Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / March / 15

Daily Archives: March 15, 2018

KINONDONI YAPONGEZWA NA KAMATI YA UTEKELEZAJI YA UVCCM MKOA WA DAR ES SALAAM NI KATIKA KUISIMAMIA NA KUITEKELEZA VEMA ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI

IMG-20180315-WA0121

Kamati ya utekelezaji ya umoja wa vijana wa chama Cha mapinduzi (CCM)Mkoa wa Dar es salaam imetembelea Manispaa ya Kinondoni kwa lengo la kujionea ni kwa jinsi gani imesimamia na kutekeleza ilani ya Chama cha Mapinduzi. Kamati hiyo chini ya Mwenyekiti wake Ndg Mussa Kilakala imeupongeza uongozi mzima wa Manispaa …

Read More »

JENGO LA ABIRIA KIWANJA CHA DODOMA KUBORESHWA

1

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (wa kwanza kulia), akioneshwa na Meneja Mradi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini (TAA), Mhandisi Focus Kadege, jengo la abiria la Kiwanja cha Ndege cha Dodoma ambalo litafanyiwa uboreshwaji ili kuweza kuchukua abiria 100 kwa mara moja, Mkoani humo. Katibu …

Read More »

KAMATI YA MAADILI YA TFF YAMFUNGIA MAISHA WAMBURA KUTOJIHUSISHA NA SOKA

wabu

Makamu wa Mwenyekiti wa TFF akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Cortyard Upanga jijini Dar es salaam leo mara baada ya KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kumfungia Maisha kujihusisha na Soka. ………………………………………………………………… Kamati ya Maadili ilikutana tarehe 14/3/2018 kupitia shauri linalomhusu Ndugu Michael Richard …

Read More »

SHIRIKI HARAMBEE HAPO KESHO ILI KUTATUA TATIZO LA HUDUMA YA AFYA WILAYANI MUHEZA MKOANI TANGA

IMG_2339

 Hajat Mhandisi Mwanaasha Tumbo akizungumza na waandishiwa habari katika hoteli ya Golden Tulip Posta jijini Dar es salaam. …………………………………………………………………………   Na Florah Raphael.   Halimashauri ya wilaya ya Muheza iliyoko mkoa wa Tanga imeandaa harambee maalumu kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya wilaya, wilaya hiyo ilianzishwa toka mwaka 1974  …

Read More »

UFUNGUZI WA KONGAMANO LA KITAFA LA UTAWALA BORA NA UCHUMI ZANZIBAR LEO

DSC_8284

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee wakati walipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa zamani wa  Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja aliposhiriki katika Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika leo Rais wa …

Read More »

UJENZI WA BARABARA BUSWELU-SABASABA MANISPAA YA ILEMELA KUANZA RASMI

1-16-660x400

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela John Wanga akizungumza katika kikao cha  Baraza la Madiwani jana kilichofanyika katika ukumbi  halmashauri hiyo. Judith Ferdinand-BMG Habari Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza inatarajia kutekeleza mradi wa ujenzi wa barabara ya kwa kiwango cha lami kutoka Buswelu hadi Sabasaba kuanzia mwezi …

Read More »

Mawakala wa Tigo Pesa Wajinyakulia Mamilioni

MMG_6510

  Robert Butambele (kulia), ambaye ni Wakala wa Tigo Pesa katika eneo la Sinza, Dar es salaam akipokea mfano wa hundi ya TSH milioni kumi kutoka kwa Afisa Mkuu wa Huduma za Kifedha wa Tigo – Hussein Sayed (wa tatu kulia). Butembele  aliibuka mshindi wa kitaifa katika promosheni ya mawakala …

Read More »

SERIKALI YA SWEDEN YATOA BILIONI 66 KUKABARATI KITUO CHA KUZALISHIA UMEME CHA HALE HYDRO SYSTEMS WILAYANI KOROGWE

_MG_7987

   Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza na Balozi wa Sweden nchini Tanzania Katarina Rangnitt kulia wakati alipomtembelea ofisini kwake kufanya mazungumzo naye pia  alitembelea Kituo cha kufufua umeme kwa njia ya Maji kilichopo Hale wilayani Korogwe kushoto ni  Balozi wa Sweden nchini Tanzania Katarina Rangnitt akitembelea maeneo …

Read More »