Thursday , February 21 2019

Home / 2018 / March / 02

Daily Archives: March 2, 2018

VIDEO:UJUMBE KUTOKA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI,08,2018.

SIKU YA WANAWAKE (BANGO KUU)

Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, tunapenda kuwafahamisha wanawake, jamii na wadau wengine kuwa Maadhimisho ya Mwaka huu yatafanyika katika ngazi ya Mikoa. Kaulimbiu ni “Kuelekea Uchumi wa Viwanda: Tuimarishe Usawa wa Jinsia na Uwezeshaji Wanawake Vijijini”. Kupitia kaulimbiu …

Read More »

DIAMOND KUPIGA SHOO KOMBE LA DUNIA 2018 NCHINI URUSI

maxresdefault

  Msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz anatarajiwa kushiriki katika wimbo maalumu wa Kombe la Dunia nchini Russia. Wimbo huo utakuwa unawakilisha bara la Afrika. Wimbo huo  umedhaminiwa na kampuni ya vinywaji baridi ya Coca-Cola, Diamond atashirikiana na wasanii wengine kama Sami Dani kutoka Ethiopia, Ykee Benda kutoka Uganda na …

Read More »

WAFADHILI WARIDHISHWA NA MRADI NA MAENDELEO YA MRADI WA MAJARIBIO WA KUTUMIA TEKNOLOJIA KWA WATOTO WALIO NA FURSA NDOGO

_MG_3924

   Katibui Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi kulia akiwaonyesha mmoja ya sehemu zinazotunzwa tablets ambazo zinatumiwa kufundishia wanafunzi akiwa na wafadhili wa mradi huo   Katibui Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi akiwaongoza wafadhili wa mradi huo kutembelea maeneo mbalimbali unapotekelezwa wilayani Pangani Katibui Tawala wa Mkoa …

Read More »

Lyimo, Anna waahidi makubwa TUGHE-JNIA

????????????????????????????????????

Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE), mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Gaudence Kadyango aliyekuwa msimamizi wa uchaguzi wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) tawi la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), akitoa maelezo kwa wapigaji kura kwenye uchaguzi …

Read More »

TEMESA NA TBA ZATAKIWA KUFANYA KAZI KWA KASI NA VIWANGO

2

Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akifungua mkutano Uliowakutanisha Wataalam kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) na Menejimenti ya Sekta Mawasiliano (hawapo pichani), kujadili namna ya kuzingatia sheria za manunuzi Mkoani Dodoma.Kulia ni Afisa Utumishi Mwandamizi wa Sekta ya Mawasiliano, Trano Mubarok. Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias …

Read More »

HALMASHAURI KUUNGA TAASISI ZA UMMA NA REA

PICHA 07

Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani akikagua moja ya maeneo ya mashamba ya wanna vijijini zitakapopitaa nguzo za kusafisha umeme wa REA III. Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani (katikati) akigawa bure kifaa cha umeme tayari(UMETA) kwa wazee 8 ambapo wanne wanatoka Kijijiji cha Miguha Wilayani Nzega na na wengine …

Read More »

TANGA UWASA ,JUIN COMPAY LIMITED WAINGIA MKATABA WA MAKUBALIANO KUTEKELEZA MRADI WA MAJI WILAYANI LUSHOTO

coa

 Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares kushoto akisaini mkataba wa kutekeleza mradi wa Maji wilayani Lushoto na Mkandarasi wa mradi huo Justice Kato  kutoka kampuni ya Juin Company Limited Civili&Building Contractors ambao utagharimu milioni 700 wanaoshuhudia nyumba kushoto …

Read More »

Huawei Technologies Set to Lead Global Charge to 5G Networks

Huawei Launches Full Range of 5G End-to-End Product Solutions

China’s Huawei is forging closer commercial ties with big telecom operators across Europe and Asia, putting the company in prime position to lead the global race for next-generation 5G networks. On Sunday the 25th February 28, 2018 ahead of the opening of Mobile World Congress, held in Barcelona, Spain; the …

Read More »

WAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA USAMBAZAJI MAJI

PMO_0514

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua mradi wa usambazaji wa maji kwenye vijiji vinavyopitiwa na mradi wa maji Mbwinji na ameridhishwa na unavyoendelea.  Mradi huo unaosimamiwa na Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Masasi-Nachingwea (MANAWASA) unatarajiwa kukamilika Machi 31, 2018.  Waziri Mkuu alifanya ukaguzi huo jana (Alhamisi, Machi 01, 2018) …

Read More »

Wanafunzi wa Udom waunga mkono Jitihada za Elimu Bure

1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo (aliyesimama) akitoa hotuba yake kabla ya kuzindua programu ya wanafunzi walimu kutoka Chuo Kikuu cga Dodoma wanaokwenda kujitolea kwenye shule za Sekondari na Msingi zilizo karibu na maeneo wanayoishi. Mstahiki Meya wa Manispaa ya Dodoma …

Read More »

SERIKALI YAAGIZA OPERESHENI YA KUONDOA WAVAMIZI WA KIGENI KATIKA KISIWA CHA IZINGA MKOANI KAGERA

1111

…………………………………………………………………………….. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ametoa siku 7 kwa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania TAWA  kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Karagwe kufanya Operesheni ya kuwaondoa wavamizi wa nchi jirani wanaodaiwa kulima na kufiga ndani kisiwa cha Izinga kilichopo ndani …

Read More »