungi- Maelezo, Dodoma Mkoa wa Dodoma umefanikiwa kujenga viwanda 892 vingi kati ya hivyo vikiwa ni Vidogo na vya Kati ambavyo vinachochea ukuaji wa uchumi  ikiwa ni sehemu ya mkakati wa Serikali kutekeleza dhana ya ujenzi wa uchumi wa viwanda. Akizungumza katika Kipindi maalum cha TUNATEKELEZA kinachorushwa na Shirika la Utangazaji …

Read More »

FIFA Yakunwa na Utendaji wa Rais Magufuli

gianniinfantino-cropped_b7dulzoi51ud1bd2d3i54vpr0-640x360

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino ameondoka nchini huku akionesha kufurahishwa na juhudi za Mhe. Rais John Pombe Magufuli katika kupambana na rushwa na ufisadi katika kujenga uchumi wa Tanzania. Rais huyo wa FIFA alionyesha kuukubali utendaji wa Rais Magufuli wakati …

Read More »

MASAUNI: UKAGUZI WA MAGARI BINAFSI KUANZA RASMI MACHI MOSI

PIX 1 B

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika mkutano na Waandishi wa Habari(hawapo pichani), ambapo alitangaza kuanza rasmi kwa zoezi la ukaguzi wa magari binafsi mwanzoni mwa mwezi ujao.Wengine ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, …

Read More »

MCHEZO WA LIPULI NA NDANDA WASOGEZWA

DSC_0131-1024x681

Bodi ya Ligi (TPLB) imefanya mabadiliko ya mchezo namba 153 kati ya Lipuli na Ndanda uliokuwa uchezwe Ijumaa Machi 2,2018 kwenye Uwanja wa Samora,Iringa. Mchezo huo sasa umesogezwa mpaka Jumapili Machi 4,2018 na utachezwa kwenye Uwanja ule ule wa Samora. Sababu za kusogezwa mbele kwa mchezo huo ni kuipa nafasi …

Read More »

MZUNGUKO WA NNE KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM KUENDELEA WIKIENDI HII

index

Hatua ya mzunguko wa Nne(4) wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la Azam inaendelea Jumamosi Februari 24, 2018 kwa michezo miwili. Singida United watakuwa Uwanja wa Namfua Mjini Singida kucheza na Polisi Tanzania saa 10 jioni na mchezo mwingine utakaohitimisha siku hiyo utakuwa kati ya KMC watakaokuwa nyumbani Azam Complex,Chamazi …

Read More »

RAIS DKT.MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA BURUNDI PIA AKUTANA NA MRATIBU WA MAZUNGUMZO YA AMANI YA BURUNDI RAIS MSTAAFU BENJAMINI MKAPA KAMPALA UGANDA

4

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamini Mkapa ambaye ni mratibu wa Mazungumzo ya amani ya Burundi, Kampala nchini Uganda. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mratibu wa …

Read More »

UHABA WA WAFANYAKAZI IDARA YA MAENDELEO YA UVUVI KISIWANI PEMBA NI MIONGONI MWA MATATIZO YANAYOCHANGIA KUKOSA UFANISI WA SHUGHULI

FB_IMG_1463725614003-552x330

Na Masanja Mabula -PEMBA.     UHABA wa wafanyakazi ikiwemo kukosekana kwa mwanasheria katika Idara ya Maendeleo ya Uvuvi Kisiwani Pemba ni miongoni mwa matatizo yanayochangia kokosa ufanisi wa shughuli za Idara hio. Hayo yameelezwa na Afisa Mkuu Idara ya Maendeleo ya Uvuvi SHARIF MOHAMMED FAKI, katika mkutano wa pamoja …

Read More »

WAZIRI KAMWELWE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UHOLANZI

1

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwelwe akimkaribisha ofisini mgeni wake, Balozi wa Uholanzi nchini, Jeroen Verheul mara baada ya kuwasili. Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwelwe akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Uholanzi nchini, Jeroen Verheul. ……………….. Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwelwe amekutana …

Read More »