Thursday , December 13 2018

Home / MICHEZO / TWIGA STARS YAINGIA KAMBINI KUJIANDAA NA MECHI YA KUFUZU AFCON DHIDI YA ZAMBIA

TWIGA STARS YAINGIA KAMBINI KUJIANDAA NA MECHI YA KUFUZU AFCON DHIDI YA ZAMBIA

DSC_0385

Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) imeingia kambini katika Hostel za Makao Makuu ya Jeshi la kujenga Taifa (JKT Mlalakuwa) kujiandaa na mchezo wa kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa Afrika kwa Wanawake AFCON 2018 nchini Ghana.

Twiga Stars itacheza dhidi ya Zambia (She Polopolo) Aprili 4, 2018 uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na marudiano kufanyika April 8, 2018 jijini Lusaka nchini Zambia.

Mshindi wa jumla kwa raundi hii atacheza na mshindi kati ya Namibia v Zimbabwe mwezi Mei, na atakayeibuka mshindi atafuzu moja kwa moja kwa Fainali hizo za Wanawake Afrika.

About Alex

Check Also

productimage_large

Tazama Kupitia StarTimes Arsenal na Chelsea kutua Dimbani kesho UEFA Europa League

Kocha Maurizio Sarri na Unai Emery wako katika nafasi nzuri kwenye makundi yao na wala …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

5 + eleven =