Wednesday , April 24 2019

Home / 2018 / March / 14

Daily Archives: March 14, 2018

DIAMOND PLATNUMZ KUZINDUA ‘A BOY FROM TANDALE’ NCHINI KENYA

diamond-Platnumz-2

Mwanamuziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz (katikati) wakati akiongea na wanahabari leo nchini Kenya kuelekea uzinduzi wa albamu yake ya ‘A boy from Tandale’ akiwa na mkali wa RnB kutoka nchini Marekani, Omarion (kulia). Wakiendelea kuwasikiliza wana habari. Diamond Platnumz akiongea na mkali wa RnB kutoka nchini Marekani, Omarion (kulia). …

Read More »

KAMPUNI YA KILIMANJARO SAR LTD YAINGIA MAKUBALIANO NA HOSPTALI YA ST JOSEPH YA KUTOA HUDUMA KWA WATALII WALIPATA MATATIZO MLIMA KILIMANJARO

E86A0033

Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kilimanjao SAR ,Ivan Braun akitia saini makubaliano ya Mashirikiano na Hospitali ya St Joseph ya mjini Moshi kuhusu uanzishwaji wa Kliniki ya utoaji matibabu kwa Wagonjwa wanaopata matatizo wakati wa kupanda Mlima Kilimanjaro na Meru,kulia ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya St Joseph ,Sister …

Read More »

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA RELI YA KISASA ITAKAYOTUMIA UMEME SGR-KUTOKA MOROGORO HADI MAKUTUPORA- DODOMA KM 422 KATIKA ENEO LA IHUMWA NJE KIDOGO YA MJI WA DODOMA

11

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa mradi wa Reli ya Kisasa itakayotumia umeme Standard Gauge (SGR) itakayotoka mkoani Morogoro hadi Makutupora Dodoma katika eneo la Stesheni ya Ihumwa nje kidogo ya mji wa Dodoma. …

Read More »

TaESA: HAKUTAKUWA HATA HARUFU YA RUSHWA USAJILI WA WAFANYAKAZI WA UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA KUTOKA HOIMA UGANDA MPAKA CHILONGANI TANGA

TAE

  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa WAKALA wa Huduma za Ajira Tanzania(TaESA) Boniface wa Chandaruba akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam. …………………………………………………………………………………………….. Akizungumza Dar es Salaam leo, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa WAKALA wa Huduma za Ajira Tanzania(TaESA) Boniface wa Chandaruba amewahakikishia  Watanzania wote kuwa watumishi wa TaESA  …

Read More »

WATANZANIA TUSIICHOKE AMANI

unnamed

    Na Emmanuel J. Shilatu Misingi mizuri iliyojengwa na waasisi wa Taifa, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Sheikh Abeid Amani Karume ,  imesababisha Wananchi wa Tanzania kwa muda mrefu kuishi kwa amani na utulivu, huku wakifanya mambo yao kwa uhuru bila ya kuingiliwa na mtu yeyote wa ndani ama wa nje. …

Read More »

AJALI ZAPUNGUA PWANI KWA ASILIMIA 57.9-RPC SHANNA

IMG_20170724_124348

Kamanda wa Polisi Mkoani Pwani (ACP)Jonathan Shanna ,akielezea hali ya usalama barabarani tangu mwaka huu uanze kwa waandishi wa habari Mkoani hapo,kwenye ukumbi wa mikutano uliopo ofisini kwake . Picha na Mwamvua Mwinyi ………………… Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha MKOA wa Pwani umeanza vizuri mwaka 2018, kwa kupunguza ajali kutoka ajali 19 …

Read More »

UEFA Champions League Jumatano Hii

DStv EPL Soccer BARCELONA vs CHELSEA ads Instagram(1080px X 1080px) 1

Wahenga walisema utamu wa ngoma uingie ucheze, sasa kama unataka utamu wa soka basi DStv ndio mahali pake! Jumatano hii wakali wa soka la Hispania wazee chenga tawala na magoli tunafunga, wakali soka utamu kunoga Barcelona wanaingia Dimbani na vijana wa Darajani Chelsea, Je Chelsea atachomoa, ama atalala doro?   Mimi …

Read More »