Tuesday , March 26 2019

Home / 2018 / February / 26

Daily Archives: February 26, 2018

KAMANDA MAMBOSASA: OLE WAO WATAKAOFANYA MAANDAMANO DAR

BO

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amesema ni marufuku kwa mwanachi yoyote kushiriki kwenye maandamano kwani hawapo tayari kuona watu wakiandamana na kusababisa uvunjifu wa amani iliyopo. Mambosasa ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam wakati akizungumzia mambo mbalimbali na ametumia nafasi hiyo kutoa …

Read More »

KISARAWE WAONGEZA MIKAKATI YA UFAULU SHULENI

keki JF (2)

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI na Mbunge wa Kisarawe Selemani Jafo akijiandaa kukata keki katika katika sherehe ya kuwapongeza walimu wa shule za msingi wilayani Kisarawe.  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI na Mbunge wa Kisarawe Selemani Jafo akikata keki maalum kwa ajili ya walimu wa Kisarawe. …

Read More »

SIMBA MOTO YAITANDIKA MBAO FC 5-0,OKWI AVUNJA REKODI YA MSUVA

DSC_0173-640x426

Na.Alex Sonna,Dar es salaam. Simba imeendeleza umwamba dhidi ya Mbao FC toka Mwanza huku ikiendelea kuukimbilia ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara baada ya kutoa kimbunga cha magoli 5-0 dhidi ya Wababe hao Mchezo wa 19 Mzunguko wa Pili uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam. …

Read More »

DK. KIGWANGALLA ATOA MIEZI TISA KWA WANANCHI KULIPWA FIDIA WAPISHE HIFADHI YA TAIFA TARANGIRE NA PORI LA AKIBA MKUNGUNERO

1111

Na Hamza Temba-WMU-Manyara ……………………………………………………………… Serikali italipa fidia na vifuta jasho kwa vitongoji ambavyo vipo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Tarangire na Pori la Akiba Mkungunero ili viweze kupisha maeneo hayo yaendelee kuhifadhiwa kwa mujibu wa sheria. Hayo yameelezwa jana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla katika …

Read More »

KAMANDA MAMBOSASA AMUIBUA MTU HATARI NA KATILI SANA KWA WANWAWAKE

IMG_1893

Kamanda Razaro Mambosasa aakizungumza na waandhishi wa habari katika kituo kikuu cha Polisi jijini Dar es salaam wakati alipotoa taarifa ya kuhusu matukio mbalimbali jijini Dar es salaam leo. …………………………………………………………………………….. JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Rajabu Mohamed(25) ambaye anatuhumiwa kujifanya Freemason na kisha kufanya kila …

Read More »

UONGOZI WA ACT WAZALENDO KATA YA MAPINGA WAKIMBILIA CCM

IMG_20180226_163811

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Pwani ,Ramadhani Maneno akizungumza alipotembelea kata ya Mapinga ,wilaya ya Bagamoyo wakati wa muendelezo wa ziara yake anayoendelea nayo mkoani hapo kushukuru kuchaguliwa nafasi hiyo.(picha na Mwamvua Mwinyi) Aliyekuwa mgombea udiwani kata ya Mapinga kupitia ACT Wazalendo uchaguzi mkuu uliopita ,Tabia Juma akiongea …

Read More »

Wazri Mkuu Kassim Majaliwa azindua kituo cha afya Chiwale

PMO_0269

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi wa jengo la wazazi katika kituo cha afya Chiwale, Wilayani Masasi, akiwa ameanza ziara yake ya kikazi ya siku tatu, Mkoani Mtwara  Februari 26, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe  wakati akiweka jiwe la msingi katika kituo cha afya …

Read More »

WATANZANIA KUPENYA SOKO LA KENYA

Pix 01

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Adolf Mkenda akifafanua jambo kwa washiriki wa kikao cha kujadili maandalizi ya wiki ya Tanzania nchini Kenya mapema hii leo jijini Dar es Salaam. Kuia ni Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dk. Pindi Chana na katikati …

Read More »

NDITIYE: WAISHIO MWAMBAO WA ZIWA KUPATA MAWASILIANO YA UHAKIKA

JPEG. NA. 1

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (kulia) akizungumza na Meneja wa Bandari za Ziwa Nyasa Bwana Ajuaye Msese wakisafiri kwa boti ndani ya ziwa hilo kukagua upatikanaji wa huduma za mawasiliano na uchukuzi kwenye mwambao wa ziwa hilo. Aliyevaa miwani ni Meneja Uendeshaji wa Mfuko wa Mawasiliano …

Read More »

UTEUZI WA DIWANI WA VITI MAALUM – CHADEMA

index

Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi amesema kwa kuzingatia matakwa ya kifungu cha 86A cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292, Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika Kikao chake cha tarehe 23 Februari, 2018, imemteua Ndugu JANE JAPHALY JOJO kuwa Diwani wa Viti Maalum katika Halmashauri ya …

Read More »

VIONGOZI MASASI MIKONONI MWA TAKUKURU

takukuru

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Mtwara Bw. Stephen Mafipa  kumtafuta popote alipo na kumkamata aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Masasi Bw. Fortunatus  Kagoro  kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha.   Mbali na Bw. Kagoro pia Kaimu Mweka Hazina Bw. Heri Hamad Afisa …

Read More »

MPIMA ARDHI AMWAGA CHOZI MBELE YA WAZIRI LUKUVI

lukuvi_0_o-1

Mpima Ardhi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama Bwana Thobias Patrick amemwaga chozi mbele ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maeneleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akijitetea kuhusu tuhuma za kupima eneo la serikali na kujimilikisha kisha kuliuza. Hayo yametokea jana wilayani Kahama mkoani Shinya wakati wa ziara ya Waziri …

Read More »

PLAN INTERNATIONAL KWA KUSHIRIKIANA NA UMOJA WA ULAYA YAWAWEZESHA KIUCHUMI VIJANA 592 WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU,KISARAWE NA KIBAHA

1

Waziri wan chi Ofisi ya Rais Tamisemi Sememani Jafo Kulia wa Meneja wa mradi wa Yee kutoka Shirika lisolokuwa la kiserikali la Plan international Simon Ndembeche wa kushoto wakikagua vifaa mbavyo vimetolewa kwa vijana wanaoishi katika mazingira magumu katika kata ya Kiluvya Wilayani Kisrawe katika halfa fupi ya kukabishi vitendea …

Read More »

WATUMISHI WA UMMA MSINYANYASE WACHIMBAJI WADOGO – BITEKO

6

Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko (mwenye kipaza sauti) akizungumza na wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu kwenye machimbo ya Kitunda ya Wilayani Sikonge, Mkoani Tabora. Biteko alifanya ziara kwenye machimbo hayo ili kujionea shughuli zinazoendelea sambamba na kuzungumza na wachimbaji. Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko (kulia) na Mkuu …

Read More »

SERIKALI IWAGEUKIE WALEMAVU WA AKILI

PICS 1B

Baadhi ya watoto wanaolelewa katika kituo cha watoto wenye ulemavua wa viungo na akili cha Erick Memorial  Foundation for Education and Liabilitation for Disabled, EMFERD cha mjini Morogoro. Mama Josephine Bakhita, wa nne kutoka kulia, akiwa na baadhi ya wazazi na watoto wenye ulemavu wa akili na viungo. ……………….                Na …

Read More »