Thursday , February 21 2019

Home / 2018 / March / 05

Daily Archives: March 5, 2018

JK ATOA MIFUKO 300 YA SEMENTI UJENZI WA ZAHANATI

kikwete-2

Mbunge wa Chalinze (CCM), Rihiwani Kikwete (kulia) akizungumza wakati wa kupokea misaada hiyo. Pembeni yake ni Rais Mstaafu ambaye pia ni baba yake mzazi, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe, Mama Salma Kikwete pamoja na wananchi wengine. Rais Mstaafu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete …

Read More »

GATI YA LINDI YAKAMILIKA

2

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Nchini (TPA, Eng Karim Mattaka, akitoa maelezo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (wa pili kulia), kuhusu hatua za ujenzi wa gati ya Lindi, wakati Waziri huyo alipotembelea mradi kukagua maendeleo yake. Muonekano wa Gati mpya ya …

Read More »

UFARANSA YAIPONGEZA TANZANIA KWA KUPAMBANA NA RUSHWA

PMO_2304

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Frederic Clavier, kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam, Machi 5, 2018 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Frederic Clavier, kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam, Machi 5, 2018 Waziri Mkuu, …

Read More »

Angalia Leo kwenye DStv

DStv EPL Soccer Crystal Palace vs Manchester United ads Instagram(1080px X 1080px) 3 2 2 2 2 (1)

Leo kwenye DStv Jumatatu ya leo Premier League inaendelea kwenye DStv, Ambapo Crystal Palace wanaikaribisha Manchester United kwenye uwanja wa Selhurst Park jijini London. Licha ya kuwa wenyeji katika mechi hii ya leo, Crystal palace watakua na mchezo mgumu kutokana na historia nzuri waliyonayo Manchester United dhidi ya Cristal Palace …

Read More »

PROFESA MUBOFU ATEULIWA KUWA MAKAMU MKUU WA CHUO CHA UDOM

IMG_0832

Na Paschal Dotto-MAELEZO             Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Rais Mstaafu (Awamu ya Tatu), Mhe. Benjamin William Mkapa ametangaza uteuzi wa  Profesa Egid Beatus Mubofu kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu hicho, nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Profesa Idris Suleiman Kikula. Uteuzi huo umetangazwa rasmi leo tarehe 5, Machi 2018 …

Read More »

Umakini Wahimizwa Tathmini ya Mradi wa DMDP

5

Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam Bi. Theresia Mbando akifungua kikao cha Tathmini ya Utekelezaji wa Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Da r es salaam kw niaba ya Katibu Mkuu OR-TAMISEMI Mhandisi Mussa Iyombe. Msimamizi Kiongozi  wa Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam kutoka Benki …

Read More »

MADEREVA BODABODA WALIOTELEKEZA PIKIPIKI ZAO VITUO VYA POLISI PWANI WAZIFUATE -RPC SHANNA

IMG-20180228-WA0062

Kamanda wa polisi Mkoani Pwani ,(ACP)  Jonathan Shanna akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake (hawapo pichani). Picha na Mwamvua Mwinyi ………………. Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha JESHI la polisi mkoani Pwani, limetoa siku saba kwa madereva pikipiki (bodaboda) ambao walitelekeza pikipiki zao katika vituo mbalimbali vya polisi, kwenda kuzichukua baada ya …

Read More »

Wafanyakazi TBL walivyoshiriki Kilimanjaro Marathon 2018

KILI MARATHON 6

Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Group wakipongezana baada ya kumalizika mashindano ya Kili Marathon Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Group wakipongezana baada ya kumalizika mashindano ya Kili Marathon Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Group wakipongezana baada ya kumalizika mashindano ya Kili Marathon Moja ya vibanda  vyenye vipeperushi vya kampeni ya …

Read More »

UMOJA WA MATAIFA YAIMWAGIA SIFA JWTZ NA SERIKALI YA JPM

PICHA I

Wanajeshi kutoka jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania wanaoshiriki Ulinzi wa Amani chini ya Mpango wa umoja wa mataifa na Umoja wa Afrika UNAMID  wakiwa katika Doria maeneo ya Jirani na Mlima Mawe Khor Abeche Jimboni   Darfur Nchini Sudan ( Picha na Luteni Selemani Semunyu). Mwakilishi maalumu wa katibu …

Read More »

Waziri Dkt. Kalemani Ateua Wahandisi 7 Kusimamia REAIII

PICHA 4

Watendaji wa Wizara ya Nishati na Taasisi zake wakimsikiliza waziri wa nishati Dkt. Medard Kalemani( hayupo pichani) akizungumza wakati wa mkutano wa wadau wanaotekeleza mradi wa REA III uliofanyika katika ukumbi wa hazina Mkoani Dodoma. wakisikiliza Washiriki wa mkutano wa wadau wanaotekeleza mradi wa REA III wakitoa maoni yao wakati …

Read More »