Wednesday , December 19 2018

Home / MCHANGANYIKO / MAAFISA HABARI, MAWASILIANO NA UHUSIANO WAPATIWA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO SEHEMU ZAO ZA KAZI

MAAFISA HABARI, MAWASILIANO NA UHUSIANO WAPATIWA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO SEHEMU ZAO ZA KAZI

1.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Dkt. Hassan Abbasi akizungumza na Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano wakati wa kuwasilishwa na kujadiliwa kwa mada mbalimbali leo Jumanne Machi 13, 2018 katika mkutano wa 14 wa Maafisa Habari, Mawasilino na Uhusiano Serikalini unaoendelea Jijini Arusha. Kutoka kushoto ni Afisa Uhusiano wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) kutoka Shirika la Misaada la Marekani (USAID), Leah Mwainyekule na Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali, Dkt. Jimmy Yonas.

2...

Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali, Dkt. Jimmy Yonas akizungumza na Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano wakati wa kuwasilishwa na kujadiliwa kwa mada mbalimbali leo Jumanne Machi 13, 2018 katika mkutano wa 14 wa Maafisa Habari, Mawasilino na Uhusiano Serikalini unaoendelea Jijini Arusha. Wengine ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Dkt Hassan Abbasi.

3.

Afisa Uhusiano na Mawasiliano kutoka Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) kutoka Shirika la Misaada la Marekani (USAID), Bi. Leah Mwainyekule (kushoto) akifafanua jambo kuhusu umuhimu wa Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini kujituma katika kutekeleza majukumu yao wakati wa mjadala kuhusu sifa za Afisa Habari na Mawasiliano wa Serikali Karne ya 21.

4.

Sehemu ya Washiriki wa Kikao Kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini wakifuatilia  mjadala kuhusu sifa za Afisa Habari na Mawasiliano wa Serikali Karne ya 21Jijini Arusha.

5.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akisisitiza jambo wakati wa  mjadala kuhusu sifa za Afisa Habari na Mawasiliano wa Serikali Karne ya 21 Jijini Arusha.

6.

7.

Mmoja wa Washiriki wa Kikao Kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano Bi Mindi Kasiga akizungumza wakati wa Kikao Kazi hicho leo mjini Dodoma.

8.

Msaidizi wa Baba Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Mzee Richard Kasori akisistiza umuhimu wa Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini kuwajibika katika kutekeleza majukumu yao.

9

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bi Suzan Mlawi akizungumza wakati wa Kikao Kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini kinachoendelea Mjini Arusha.

10

Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali Dkt. Jimmy Yonazi akizungumza wakati wa mjadala kuhusu sifa za Afisa Habari na Mawasiliano wa Serikali wa Karne ya 21 Jijini Arusha.

11.

Muwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa hapa nchini Bw. Alvaro Rodriguez akiwasilisha mada kuhusu malengo ya maendeleo ya milenia na uhusiano wake na mpango wa maendeleo wa miaka mitano.

About Alex

Check Also

02

Wachuuzi wa Soko la Samaki Bagamoyo Wamuangukia Mbalawa

  Na.Stahmil Mohamed wachuuzi wa samaki katika soko la samaki wilayani bagamoyo wamemuomba waziri maji …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

two × one =