Tuesday , September 25 2018

Home / MCHANGANYIKO / KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE ZAFANYA UCHAGUZI WA WENYEVITI NA MAKAMU WENYEVITI

KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE ZAFANYA UCHAGUZI WA WENYEVITI NA MAKAMU WENYEVITI

IMGL3809

Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, Mhe. Eng. Ramo Makani akiongoza uchaguzi wa kumchagua Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo katika kikao kilichofanyika jana katika kumbi za Bunge Mjini Dodoma.

IMGL3766

Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya kulevya, Mhe. Matter Salum akiongoza uchaguzi wa kumchagua Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo katika kikao kilichofanyika jana katika kumbi za Bunge Mjini Dodoma.

IMGL3827

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, Mhe. Dkt. Christine Ishengoma (aliesimama) akiwashukuru Wajumbe baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo katika uchaguzi uliofanyika jana katika kumbi za Bunge Mjini Dodoma. kushoto kwake (aliekaa) ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhe. Emmanuel Mwakilasa

IMGL3796

Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge wakifuatilia uchaguzi wa kumteua Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo uliofanyika jana katika kumbi za Bunge Mjini Dodoma.

5T6A9274

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Jasson Rweikiza (katikati) akizungumza na Wajumbe wa kamati hiyo baada ya kuteuliwa kuendelea tena na nafasi hiyo katika uchaguzi uliofanyika jana katika kumbi za Bunge Mjini Dodoma. Wa nne kulia waliokaa, ni Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhe. Mwanne Mchemba

(PICHA NA OFISI YA BUNGE

About Alex

Check Also

Selemani-Jafo-Dodoma

UTEKELEZAJI WA MIRADI YA AFYA KATIKA MIKOA NA HALMASHAURI IZINGATIE THAMANI YA FEDHA.  

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Selemani Jafo Na Ismail Ngayonga MAELEZO DAR ES …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

5 + 11 =