Tuesday , September 25 2018

Home / MCHANGANYIKO / KAMISHNA MKUU WA MAMLAKA WA MAPATO TANZANIA AKUTANA NA MAKAMU KAMISHNA WA IDARA YA FORODHA KOREA

KAMISHNA MKUU WA MAMLAKA WA MAPATO TANZANIA AKUTANA NA MAKAMU KAMISHNA WA IDARA YA FORODHA KOREA

TRA 6

  TRA 8 TRA2

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere akisisitiza jambo wakati alipokutana na Makamu Kamishna wa Idara ya Huduma za Forodha Korea, Roh Suk-Hwan (kushoto) pamoja na ujumbe wake jijini Dar es Salaam ili kujadili maendeleo ya miradi mbalimbali inayosimamiwa na Idara hiyo, ikiwemo Mfumo wa Uondoshaji Mizigo Bandarini (TANCIS) na dirisha moja (Single Window System).  

About Alex

Check Also

Selemani-Jafo-Dodoma

UTEKELEZAJI WA MIRADI YA AFYA KATIKA MIKOA NA HALMASHAURI IZINGATIE THAMANI YA FEDHA.  

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Selemani Jafo Na Ismail Ngayonga MAELEZO DAR ES …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

2 × four =