Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / February / 27

Daily Archives: February 27, 2018

Madam Tokozile Xasa: Tanzania has lots of potential for investment

unnamed

The South Africa’s Minister for Tourism Madam Tokozile Xasa speaking to the AICC’s Principal Conference Services and  Research Officer, Madam Linda Nyanda shortly after the opening of the Meetings Africa event trade show. From ASSAH MWAMBENE in Johannesburg South Africa’s Minister for Tourism, Madam Tokozile Xasa has said Tanzania has …

Read More »

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII NA WIZARA YA KILIMO, MALIASILI, MIFUGO NA UVUVI YA ZANZIBAR ZAWEKA MKAKATI WA KUIMARISHA MUUNGANO

DSC_6676

Waziri wa Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi. ………….. Wizara ya Maliasili na Utalii ya Tanzania Bara na Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi ya Zanzibar zimeweka mkakati wa pamoja wa kuimarisha ushirikiano wa usimamizi wa maliasili, malikale na kuendeleza utalii kwa maslahi ya pande zote za Muungano.  …

Read More »

UPASUAJI WA KIHISTORIA WAFANYIKA MOI KWA MAFANIKIO

Madaktari Bingwa wa upasuaji wa Moyo kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) na Madaktari wa Hospitali ya Apolo, Bangalole ya nchini India wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kumuwekea milango miwili ya moyo ya chuma (Aortic na Mitral Valuves) ambayo itamsaidia kupitisha damu vizuri katika moyo katika taasisi hiyo, Dar es Salaam jana. Kutoka kulia ni Dk. Sathyaki Nambala, akifuatiwa na Dk. Bashir Nyangasa na Dk. Lebighe Khan (kushoto). (Picha na Anna Nkinda, JKCI)

Na Mwandishi wetu Madaktari Bingwa wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa  Muhimbili  (MOI) kwa kushirikiana na Madaktari wa Hosipitali ya BLK  India leo wamefanya upasuaji maalum wa mgongo kwa kutumia matundu (Minimal Invasive Spine Surgery) kwa mgonjwa aliyedhoofika uti wa mgongo. Kwa Mujibu wa Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa …

Read More »

WAFANYAKAZI JNIA,TAA WAMLILIA MAREHEMU SWAI

marehemu Jerome Swai

Marehemu Jerome Swai  Kaimu Mkurugenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), Bw. Johannes Munanka (kulia), akimpa pole Bi. Honoratha Emmilian aliyefiwa na mume wake marehemu Jerome Swai aliyekuwa Fundi Bomba (JNIA), alifariki tarehe 26 Februari, 2018 kwenye hospitali ya Amana Jijini Dar es Salaam.  Meneja Uendeshaji …

Read More »

MIRADI YA MAENDELEO KUFANYIWA MAPITO YA KIMKAKATI

1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo akifungua Kikao kazi cha kujadili mpango wa utekelezaji wa miradi ya inayotekelezwa kwa Fedha za mfuko wa Maendeleo ya Serikali za Mitaa. Katibu Mkuu OR-TAMISEMI Mhandisi Mussa Iyombe akizungumza na wajumbe wa Kikao Kazi(hawapo pichani) …

Read More »

MRAJISI WA USHIRIKA ANGALIA UTENDAJI WA MAMCU-MAJALIWA

PMO_0514

 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mrajisi wa Ushirika Dkt. Titto Haule aangalie kwa umakini utendaji na ufanisi wa chama cha Ushirika cha MAMCU na  viongozi wote ili kubaini kama wanakidhi makusudio yake   Amesema ikiwezekana chama hicho kivunjwe ili  waanzishe vyama kilele viwili  vitakavyoweza kuhudumia wakulima katika maeneo yao ili …

Read More »

MARUFUKU KUVAMIA ENEO LA BAMBO LA MAFUTA GHAFI

PICHA 1

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ,Wiliam Lukuvi, akizungumza wakati wa Warsha ya Wadau wa Bomba la kusafirisha Mafuta ghafi kutoka Hoima  nchini Uganda Hadi katika bandari ya Tanga nchini uliofanyika wilayani Kahama,mkoani Shinyanga kwa Lengo la kutoa elimu juu ya mradi wa bomba Hilo. Waziri wa Ardhi, …

Read More »

ISAKA KUJENGWA KIWANDA CHA KUSANIFU MABOMBA YA MAFUTA

PICHA TATU

Waziri wa Nishati ,Dkt. Medard Kalemani (kulia)akiteta jambo na mkuu wa mkoa wa shinyanga Zainabu Tellack wakati wa warsa ya wadau wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda hadi bandari ya Tanga nchini Tanzania uliofanyika wilayani Kahama mkoani Shinyanga Waziri wa Nishati ,Dkt. Medard Kalemani (wa tatu kulia …

Read More »

MAAFISA ELIMU KUWENI WABUNIFU NA KUONGEZA WELEDI KAZINI-JAFO

1

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo akitoa hotuba wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha Makatibu Tawala wasaidizi Elimu, Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mipango wa Mikoa, Wakaguzi wa ndani wa Hesabu,na Maafisa Elimu Wilaya kutoka Mikoa 26 Tanzania Bara mjini Dodoma …

Read More »

IGP SIRRO AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KAHAMA MKOANI SHINYANGA

1

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akizungumza na wananchi wa Kahama mkoani Shinyanga mara alipowasili katika wilaya hiyo kwa ziara ya kikazi ya kuzungumza na maofisa na askari wa Jeshi hilo, IGP Sirro amewataka wananchi hao kuendelea kutoa ushirikiano kwa Jeshi hilo pamoja na kuwafichua wahalifu waliopo kwenye …

Read More »

NGORONGORO HEROES KUCHEZA NA DR CONGO KUFUZU FAINALI ZA AFRICA

Serengeti Boys

Timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 20(Ngorongoro Heroes) imepangwa kucheza na DR Congo kwenye mchezo wa kutafuta tiketi ya kucheza fainali za Vijana za Africa zitakazochezwa Niger mwezi Novemba. Mchezo wa kwanza utachezwa Tanzania kati ya Machi 30,31 na April 1,2018 na ule wa marudiano utachezwa Congo kati …

Read More »

TWIGA STARS KUCHEZA NA ZAMBIA AFCON YA WANAWAKE

160321011943_twigastars_tanzania_640x360_bbc

Timu ya Taifa ya Wanawake(Twiga Stars) itacheza na Zambia katika mchezo wa kufuzu fainali za Africa kwa Wanawake zitakazochezwa Ghana baadaye mwaka huu. Twiga Stars inatakiwa kucheza mechi zote mbili kati ya April 2 na April 10,2018. Mchezo huo ni wa raundi ya kwanza.

Read More »

MGALU AONYA MATAPELI MIRADI YA REA

Picha Na 2

Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara akifafanua jambo kwenye mkutano wa Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu na wananchi wa kata ya Bomba Mbili iliyopo katika wilaya ya Ilala nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam mapema tarehe 24 Februari, 2017 Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu akielezea mikakati ya …

Read More »

WAWAKILISHI WATAKA MAZINGIRA RAFIKI KWA WATU WENYE ULEMAVU

miu01

Na Ali Issa Maelezo–Zanzibar   Wajumbe wa baraza la wakiishi wameishauri Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji kuipa nafasi kamati ya Baraza la Wawakilishi kuichangia hoja kuhusu miundombinu kwa ajili ya watu wenye ulemavu. Hoja hiyo binafsi imetolewa na mmoja wa wajumbe wa baraza hilo ikitaka watu wenye ulemavu wawekewe …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AMSAIDIA MKAZI WA SALASALA KITI CHA MAGURUDUMU

3

Msaidizi wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Nehemia Mandia (kulia)akizungumza na Bi. Sidonia Ntibashigwa mkazi wa Machimbo ya Zamani Salasala kabla ya kumkabidhi Kiti cha Magurudumu kilichotolewa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Bi. Sidonia Ntibashigwa mkazi …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

index

MTU MMOJA ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMBAKA MTOTO WA MIAKA 4, WILAYANI NYAMAGANA. KWAMBA TAREHE 26/02/2018 MAJIRA YA SAA 16:00HRS JIONI KATIKA MAENEO YA MTAA WA PASSWORD KATA YA NYEGEZI WILAYA YA NYAMAGANA JIJI NA MKOA WA MWANZA, SOLI MKANZABE MIAKA 24, MKAZI WA MTAA WA …

Read More »

Wawekezaji Watakiwa Kuchangamkia Fursa Mkoani Kigoma

index

  Frank Mvungi- Maelezo, Dodoma Serikali imetoa rai kwa wawekezaji kujitokeza kuwekeza katika  viwanda vya kuchakata samaki, madini ya chokaa na michikichi ili kuchochea ukuaji wa uchumi na Ustawi wa Wananchi na Taifa kwa Ujumla. Akizungumza katika Kipindi cha TUNATEKELEZA kinachorushwa na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Mkuu wa Mkoa …

Read More »