Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / February / 25

Daily Archives: February 25, 2018

KATIBU WA CHADEMA KATA YA MAILMOJA AKIMBILIA CCM

IMG-20180223-WA0077

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Pwani, Ramadhani Maneno akipokea kadi kutoka kwa katibu wa CHADEMA kata ya MailMoja Mohamed Hashim aliehamia CCM wakati mwenyekiti huyo alipokuwa akizungumza na baadhi ya wanachama na viongozi ,katika mkutano huo wanachama wengine Tisa kutoka upinzani walijiunga na Chama hicho. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi …

Read More »

DC SALAMA AWAOMBA WAZAZI NA WALEZI SHEHIA YA MAKANGALE KUKUBALIANA NA MAAMUZI ATAKAYOCHUKUA DHIDI YA VIJANA WANAOJIHUSISHA NA VITENDO VYA UHARIFU VISIWANI PEMBA

DSC_0827

Na Masanja Mabula – Pemba MKUU wa Wilaya ya Micheweni Salama Mbarouk Khatib amewaomba wazazi na walezi katika Shehia ya Makangale kukubaliana na maamuzi atakayochukua dhidi ya vijana wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu katika shehia hiyo. Amesema kila mzazi anapaswa kuyaunga mkono maamuzi hayo kwani lengo ni kurejesha maadili kwa …

Read More »

HALI YA UPATIKANAJI WA MAFUTA ZANZIBAR

ZURA A

Na Kijakazi Abdalla                   Maelezo    Hali ya Upatikanaji wa mafuta utaendelea kuwa wa kawaida  baada ya meli ya United Sprit 1 iliyokuwa imechukuwa mafuta kuanza kushusha na kusambazwa vituoni tekea jana . Akizungumza na Waandishi wa habari huko katika Ofisi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati …

Read More »

TRA: SASA UNAWEZA KULIPA KODI YA MAJENGO KIELEKTRONIKI

TR

Na: Veronica Kazimoto, Dar es Salaam, Wito umetolewa kwa wananchi wote kuanza kulipa Kodi ya Majengo ya mwaka 2017/18 mapema kwa kuwa ulipaji wa kodi hiyo umerahisishwa  ambapo wanaweza kulipa kwa kutumia njia ya kielektroniki. Akizungumza jijini Dar es Salaam hivi karibuni Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), …

Read More »

RAIS MHE.DKT JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU ILIYOFANYIKA KATIKA KANISA LA KIGANGO CHA MLIMANI (PAROKIA TEULE YA MLIMANI)LILILOPO WILAYANI CHATO GEITA.FEBRUARI 25,2018

1

Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akishiriki Ibada ya misa Takatifu katika kanisa la kigango cha Mlimani (Parokia teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita.Februari 25,2018. Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akipiga makofi baada ya mahubiri kutoka kwa Padre Alex Bulandi wakati wa Ibada ya misa Takatifu katika kanisa la kigango cha …

Read More »

BITEKO AUTAKA MGODI WA KATAVI & KAPUFI KUAJIRI WATANZANIA

1

Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko (kushoto) akisalimiana na Wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu wa Katavi & Kapufi Ltd uliopo Mkoani Katavi mara baada ya kuwasili mgodini hapo kwa ajili ya kujionea shughuli zinazoendelea mgodini hapo na kuzungumza na wahusika masuala mbalimbali ya uendeshaji wa mgodi huo. Naibu Waziri wa …

Read More »