Wednesday , April 24 2019

Home / 2018 / March / 13

Daily Archives: March 13, 2018

MBUNGE ROSE TWEVE ACHANGIA MAENDELEO YA UWT MKOA WA IRINGA

IMG_0381

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Rose Tweve akiongea wakati wa baraza la (UWT) manispaa ya Iringa lililofanyika katika ukumbi wa sabasaba mkoani Iringa na kusistiza wakipewa mitaji kutoka kwenye mfuko wake wanapaswa kuutunza mtaji huo ili uongeze faida.     Na Fredy Mgunda,Iringa. …

Read More »

OMBI LIMETOLEWA KWA HALMASHAURI YA KIBAHA VIJIJINI KUWAPA TENDA NDOGO ZA UFUNDI VIJANA WENYE VIKUNDI VYA UJENZI,KUFYATUA MATOFALI,CHAKULA NA KUCHOMELEA ILI WAJIKWAMUE KIUCHUMI

1

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi wa Mkoa wa Pwani (UVCCM),Charangwa Selemani Makwiro (katikati) akizungumza na wajumbe wa Baraza la UVCCM la Wilaya ya Kibaha Vijijini leo. Kushoto kwake ni Katibu Mkuu UVCCM Mkoa wa Pwani,Ramadhan Kapeto na Mwenyekiti UVCCM Wilaya Kibaha Vijijini,Jumanne Mbonde na Mwenyekiti wa …

Read More »

MBARAZA WA MKOA WA PWANI RAMADHAN MLAO AWAHAKIKISHIA VIJANA NA WA MAFIA KULIFANYIA KAZI MGOGORO WA HIFADHI ZA BAHARI NA WANANCHI KWA KUWAZUIWA KUVUA SAMAKI

1

 Mjumbe wa Baraza Kuu Taifa UVCCM Mkoa wa Pwani,Ramadhani Mlao,akizungumza na wajumbe wa baraza la UVCCM wa Wilaya ya Mafia kuhusu kupeleka sehemu husika mgogoro wa wananchi na hifadhi ya bahari pamoja na kuwahimiza wanakipigania chama kishinde uchaguzi ujaowa serikali za mitaa. Kushoto ni Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Pwani,Charangwa …

Read More »

SINGIDA UNITED NA YANGA ROBO FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION APRILI 1

DSC_0066

Robo Fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) inatarajiwa kuchezwa mwishoni mwa mwezi Machi katika viwanja vinne tofauti nchini. Ijumaa Machi 30, 2018 kutakuwa na mchezo mmoja katika uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga, ambapo wenyeji Stand United watawakaribisha Njombe Mji saa 10:00 jioni. Machi 31, 2018 …

Read More »

TSHISHIMBI AMGARAGAZA OKWI TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI LIGI KUU

PAPY-TSHISHIMBI_SHUTIKALI

Kiungo wa timu ya Yanga, Papy Tshishimbi Kabamba amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kwa mwezi Februari 2018. Tshishimbi ametwaa nafasi hiyo baada ya kuwashinda wenzake wawili alioingia nao katika kinyang’anyiro kwa mwezi Februari, katika uchambuzi uliofanywa na Kamati ya Tuzo iliyokutana Dar es Salaam wiki …

Read More »

MGOGORO MWAKITOLYO SHINYANGA KUPATIWA UFUMBUZI

1

Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko akizungumza na wananchi wa Kitongoji cha Mahiga, Kijiji cha Mwakitolyo Wilayani Shinyanga (hawapo pichani) kuhusu mgogoro wao na Kampuni ya uchimbaji dhahabu ya Henan Afro Asian Engineering. Wananchi wa Kijiji cha Mwakitolyo, Wilayani Shinyanga wakimsikiliza Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko (hayupo pichani) akizungumza …

Read More »

KAMPUNI BINAFSI ZA ULINZI KUWA NA SARE MOJA

unnamed (29)

  Na. Jeshi la Polisi. Kampuni binafsi za ulinzi zinazoendesha shughuli zake hapa nchini zimetakiwa kuvaa sare za aina moja ifikapo Januari Mosi mwakani kwa lengo la kuondoa sare ambazo zimekuwa zikifanana na zinazovaliwa na askari wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama. Agizo hilo limetolewa jijini Dar es Salaam na …

Read More »

MAAFISA HABARI, MAWASILIANO NA UHUSIANO WAPATIWA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO SEHEMU ZAO ZA KAZI

1.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Dkt. Hassan Abbasi akizungumza na Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano wakati wa kuwasilishwa na kujadiliwa kwa mada mbalimbali leo Jumanne Machi 13, 2018 katika mkutano wa 14 wa Maafisa Habari, Mawasilino na Uhusiano Serikalini unaoendelea Jijini Arusha. Kutoka kushoto ni Afisa Uhusiano wa Mradi …

Read More »

RIDHIWANI-VITUO VYA AFYA CHALINZE HAVINA VYUMBA VYA KUHIFADHIA MAITI

IMG_20180313_132736

Pichani ,mbunge wa jimbo la Chalinze ,Ridhiwani Kikwete akionekana kuzungumza jambo ………………… Na Mwamvua Mwinyi,Chalinze MBUNGE wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete ,ameweka wazi kuwa vituo vya afya katika jimbo hilo vinakabiliwana na ukosefu wa vyumba vya kuhifadhia maiti . Amesema changamoto hiyo ni kubwa ambapo husababisha wananchi kupeleka maiti …

Read More »

DC MSHAMA ATANGAZA BINGO KWA ATAKAEWAFICHUA WAUZA VIROBA

IMG_20180313_121353

Picha ya mkuu wa wilaya ya Kibaha ,Assumpter Mshama ………………… Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha MKUU wa wilaya ya Kibaha Assumter Mshama ametoa ahadi ya fedha kiasi cha sh. 100,000 kwa mtu atakayetoa taarifa na kuwafichua wafanyabiashara wanaoendelea kuuza pombe aina ya viroba ambazo zilizopigwa marufuku na serikali . Aidha amesema ,hata …

Read More »

NAIBU WAZIRI MADINI ATEKELEZA AGIZO LA RAIS MAGUFULI, AKIRI ZIPO CHANGAMOTO ULIPAJI WA FIDIA KWA WANANCHI KUPISHA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI

DSC_0468

Naibu waziri wa madini Mhe Doto Mashaka Biteko (Mb) akisisitiza jambo wakati akizungumza na wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara katika Kitongoji cha Mahiga, Kijiji na Kata ya Mwakitoliyo, Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli kusikiliza kero za …

Read More »

DK.SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU

DSC_6805

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Lulu Msham Abdalla kuwa Naibu Waziri wa  Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo  wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla alikuwa Naibu Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed …

Read More »

MKOA WA PWANI WAJIPANGA KUDHIBITI MAGHALA YA KOROSHO YA VICHOCHORONI

IMG-20180313-WA0001

Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo (wa pili kushoto) alipotembelea ghala linalomilikiwa na kampuni ya RK Chudasama Ltd wilayani Mkuranga,(wa kwanza kushoto)mkurugenzi kampuni hiyo ,Sundeep Chudasama ,wa kwanza kulia Katibu wa CCM Mkuranga, Shilla na wa pili kulia mkuu wa wilaya hiyo,Filberto Sanga Picha na Mwamvua Mwinyi ………………… …

Read More »

TANZANIA NA UJERUMANI ZAKUBALIANA KUENDELEZA TAFITI ZA MASALIA YA MIJUSI KATIKA ENEO LA TENDAGURU MKOANI LINDI

IMG_4222

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Maj. Gen. Gaudence S. Milanzi (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Historia Asilia ya Berlin Ujerumani (Berlin Museum of Natural History), Prof. Johannes Vogel kuhusu masalia ya mjusi wa Tanzania yaliyofadhiwa katika makumbusho hiyo.   ……………………………………………..   Ujerumani na …

Read More »

TEHAMA KUONGEZA KIWANGO CHA UFAULU MASHULENI

JPEG. NA. 1

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye akifungua mafunzo ya TEHAMA kwa waalimu wa shule za sekondari za umma (hawapo pichani) kwenye ukumbi wa Chuo cha Kompyuta ya Sayansi, Habari na Mawasiliano, Chuo Dodoma Mwakilishi wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote Bi. Justina Mashiba akisisitiza jambo kwa waalimu …

Read More »

BEI MPYA YA MAFUTA ZANZIBAR YATANGAZWA

01

Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) Hassan Juma Amuor akizungumza na Waandishi wa habari kuhusu mabadiliko ya bei za mafuta . Waandishi wa habari  wakiwa katika mkutano ulioandaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati (ZURA) huko Maisara Zanzibar …

Read More »