Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / March / 01

Daily Archives: March 1, 2018

TAMISEMI YAENDA SAMBAMBA NA TAFITI NBS

1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo akifungua kikao cha Uwasilishaji wa Takwimu za Utoaji wa huduma za Afya ya Msingi kwa mama na mtoto zilizowasilishwa na Ofisi ya Taifa ya  Takwimu kupitia Jukwaa la kukusanya na kuchambua Takwimu za Afya na …

Read More »

PRIVATE SECTOR ASSOCIATIONS AND CIVIL SOCIETY ORGANISATIONS CEO`S MEET TO DISCUSS SUSTAINABLE DEVELOPMENT GOALS (SGD’S) IN DAR ES SALAAM

EM1

GCNT National Coordinator Emanuel C.  Nnko presents a paper on SGD’s goals to participants of  Half day workshop organised by UNDP supported project, Global Compact Local Network Tanzania, on February 28th, 2018 at Ramada Encore Hotel  . Normal 0 false false false EN-US JA X-NONE /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:”Table Normal”; …

Read More »

MBUNGE MARY CHATANDA AKERWA DARASA LA AWALI KUFUNGWA

thumbnail1WEB

PICHANI : Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini Mary Chatanda (kushoto) akiangalia shimo la choo ambalo limeshajengwa na kufukiwa. Ametoa sh. 500,000 kumalizia choo hicho.     Na Yusuph Mussa, Korogwe IMMAMATUKIO BLOG MBUNGE wa Jimbo la Korogwe Mjini mkoani Tanga (CCM) Mary Chatanda ameshangazwa kuona darasa la awali katika …

Read More »

Mkurugenzi JNIA Ataka Wafanyakazi Kujituma Maradufu

????????????????????????????????????

Kaimu Mkurugenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), Bw. Johannes Munanka leo akiongea na wafanyakazi wa kiwanja hicho kwenye ukumbi wa mikutano wa Transit uliopo Jengo la Kwanza la abiria (TB1), ambapo wamejadili masuala mbalimbali ya kiutendaji. Kulia ni Afisa Rasilimali Mkuu Bi. Fatma Matimba. Wafanyakazi …

Read More »

MA-DED WATAKIWA KUSIMAMIA WATOTO YATIMA WAPATE ELIMU.

1b

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akifungua  jana mjini hapa kongamano la wadau wa maendeleo ya elimu mkoani humo. Lengo la kongamano hilo ilikuwa ni kujadiliano juu ya vikwazo vinakwamisha sekta hiyo kwa ajili ya kuvitafutia ufumbuzi. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tabora Hassan Wakasubi akitoa …

Read More »

PROF.KABUDI AKUTANA NA BALOZI WA ITALY

IMG-20180301-WA0011

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Prof. Palamagamba Kabudi amekukutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Italy nchini Mhe.Roberto Mengoni. Mazungumzo hayo yamefanyika ofisi ndogo za wizara zilizoko jijini Dar es salaaam. Katika mazungumzo hayo mhe Waziri na mhe. Balozi wameongea kuhusu maeneo mbalimbali ya ushirikiano baina ya Italy na Tanzania …

Read More »

SIMBA NA STAND KUCHEZA UWANJA WA TAIFA KESHO

simba_sc_fly_top_spot_of_premier_league_h11763_1e94f

Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara mzunguko wa 19 inaendelea kesho kwa mchezo mmoja utakaowakutanisha Simba ya Dar es Salaam dhidi ya Stand United ya  Shinyanga Mchezo huo utakaochezwa saa 10 jioni utafanyika kwenye Uwanja wa Taifa. Mwamuzi wa katikati Florentina Zabron kutokea Dodoma ,Mwamuzi msaidizi namba moja Ferdinand Chacha …

Read More »

DROO KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM KUFANYIKA KESHO

index

Droo ya Kombe la Shirikisho la Azam inafanyika kesho Ijumaa Machi 2, 2018 saa 5 asubuhi Makao Makuu ya Azam Tv wadhamini wa mashindano hayo. Droo hiyo itahusisha timu nane(8) zil izofanikiwa kufuzu hatua hiyo ya Nane bora. Timu zilizofanikiwa kuingia hatua hiyo ni Young Africans na Azam FC za …

Read More »

FIFA WAIMWAGIA SIFA TANZANIA

index

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA Ndugu Gianni Infantino amemshukuru Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) Ndugu Wallace Karia kwa kazi nzuri ya maandalizi ya mkutano wa FIFA wa maendeleo ya mpira (FIFA Football Executive Summit) uliofanyika Februari 22, 2018 Dar es Salaam,Tanzania. Infantino amesifia …

Read More »

JAJI MKUU WA GAMBIA AMTEMBELEA MWANASHERIA MKUU.

IMG_2923

Mwanasheria Mkuu  Dk. Adelardus Kilangi akisalimiana na  Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe  Wilbroad Slaa walipokutana nje ya Jengo   ambalo lina Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki . Mwanasheria Mkuu alikuwa akimsubiri kumpokea mgeni wake Jaji Mkuu wa Gambia …

Read More »

CHANGAMOTO YA HUDUMA ZA AFYA MBECHA YAPATIWA UFUMBUZI

PMO_1393

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Gasper Byakanwa, katika kijiji cha Mchenganyumba Wilayani Ruangwa, Waziri Mkuu amemaliza ziara yake ya kikazi Mkoani Mtwara Februari 28, 2018, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Mkewe Mary Majaliwa, wakiwasalimia watoto wa shule ya msingi Mbecha, katika kijiji cha …

Read More »

WAJUMBE KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI NA MADAWA YA KULEVYA WATEMBELEA KONGA ZA WATU WANAOISHI NA VVU WILAYANI MBOZI MKOANI SONGWE

IMGL1538

Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Capt. Chiku Galawa (kulia) akizungumza na Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya kulevya, Mhe. Venance Mwamoto (kushoto) na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhe. Dkt. Jasmine Tisekwa Bunga (katikati) pale kamati hiyo ilipomtembelea ofisini kwake kabla …

Read More »

KUJISAJILI WCF LENGO NI KUMUONDOLEA MZIGO WA GHARAMA MWAJIRI NA KULINDA HAKI ZA MFANYAKAZI: MAVUNDE

mavunde2

 NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID, MOSHI SERIKALI ya awamu ya tano imedhamiria kwa dhati kuhakikisha wafanyakazi wanalindwa na kupata haki zao pindi wanapopatwa na madhara yatokanayo na kazi, Naibu Waziri  Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde amesema mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro..  Mheshimiwa Mavunde ameyasema hayo …

Read More »

DK.SHEIN AWAAPISHA MAWAZIRI NA WAKUU WA WILAYA

DSC_5563

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Salama Aboud Twalib kuwa Waziri wa Ardhi,Nyuma,Maji na Nishati  katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa  Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha …

Read More »