Tuesday , March 26 2019

Home / 2018 / March / 16

Daily Archives: March 16, 2018

RC MAKONDA ATAKA DAWASCO KUSHUGHULIKIA KERO ZA MAJI

IMG-20180316-WA0109

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amelitaka Shirika la Maji Safi na Maji Taka DAWASCO kuhakikisha linashughulikia kero zote za maji kwa Wananchi ikiwemo kuhakikisha upatikanaji wa maji safi na kupatia ufumbuzi tatizo la Maji Taka yanayotiririka holela kwenye makazi ya watu. RC Makonda ametoa agizo …

Read More »

Serikali Yapigia Chepuo Program Ya Via: Jiandalie Ajira

IMG_4529

Ofisa Mtendaji Mkuu wa taasisi Taasisi ya Kimataifa ya Kuendeleza Vijana Kibiashara (IYF),Bw. William Reese, akifafanua jambo wakati wa mkutano wa washirika na wadau wa program ya Via: Jiandalie Ajira. Ambapo program hiyo nchini inatekelezwa na IYF kwa kushirikiana na Taasisi ya Kimataifa ya The Mastercard Foundation, wake Taasisi ya …

Read More »

TAZAMA RATIBA YA ROBO FAINALI CHAMPIONS LEAGUE

4A3FDFF700000578-5509025-image-a-55_1521197995079

Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA leo ikiwa ni siku mbili baada ya kumalizika kwa hatua ya 16 bora ya Michuano ya Ligi ya Bingwa Ulaya wamechezesha droo ya robo fainali. UEFA wamechezesha droo hiyo ya kupanga ratiba ya Mechi za robo fainali kuwa  Barcelona vs Roma, Juventus vs Real …

Read More »

WANAVYUO NCHINI WAANDALIWE KATIKA KUJIAJIRI-MAJALIWA

PMO_9124

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Profesa William Anangisye, ofisini kwa Waziri Mkuu Mjini Dodoma, Machi 16, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Profesa William Anangisye, ofisini kwa Waziri Mkuu …

Read More »

RAIS MAGUFULI NA MAENDELEO YA VIWANGO VYA OLIMPIKI

2-25-768x512

Na Judith Mhina-MAELEZO Uzinduzi wa tawi la CRDB Chato uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli unadhihirisha Tanzania ya maendeleo ni lazima. “Kujenga standard gauge kwa shilingi trilioni 7.6 fedha za ndani, msifikiri watu wanafurahi” “Tunapoamua kujenga Stigler’s Gorge ambayo itazalisha umeme zaidi …

Read More »

Mobile Week Kutoa Simu za Kisasa kwa Bei Che!

DSC_0034

Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Wiki ya Simu (Mobile Week) itakayofanyika Machi 24 – 30 na kutoa ofa kabambe ya punguzo la bei kwa manunuzi simu za kisasa za mkononi kupitia tovuti ya Jumia (www.jumia.co.tz). Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Jumia, …

Read More »

SERIKALI KUMALIZA MGOGORO WA VIJIJI VINAVYOZUNGUKA KIA

W

Waziri OR-TAMSEMI Mhe.Selemani Jafo(katikati) akiwa na Waziri wa Ujenzi Pro.Makame Mbarawe(Pili kushoto), Naibu Waziri wa Ardhi Mhe. Angelina Mabula(Kwanza kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Mrisho Gambo(Tatu kulia) wakiangalia ramani za vijiji vinavyozunguka uwanja wa KIA wakati wa kikao maalumu cha Utatuzi wa mgogoro huo. Waziri OR-TAMSEMI Mhe.Selemani Jafo(katikati) …

Read More »

TANROADS YATAKIWA KUILINDA MIUNDOMBINU YAKE

5

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano(sekta ya Ujenzi) Mhe. Elias John Kwandikwa (wa kwanza kushoto), pamoja na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakipata ufafanuzi wa namna mizani ya Itigi inavyodhibiti magari yanayozidisha uzito walipokagua barabara ya Manyoni-Itigi-Tabora KM 259. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na …

Read More »

MWANAKWEREKWE SKULI WAPEWA ELIMU AFYA YA KINYWA NA MENO

5

Dkt. dhamana wa meno kanda ya Unguja  Muhidini Abdalla akiwapatia elimu fupi wanafunzi wa skuli ya Mwanakwerekwe E namna ya kusafisha meno. Mwanafunzi  Ali Makame wa skuli ya Mwanakwereke E akiwaonesha mfano wa kusafisha meno wanafunzi wezake baada ya kupatiwa elimu ya usafishaji wa meno skulini hapo. Dkt. bingwa wa …

Read More »

WANANCHI WA ARUMERU WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI

JAFO ARUMERU (2)

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI Selamani Jafo  akitoa maelekezo alipokuwa akikahua ujenzi unaoendelea wa Kituo cha Afya Usariver mkoani Arusha. Wataalam wa Afya wa Kituo cha Afya Usariver mkoani Arusha wakiwa katika picha na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI Selamani Jafo huku wakionesha furaha yao baada …

Read More »