Wednesday , April 24 2019

Home / 2018 / March / 03

Daily Archives: March 3, 2018

MSHAURI WA RAIS WA MASUALA YA WANAWAKE AWATAKA AKINAMAMA NCHINI KUPAZA SAUTI ZAO KUPINGA VITENDO VYA UDHALILISHAJI

zainab

Na Mwashungi  Tahir     Maelezo Zanzibar   Mshauri  wa Rais wa mambo ya masuala ya wanawake Zainab Omar Mohammed amewataka akinamama nchini kupaza sauti zao kupinga vitendo vya udhalilishaji ambavyo hivi sasa  vimeshamiri nchini. Akizungumza na akinamama wa Umoja wa wanawake UWT wilaya ya Amani na UWT wilaya ya Mjini huko katika …

Read More »

MAKAMU WA PILI WA RAIS BALOZI SEIF ALI IDD ASIKITISHWA NA TAKWIMU ZILIOPO ZA KESI ZA DAWA ZA KULEVYA HAZIENDANI NA KASI YA MAPAMBANO YANAYOENDELEA KWA WAKATI

MAKAMU-wa-Pili-wa-Rais-wa-Zanzibar-Balozi-Seif-Ali-Iddi

Na Miza Kona Maelezo Zanzibar  Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Idd amesema anasikitishwa sana kuona kuwa takwimu ziliopo za kesi zadawa za kulevya haiendani na kasi ya mapambano yanayoendelea kwa wakati  . Akizungumza kwa niaba Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Pili Mhe Mihayo Juma Nhunga hali …

Read More »

KATIBU MPYA WA SUK AKABIDHIWA OFISI RASMI

001

MKUU wa Sehemu Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM Zanzibar, Khamis Haji Khamis(kulia) akitoa ufafanuzi juu ya majukumu mbali mbali ya Idara katika hafla ya makabidhiano ya Ofisi kutoka kwa Katibu mstaafu wa Idara hiyo Hamad Yussuf Masauni na kumkabidhi Katibu mpya Maalim Kombo Hassan Juma. BAADHI ya …

Read More »

FINCA MICROFINANCE BANK YASHEREHEKEA MIAKA 20 TANGU KUANZISHWA KWAKE

13

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Amina Khamis Shaaban akitoa hotuba yake katika hafla ya FINCA Microfinance Bank kutimiza miaka 20 tangu kuanzishwa kwake nchini Tanzania ambapo ameipongeza benki hiyo kwa jinsi ambavyo imekuwa ikisaidia wajasiriamali wadogowadogo vijijini na mijini, Benki hiyo imeweza kusaidia wajasiriamali wapatao …

Read More »

MSIUZE UFUTA WENU MASHAMBANI PELEKENI MINADANI-MAJALIWA

PMO_1621

  Waziri Mkuu, Kassim.Majaliwa akisalimiana na Diwani wa kijiji cha Chikwale kata ya Mbwemkulu, Wilayani Ruangwa, Suleiman Likuche, Waziri Mkuu yupo Wilayani ruangwa kwenye Ziara yake ya kikazi jimboni. Machi,5 2018, Waziri Mkuu, Kassim.Majaliwa akisalimiana na Diwani wa kijiji cha Chikwale kata ya Mbwemkulu, Wilayani Ruangwa, Suleiman Likuche Waziri Mkuu yupo Wilayani …

Read More »

TAHLISO YAWAONYA WANAOTUMIA KIFO CHA AKWILINA KISIASA

Rais wa tahiliso (2)

Mwenyekiti wa Jumuiya ya taasisi ya vyuo vya elimu ya juu Tanzania (TAHLISO) akisoma tamko la Marais wa Vyuo vikuu katika  mkutano uliofanyika leo Chuo Kikuu cha Dodoma(Udom), Mjini Dodoma Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Marais wa Vyuo Vikuu Nchini wakishiriki mjini Dodoma leo. ……………….. Jumuiya ya Taasisi za …

Read More »

CHAMWINO YAJIPANGA KUTOKOMEZA MIMBA ZA UTOTONI

Pix 5

Diwani wa Kata ya Haneti Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma Mhe. Peter Elia Chidawali akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi na Sekondari Haneti wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuzuia Mimba za Utotoni ijulikanayo ‘Mimi ni Msichana Najitambua Elimu ndio Mpango Mzima’ Wilayani Chamwino. Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo …

Read More »

Wasanii wa Filamu Nchini Waaswa Kuzingatia Maadili

P0

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (KBF), Joyce Fissoo akionyesha Leseni inayotolewa na bodi hiyo kwa ajili ya waendeshaji wa vibanda vya kuonyeshea filamu wakati wa kikao kazi cha wadau wa tasnia ya Filamu na Maafisa Utamaduni wa Mkoa wa Arusha kilichofanyika jana Jijini Arusha. Kutoka kushoto ni Afisa …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA

Kutoka kushoto, RCO, Staff Officer na RPC

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kukabiliana na vitendo vya uhalifu ili kuhakikisha kuwa wageni na wakazi wa Mkoa huu wanaendelea kuwa salama na mali zao. Aidha Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea kushirikiana na wananchi na wadau wengine wa usalama na kufanikiwa kupata mafanikio makubwa ikiwa ni …

Read More »

RPC MWANZA, AWASISITIZA ASKARI KUEPUKA UBAMBIKAJI KESI

JK3A6872

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Naibu Kamishina wa Polisi Ahmed Msangi amewasisitiza askari kuepuka ubambikaji kesi kwa wananchi, rushwa na ubabaishaji pia akiwataka askari kufanya kazi kwa utii, nidhamu na maadili kama ambavyo Jeshi la Polisi Tanzania linavyoelekeza. Hayo yamejiri tarehe 28/02/2018 wakati Kamanda Msangi alipokutana na askari wa …

Read More »

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AKITOZA FAINI YA SHILINGI MILIONI 35 KIWANDA CHA NYUZI CHA PPTL KILICHOKO MKOANI TANGA KWA UKIUKWAJI WA SHERIA

5R5A0772

 Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde,(watatu kulia), akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha kusokota nyuzi cha PPTL kilichoko Kange Mkoani Tanga, baada ya kuwakuta wakifanya kazi bila ya kuwa na vifaa vya kujikinga, (protrctive gears), alipofanya ziara ya kushtukiza kiwandani …

Read More »

HATUJAWAKATAA WADAU WA AFYA TUNATAMBUA MCHANGO WAO, TUNAOMBA WAZINGATIE VIPAUMBELE VYA KITAIFA-RC MTAKA

IMG-20180302-WA0042 (1)

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake Machi O2, 2018 Mjini Bariadi ………………. Na Stella Kalinga, Simiyu Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka amesema Serikali Mkoani humo haijawakataa wadau wa Afya kutoka katika Mashirika mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa wanaofanya …

Read More »

JUKWAA LA WANAWAKE SOMANGILA, KIGAMBONI, LAZINDULIWA LEO, ANGEL AKILIMALI AWATAKA WANAWAKE WAJASIRIAMALI KUZALISHA BIDHAA BORA KUKIDHI SOKO

AKILI

Na Bashir Nkoromo, Kigamboni Wanawake wajasiariliamali wametakiwa kutengeneza au kuuza bidhaa zenya ubora wa viwango vinavokubalika ili kuvutia wateja kununua bidhaa zao na kuongeza masoko ndani na nje ya Nchi. Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel Akilimali ambaye alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Jukwaa la Wanawake Kata ya …

Read More »