Friday , March 22 2019

Home / 2018 / February / 24

Daily Archives: February 24, 2018

MGODI WA GGM WAPEWA SIKU 2 KUANZA MCHAKATO KUWAFIDIA WANANCHI

NYAKABALE 1

Naibu  waziri  wa madini Stanlaus Nyongo Akizungumza na  Wakazi  Wa Kijiji Cha Nyakabale  wakati wa ziara yake Mkoani Geita. Naibu  waziri  wa madini Stanlaus Nyongo akishiriki zoezi la kupanda mawe ya dhahabu.   Naibu  waziri  wa madini Stanlaus Nyongo akizungumza na diwani wa kata ya Mgusu Patory Ruhusa.   Naibu …

Read More »

FIFA NA CAF KUENDELEA KUFIKIRIA NAMNA YA KUSAIDIA ZANZIBAR

PIX 1

Na Anitha Jonas – WHUSM,Dar es Salaam Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) Gianni Infantino na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) Ahmad Ahmad wakiri kuelewa hali ya Zanzibar pamoja na kuzingatia Sheria wamesema wanaona mazingira Maalum ya Zanzibar. Kauli hiyo imetolewa leo jijini …

Read More »

VIONGOZI NA WATENDAJI WA UMOJA WA WANAWAKE UWT WASHAURIWA KUENDELEZA UTAMADUNI WA KUWATEMBELEA WANANCHI

DSC_0125

MAKAMU Mwenyekiti wa UWT Taifa-Thuwayba Kisasi (kushoto) akimkabidhi  muasisi wa UWT Bi. Salama Majaliwa alipotembelewa nyumbani kwake Mwera na uongozi wa Umoja huo. VIONGOZI mbali mbali wa UWT wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Umoja huo Taifa Ndugu Thuwayba Kisasi wakiwa nyumbani kwa muasisi wa UWT Bi. Salama Majaliwa wakibadilishana mawazo. …

Read More »

FIFA KUONGEZA FEDHA ZA MAENDELEO NA KUJIENDESHA KWA SHIRIKISHO

PIX 1

Waziri Wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani kuhusu mambo mbalimbali serikali iliyozungumza na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani Gianni Infantino na Rais wa CAF Ahmad Ahamad alipokuwa nchini kwa ajili ya mkutano wao leo jijini Dar es Salaam. …

Read More »

WAZIRI KIGWANGALLA ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA, ATUMA SALAMU KWA MUWEKEZAJI ANAECHOCHEA MGOGORO KATIKA HIFADHI HIYO

_DSC0803

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akisalimiana na viongozi wa TANAPA alipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Ausha jana na kukagua shughuli mbalimbali za uhifadhi hususan maeneo yenye migogoro kwa lengo la kuyatafutia ufumbuzi wa kudumu.  Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akikagua mazingira ya Hifadhi ya …

Read More »

RAIS MHE.DKT.MAGUFULI AREJEA NCHINI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA MWANZA AKITOKEA NCHINI UGANDA ALIPOHUDHURIA MKUTANO WA 19 WA WAKUU WA NCHI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

9

Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa MKoa wa Mwanza  John Mongella mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akitokea Nchini Uganda alipohudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama …

Read More »

MABALOZI TAFUTENI WAWEKEZAJI WA SEKTA YA UTALII-MAJALIWA

PMO_8759

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Februari 24/2018 ameagana Ofisini kwake Dar es salaam na Mabalozi wanao kwenda kuiwakilisha Tanzania katika nchi walizo pangiwa,kulia ni Balozi anaye kwenda Nchini Sweden.Dr Wilbroad Slaa .na kushoto ni Balozi anayekwenda nchini Nigeria Balozi Muhidin Ally  Mboweto. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi …

Read More »

SERIKALI KUIFUTIA LESENI MGODI WA UCHIMBAJI MADINI WA EL HILAL

Pichaaa 3

Katibu  Mkuu Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila,( wa tatu kushoto) akionywesha baadhi ya mitambo ya Mgodi wa  uchimbaji almasi ya  El Hilal iliyopo Mwadui, Shinyanga. Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila,( wa pili kushoto)akikagua eneo ambalo linatumiwa na Mgodi wa El Hilal kuchimba Madini ya Almasi. Katibu …

Read More »

MADINI YOTE NCHINI NI SHARTI YA WANUFAISHE WATANZANIA

DSC_2573

Naibu Waziri wa Madini nchini Mhe Doto Mashaka Biteko akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mkomola 2, Kata ya Kipande, Wilayani Nkasi akiwa katika ziara ya kikzai Mkoani Rukwa, Leo 23 Februari 2018. Picha Zote Na Mathias Canal-Wazo Huru Blog Mhandisi Joseph Mwakabage Meneja Mradi wa Mradi wa uzalishaji wa umeme …

Read More »