Wednesday , November 14 2018

Home / MICHEZO / TAIFA STARS KUCHEZA MECHI MBILI ZA KIMATAIFA UGENINI NA NYUMBANI

TAIFA STARS KUCHEZA MECHI MBILI ZA KIMATAIFA UGENINI NA NYUMBANI

DC6fyCeXsAAMqTF

Taifa Stars inatarajiwa kucheza michezo miwili ya kirafiki katika kalenda ya FIFA inayoanza Machi 19 – 27, 2018 dhidi ya timu za Taifa za Algeria na DR Congo.

Stars itasafiri kuelekea jijini Algiers kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji Algeria Machi 22, 2018 na baada ya mchezo huo dhidi ya Algeria, Taifa Stars itarejea nyumbani kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Congo DR Machi 27, 208 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

About Alex

Check Also

6052828-6377605-Henrikh_Mkhitaryan_takes_the_acclaim_after_firing_in_a_vital_equ-a-110_1541960892698

MKHITARYAN AINUSURU ARSENAL KUPIGWA UWANJA WA EMIRATES NA WOLVES

Henrikh Mkhitaryan akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la kusawazisha dakika ya 86 katika …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

fifteen − five =