Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / March / 04

Daily Archives: March 4, 2018

NAHODHA WA FIORENTINA KUTOKA ITALY, AFARIKI DUNIA

1662

Nahodha wa klabu ya Fiorentina inayoshiriki Ligi Kuu Italy, Serie A, Davide Astori (31) amefariki dunia, uongozi wa klabu umethibitisha. Astori amefariki akiwa na wachezaji wenzake katika hoteli moja nchini Italy, wakati wakijiandaa na mchezo wa ligi dhidi ya Udinese FC. Mchezaji huyo ametwaa mataji 14 katika maisha yake ya …

Read More »

SERIKALI YATOA BIL. 1.4 KUBORESHA VITUO VYA AFYA RUANGWA

PMO_1929

Waziri Mkuu, Kassim.Majaliwa akichanganya udongo wa tofali, wakati akishiriki ujenzi wa shule ya sekondari Matambalale, katika kata ya Matambalale, Wilayani Ruangwa. Machi 4, 2018, Waziri Mkuu, Kassim.Majaliwa akiweka udongo wakati akishiriki ujenzi wa shule ya sekondari Matambalale, katika kata ya Matambalale, Wilayani Ruangwa. Machi 4, 2018, Waziri Mkuu, Kassim.Majaliwa akifyatua tofali kwa ajili …

Read More »

FAILUNA AIBEBA TANZANIA KILI MARATHON, ASHINDA MEDALI YA FEDHA

02

WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, akimkabidhi mfano wa hundi ya Sh. milioni 1, mshindi wa pili wa mbio za Kilimanjaro Premium Lager Marathon Kilometa 21, Failuna Abdi, ambaye ni mtanzania pekee aliyeibuka mshindi kati ya Wakenya 9 katika mbio hizo zilizofanyika Moshi mkoani KilimanjaroNa Ripota …

Read More »

MHE BITEKO: TUFANYE SIASA ZA MAENDELEO KWA WANANCHI

DSC_2900

Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mkoani Geita ambaye pia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Madini Mhe Doto Mashaka Biteko akihutubia wananchi wakati wa mkutano wa hadhara wa Kijimbo uliofanyika katika Kijiji cha Shibingo Kata ya Yogelo, Jana 3 Machi 2018. Picha Zote Na Mathias Canal-Wazo Huru Blog Baadhi ya …

Read More »

Wakazi wa DSM kuanza kutumia gesi asilia kwa matumizi ya Nyumbani

PICHA 2

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani( kushoto)na Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania( TPDC) Mhandisi Kapuulya Msomba( kulia) wakizungumza kuhus suala la usambazaji wa gesi asilia katika nyumba za wananchi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani akizungumza na watendaji wa Shirika …

Read More »

WAZIRI WA BIASHARA NA VIWANDA ZIARANI MTWARA

DSC_0127

Mhe. Charles  Mwijage Waziri wa Viwanda, Biashara na uwekezaji amekabidhi mradi wa SIDO kujenga Industrial sheds kwa Mkandarasi SUMA JKT. Katika Makabidhiano hayo Mhe. Waziri ametoa miezi 2 kwa mkandarasi kukamilisha ujenzi wa majengo hayo. Mradi huo unakadiriwa kugharimu zaidi ya sh. 200 million ambapo majengo  yatajengwa ndani ya eneo …

Read More »

BODI YA MFUKO WA FIDIA YA ARDHI YAZINDULIWA

????????????????????????????????????

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi akisoma Hotuba ya Waziri wa Ardhi; Mhe. William Lukuvi akiwa amemwakilisha katika Uzinduzi wa Bodi ya Mfuko wa Fidia ya Ardhi. Kulia kwake ni Kaimu Kamishna wa Ardhi Msaidizi ( Mijini), Paul Luge na kushoto kwake ni Mwenyekiti wa …

Read More »